ROSE MANUMBA TRUST YAKABIDHI VIFAA KAZI KWA VIJANA 11 KUTOKA VETA
TAASISI ya Rose Manumba Trust kwa kushirikiana na Give A Future Foundation kupitia program ya 'Jiajiri' wamekabidhi vifaa vya ufundi kwa wanafunzi 11 kutoka VETA kuwasaidia kujikwamua kiuchumi na kujiajiri.
Wanufaika wa program ya Jiajiri kutoka fani ya Urembo (Beauty therapy) wakiwa wamepata picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mafunzo ya ujasiriamali katika chuo cha St. Gaspar kunduchi Dar es salaam.
#AjiraKwaVijana
The Resource Mobilization Personel Winfrida Mushi Conducting a Session to Project Beneficiries on Financial Management During JIAJIRI Training Workshop.
#AjiraKwaVijana
Our Team is Blessed with Talented Personels. Ready to Show Their Creativity in So Many Areas of Expertise.
@loyjaffu Participating at the Tools and Machineries Handing Over Event to 11 Youths Beneficiaries of The JIAJIRI Program.
#AjiraKwaVijana
Hivi ni Baadhi ya Vifaa Vilivyotolewa na Taasisi ya Rose Manumba Trust kwa Vijana Wanufaika wa Program ya JIAJIRI.
@rosemanumbatrust
#giveafuturefoundation
Tumegusa Maisha ya Vijana kwa Maisha Bora ya Baadae .
#AjiraKwaVijana
Our Rose Manumba Trust Eagles who Received Their Tools and Machines to Start their Own Businesses.
We are Glad to Empower The Young Generation with the support of #giveafuturefoundation.
#AjiraKwaVijana
Given ni mwanachuo kutoka fani ya eletronics.Amejiajiri kama fundi simu. Changamoto ni vifaa vya kisasa vya kutengenezea simu.Amepewa machine za kisasa hivyo atapata wateja wengi na kukuza kipato chake na jamii kunufaika na huduma hiyo
@rmanumbatrust Imewawezesha
#AjiraKwaVijana
Ilikuwa ndoto Yangu Kumiliki Mashine ya kushonea(Cherehani).Nilitamani Kujiajiri baada ya Kuhitimu Masomo kama Fundi Mbobezi wa Mitindo. Nashukuru Rose Manumba Trust Kuniwezesha,Nimepiga Hatua.Eunice Mnufaika wa 'JIAJIRI' Program
Rose Manumba Trust, Tumewawezesha.
#AjiraKwaVijana
TAASISI ya @rmanumbatrust
kwa kushirikiana na #GiveAFutureFoundation kupitia program ya 'Jiajiri' wamekabidhi vifaa vya ufundi kwa wanafunzi kumi na moja waliopata mafunzo kutoka VETA ikiwa ni sehemu ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi #RoseManumbaTrust cc @charangwaselemani
"Mkatumie vifaa hivi vya msingi kwa kufanya kazi na kutengeneza ajira, epukeni makundi. Serikali na wadau kama Rose Manumba Trust tupo pamoja katika kuhakikisha tunapambana kutatua changamoto ya ajira" @charangwaselemani DAS Ilala #RoseManumbaTrust@rmanumbatrust
TAASISI ya @rmanumbatrust kwa kushirikiana na #GiveAFutureFoundation kupitia program ya 'Jiajiri' wamekabidhi vifaa vya ufundi kwa wanafunzi kumi na moja waliopata mafunzo kutoka VETA ikiwa ni sehemu ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi #RoseManumbaTrust#MichuziTV
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Rose Manumba Trust Bi. @veronicamwamunyange Akishiriki Katika Uendeshaji wa Mafunzo hayo kwa Vijana katika Program ya Jiajiri.
#AjiraKwaVijana
Shukrani za Kipekee kwa Taasisi ya 'GIVE A FUTURE FOUNDATION' Kutoka Marekani kwa Kudhamini Program hii ya Jiajiri chini ya Taasisi ya Rose Manumba Trust.
#AjiraKwaVijana
Taasisi ya Rose Manumba Trust imefanya Mafunzo ya Ujasiriamali Kupitia Program yake ya Jiajiri kwa Washiriki Vijana Wenye Ujuzi kutoka Vyuo Mbalimbali vya VETA Vikiwemo (St. Gaspar, Donbosco na Veta Chang'ombe) Ambao ni Wanufaika wa Program hiyo.
#AjiraKwaVijana
Taasisi ya @rmanumbatrust imefanya Mafunzo ya Ujasiriamali Kupitia Program yake ya Jiajiri kwa Washiriki Vijana Wenye Ujuzi kutoka Vyuo Mbalimbali vya VETA vikiwemo (St. Gaspar, Donbosco na Veta Chang'ombe) Ambao Wamefanikiwa kuwa Wanufaika wa Program hiyo. #AjirakwaVijana