Top Tweets for #Michuzitv
#Michuzitv_update
Ndugu Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinzduzi (CCM).
Jokate amechukua nafasi ya Ndugu Faki Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Simanjiro
#Michuzihabari
#MichuziTv
#MichuziBlog

#Michuzitv_update
Ndugu Amoss Makalla ameteuliwa kuwa katibu wa Halimashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo.
Makalla amwchukua nafasi ya ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
#Michuzihabari
#MichuziTv
#MichuziBlog

#Michuzitv_updates
Mchekeshaji maarufu nchini ambaye pia ni balozi wa @asas_dairies @jotiofficial leo akiwa bungeni kwa mwaliko maalum kutoka kwa waziri wa @wizaramifugouvuvi @abdallahulega
#Michuzihabari
#Michuzitv
#MichuziBlog
Cc @janeeeraphael
https://t.co/mgoOTBXyJk
#Michuzitv_updates
Mjadala umeibuka leo Bungeni kuhusu mgawanyo wa mapato uliotolewa kwenye mechi iliyowakutanisha Simba na Yanga Aprili 16,2023
#Michuzihabari
#Michuzitv
#MichuziBlog
https://t.co/WbL7TrPmfQ
#Michuzitv Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamepatiwa mafunzo ya ukatili wa kijinsia ili kuweza kubaini kesi hizo zinapofika BMH)Mafunzo hayo yametolewa na Serikali kwa udhamini wa Shirika la Afya Duniani (WHO).

https://t.co/5WQUzR0rrR
#soko #moto #Sokolakarume #MkuuwaMkoa #DaresSalaam #Tanzania #voa #voaswahili #uchunguzi #Kamati #MichuziTV
TAASISI ya @rmanumbatrust kwa kushirikiana na #GiveAFutureFoundation kupitia program ya 'Jiajiri' wamekabidhi vifaa vya ufundi kwa wanafunzi kumi na moja waliopata mafunzo kutoka VETA ikiwa ni sehemu ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi #RoseManumbaTrust #MichuziTV

#Michuzitv "Kama risasi zingepigwa ovyo ovyo na Askari walioenda kupambana pale na jinsi mlivyoona tabia ya wananchi wakisikia matukio wanavyojirundika ni dhahiri kungekuwa na vifo vya wananchi wasiokuwa na hatia"-Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

#MichuziTv Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.

#Michuzitv "Tatu nimekuja Burundi kuwapongeza kwa sababu Julai mwaka huu mlisherehekea miaka 59 ya uhuru na Rais Ndayishimiye alinialika ila kutokana na mambo ya Kitaifa nilishindwa kuhudhuria nilimtuma Waziri Mkuu naye aliniwakilisha vyema"- @SuluhuSamia
#SamiaZiaraBurundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe @SuluhuSamia, leo amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali Kakurwa kuwa mbunge huku nafasi hiyo ikichukuliwa na Balozi Hussein Yahya Katanga.
#MichuziTV
#MichuziBlog
#MichuziUpdates

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia leo amemteua Mhe. Ummy Mwalimu kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI akichukua nafasi ya Mhe. Selemani Jafo.
#MichuziTV
#MichuziBlog
#MichuziUpdates


#Michuzitv "Rais Magufuli ni kiwiliwili chake tu ndio kimeondoka, lakini maono na falsafa zake zitaendela kuishi" Mhe
@SuluhuSamia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#PumzikakwaAman

#Michuzitv_updates
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema hatozuia bajaji kuingia barabara kuu hadi pale serikali itakapo fanya marekebisho ya barabara za mchepuko ambazo nyingi zipo katika hali mbaya na zinahitaji maboresho makubwa.
#MichuziTv
#Michuzihabari
#Michuziblog

#MichuziTv "Hotuba yako ya KUZINDUA Bunge ilikuwa Hotuba ya karne ni mwongozo KWA sisi wabunge ili titekeleze majukumu KWA Watanzania. Nitasimamia yote, wizi na ubadhilifu wa umma hilo nitasimamia nchi nzima"- Mpango

#MichiziTv " Namaliza tena kuwa kusema Rais Nakishukuru Sana Mh. Rais KWA kuniteua lakini pia Namshukuru Mke wangu na Mama yangu KWA kunisimamia Nawashukuru Sana Sana."- KABUDI
#MichuziTv
#Michuzihabari
#Ikuluuapichochamwino

#MichuziTv Mh. Rais nakuahidi nitayaishi mausia haya nitakuwa mwaminifu katika majukumu yangu haya uliyonipa na kamwe sitaenda kinyume. Nitafanya kazi hii KWA bidii na KWA maadili makubwa."- KABUDI.
#Uapishoikuluchamwini
#Michuzihabari

#MichuziTv "jua kimo chako jua mipaka yako KIONGOZI MKUU mheshimu usimzoee, tii mamlaka yako na mipaka yako hayo yalikuwa maneno ya baba Kadnal pengo" KABUDI
#Uapishoikuluchamwino

#MichuziTv "Mh Rais hii ni mara ya nne katika MAISHA yangu unanipa mshangao wa ajabu katika teuzi zako hakika Mwenyezi Mungu na wewe mja wake mmeyadenda hayo"- KABUDI
#Uapishoikuluchamwino

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.2M followers

X 
@x
60.8M followers










