Fare-thee-well Edward Ngoyai Lowassa. The life of a patriot has come to an end. My family and I deeply condole with Regina, Fred, the entire family, and fellow compatriots.Eternal rest grant unto him,O Lord,and let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace.Amen.
Maisha yako ya kisiasa na uongozi yanatufundisha kuwa unaweza kuwa na uongozi na mamlaka hata usipokuwa na madaraka. Somo kubwa kwa viongozi vijana. Upumzike mahala pema!
#Biashara Benki ya @CRDBBankPlc imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza ( @BSI_UK ). Cheti hicho kimekabidhiwa leo katika Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini #Dark
Brand New song in Town 🚀🚀🚀
‘#SIKU462’
PROFESSOR JAY Feat Walter Chilambo @walterchilambotz
Produced by Bin Laden @binladen_255 (Tongwe Records)
Hii ni ZAWADI na SHUKRANI kwa Mungu na Mashabiki wote wa @professorjaytz duniani 🙏🙏🙌 LiNK 👉https://t.co/JvKBJdXF9t
la fedha ambako Benki ya @intesasanpaolo na Benki ya @investec zimeshirikiana kufanikisha mchakato huo uliovutia wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani.
📸 @othmanmichuzi
#michuzitv_updates
Benki ya @crdbbankplc imesaini mkopo wa dola za Marekani milioni 150 zitakazotumika kuwakopesha wateja wakubwa waliowekeza kwenye sekta tofauti za uchumi.
Mkopo huo wa kimataifa (international syndicated term facility) umechukuliwa kwenye soko la kimataifa
Waziri wa Prof. @kitilam Mkumbo amezindua uuzaji wa hatifungani ya #KijaniBond ya @CRDBBankPlc yenye thamani ya dola milioni 300 zitakazowekezwa kwenye miradi yenye mrengo wa kulinda mzingira.
Profesa Kitila amewahimiza Watanzania kuanza kununua hatifungani hizo. Cc @amnsekela
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kutupa zawadi hii ya Uhai na kuwa pamoja mpaka Leo, Asante sana Mke wangu kipenzi @mke_wa_profjize kwa kuvumilia mapito yote tuliyotupitia pamoja sina la kusema zaidi ya NAKUPENDA SANA❤️❤️ Happy anniversary to us my beautiful wife❤️❤️❤️❤️
Wananchi na makombe yao huwaambii kitu 💚💛
Karibu tawi letu ndani ya SabaSaba ujisajili ili ujipatie kadi yako ya uanachama 💳 inayokupa bima ya maisha ya hadi Tsh 3,000,000 na kukuwezesha kufanya miamala yote ya kibenki.
#CRDBxYanga#tunakusikiliza
Mapema hii leo upepo umeonekana kuibadilikia utawala wa Rais Vladimir Putin baada ya kikosi cha ‘Wagner Group’ ambalo mi kundi binafsi la kijeshi lililokuwa likipigania Serikali ya Urusi nchini Ukraine kuripotiwa kuvuka mipaka na kurejea Urusi kwa nguvu wakitaka Waziri wa ulinzi wa Urusi aondolewe katika tukio ambalo linadhaniwa kuwa kitisho kikubwa zaidi kwa utawala wa Rais Vladmir Putin tangu aingie madarakani mwaka 2000.
Yevgeny Prigozhin, Mmiliki na Mwanzilishi wa Wagner ametoa wito wa uasi wa kutumia silaha na kutishia kufanya vurugu Jijini Moscow ili kumtimua Waziri ambaye alimtuhumu kwa kuamuru kulipuliwa kwa kambi za vita za wagner group nchini Ukraine.
Serikali ya Urusi imetoa wito wa kukamatwa kwake kwa tuhuma za uasi, Prigozhin amesema Wanajeshi wake wapato 25,000 wamelishikilia na kuvamia makao makuu ya jeshi la Urusi katika eneo lililopo kusini mwa Ukraine ambalo linasimamia mapigano nchini humo, karibu na mahali ambapo vikosi vya Wagner vimeweka kambi.
Rais wa Urusi Vladamir Putin ameliita sakata zima kuwa ni usaliti mkubwa pindi alipokuwa akilihutubia Taifa kwa muda wa dakika tano kwa ya mtandao mapema hii leo.
Video zilizosambazwa kupitia mtandao wa Telegram zilionyesha vifaru, vinavyodaiwa kuwa vya Wagner, vikiingia Rostov-on-Don, Jiji la Watu wapatao milioni 1.1 takriban maili 1,000 kutoka Moscow wakiwa na bunduki zikiwa zimeelekezwa katika Makao Makuu ya Jeshi la Urusi.
#MillardAyoUPDATES
@CRDBBankPlc signed an agreement with the ICT Commission and @costechTANZANIA through its 'IMBEJU' program. Our own two members attended the program which focuses on empowering women and youth by providing them with capital and support to develop their businesses.