Top Tweets for #MessageToMyEx
INES RAU -mwanamitindo mfaransa mwenye asili ya Algeria alizaliwa akiwa na jinsia ya kiume lakin alipotimiza miaka 16 akafanyiwa upawaji kubadili jinsia mlimbwende huyo ameunasa moyo na akili ya MBAPPE mfungaji bora wa kombe la dunia 2022.#MessageToMyEx💔

Mtu anayempenda mtu mwingine na anayependwa haonyeshi dalili yoyote yakutopendwai hii situation inatwaje .#MessageToMyEx💔

Ambacho sikiamini nikumpata niliyempenda kama ww ama wakunipenda kama ulivyokuwa ukinipenda.#MessageToMyEx💔

Napojizuia kuyakumbuka mema yako kwangu ndyo navyozid kuishi kwenye upweke uliyojaa simanzi✍
#MessageToMyEx💔

Haukua binadamu wakaida maana uliyavumilia mengi yasiyovumilika kutoka kwangu, huenda niliyafanya yale yakukuumiza sbb sikustahili kuishi kwenye moyo wako uliyobeba maana halisi ya mapenzi✍
#MessageToMyEx💔

Nilitamani kuiona kesho ya penzi letu iliyobeba furaha yetu na nguvu iliyofanya kila mtu abebe madhaifu ya mwenzake✍
#MessageToMyEx💔


Mapenzi yanahitaji pesa lakini pesa haihitaji Mapenzi, kumtimizia mahitaji unayempenda kwa mahitaji yanayohitaji pesa syo sababu ya ww kuwa wa muhimu kwake kama unavyoamini utakuja nielewa badaye sana.#MessageToMyEx💔

Nilichojiahidi nitahakiksha furaha yangu hainisaliti, niseme asante kwa kuniptisha kwenye maumivu yasiyopimika ambayo yamenifanya nisiwe mtumwa tena wa mapenzi✍
#MessageToMyEx💔

@Mkushiiii Ishi sana Ex wangu sasa nimejua thamani ya kupenda na kupendwa viko tofaut✍
#MessageToMyEx💔
Kuna muda taarifa za kusikia kwa watu kuwa yule uliyempenda yuko hivi baadhi zinakuaga za kweli sasa niliamin baada ya kuniambia tusichoshane kamw siwezi njia nyeupe daahhh mapenzi nyie mmmhh💔
#MessageToMyEx💔
Dada etu hatuna shaka na penzi lako jipya lakin tunashukuru kwa kutupa darasa kuwa mapenzi nikama mbio za kijiti na WOZU kama ameagana na nyonga basi tutaendelea kuyaona zaid yahaya tuyaonayo✍
#MessageToMyEx💔


Kuja kwako kazin wakat wakazi bila taarifa kunisalimia tu ilitosha kujua mm nilikuwa sehemu ya maisha yako✍
#MessageToMyEx💔

Kuna anayejuta kwann hakumsamehe, mwingine anajuta kwann alimsalit mwenzie lakin kiukweli kila mtu anamaamivu ya namna yake✍
#MessageToMyEx💔

Sijawahi kujuta kwanini nilikupenda, ila imekuwa mapema sana kuyabema maumivu nisiyojua yatakwisha lini, ningeweza igeuza leo ikawa juzi labda nisingejua uzito wa mzigo wa stress niliyonao kwa sasa sbb tu siko na ww tena✍
#MessageToMyEx💔

Usisahu kuwa nilikupenda tangu tukiwa wadogo,nakumbuka mchezo wa komborela tulibadilishana nguo ili kumchanganya aliyeznga ule ulikuwa muda bora kati ya muda ambao tulishawahi kuwa wote✍
#MessageToMyEx💔

Mapenzi hayana mwenyewe sababu zakujionyesha mnyonge mbele yake hakumfanyi akupende zaid yakukuonea huruma fanya unachokiweza ataelewa dhamira ya moyo wako kwake✍
#MessageToMyEx💔

Tulipokutana hakuna aliyesita kumkumbatia mwenzie licha ya kutokuwa na mawasilino miaka kadhaa sababu ya ukuta wa usaliti, sitamani turudiane lakin bado nayapa thamani mema yako kwangu kila siku✍
#MessageToMyEx💔

Kama wangetafutwa binadamu wanaopendana basi sisi tungekuwa miongoini mwa binadamu hao, hivyo ndivyo nilikuwa najua mara zote nilipokuwa na wewe✍
#MessageToMyEx💔

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.2M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.3M followers


