Top Tweets for #Mkuleupdates
FT|AL AHLY1️⃣🆚️1️⃣MAMELOD
.
MAMELOD HAOOOOOO FAINAL KWA FAIDA YA BAO LA UGENINI.
.
.
.
.
CAF CHAMPIONS LEAGUE
.
.
#MKULEUPDATES
FT|FOUNTAIN0️⃣🆚️4️⃣YANGA
Mzize ⚽️ ⚽️ Azizi Ki ⚽️ Chama ⚽️
.
Mzize Man of the match.
.
#MKULEUPDATES

Ukarabati wa pitch ya uwanja wa Benjamin Mkapa pia unaendelea sambamba na ukarabati mwengine kama kubadilishwa kwa viti vya kukaa mashabiki. #MKULEUPDATES

FT|YANGA8️⃣🆚️1️⃣STAND UTD
Sasa ni rasmi Yanga ataumana na Jkt Tz katika nusu fainali ya Crdbbank federation Cup.
.
Simba ataumana na Singida Bs katika nusu fainali.
JE, FAINALI YAKO UNATAKA NANI AKUTANE NA NANI?
#MKULEUPDATES

Wekundu wa msimbazi Simba sports sasa watakutana na Singida Bs nusu fainali ya FA baada ya Singida kuifunga Kagera sukari mabao 2_0 hatua ya robo fainali. #MKULEUPDATES

Huyu line ametumia nini kulikataa bao la mzize haha? #MKULEUPDATES
FT|MASHUJAA FC 0️⃣🆚️1️⃣PAMBA JIJI
.
Alain Mukeya ⚽️
.
PAMBA JIJI WANASONGA MBELE.✅
.
#crdbbankfederationcup
.
.
#MKULEUPDATES

Wananchi wamepata bao lakini picha za marejeo zimeonyesha mpira ulikuwa umetoka wakati Pacome anapiga krosi.
.
.
.
#MKULEUPDATES
Wanachama wa yanga nje ya Benjamin Mkapa wakisistiza hawachezi mechi tena wakati wanasubiri majibu ya kikao na waziri kikiendelea. #mkuleupdates
Nimeipenda hii ya walengwa kuingia kikaoni zamu kwa zamu,, Wameanza wananchi halafu wazee wa ubaya ubwela wanafuata. Nje mashabiki wa Wananchi na wanachama wamekusanyika na wanasistiza kuwa viongozi wasiende kinyume na msimamo wao. Hawachezi Hawachezi Hawachezi. #Mkuleupdates
FT|MOROCCO 🇲🇦2️⃣🆚️0️⃣🇹🇿TAIFA STARS
.
.
.
TUMEFUNGWA ILA TUMEPAMBANA NAO🇹🇿.
.
#worldcupqualifiers
.
.
#MKULEUPDATES

Naombeni jibu moja hapa;
(A)Tushushe timu moja daraja kikanuni.
(B)Tusishushe timu daraja lakini bodi ijiuzulu kwakushindwa kusimamia kanuni?
(C) A&B vyote vifanyike kwa pamoja tuanze maisha upya.
#MKULEUPDATES

Haya mara paap Simba kashushwa daraja nyie Yanga mtacheza na nani,mtataniana na nani ambaye ni saizi yenu? Semeni ukweli team busara!
.
#MKULEUPDATES

"Nchi hii ukiishusha daraja Simba au Yanga utakuwa umeuua mpira wa nchi" Mzee Saidi
"Ukizipoteza Simba na Yanga umeipoteza nchi pia kwenye mpira" Mzee Saidi
#MKULEUPDATES

Mimi naomba niwe wa mwisho kuamini kuwa walioenda CAS wamepoteza muda wao na pesa zao. Time is money 💰! #MKULEUPDATES
Pamoja na kelele zote na haya yote yanayoendelea kupita kuna watu wataaibika na kudhalilika dhalililo ambalo hawatalisahau katika maisha yao na dunia itashanga juu ya maajabu yatakayotokea kwenye mpira wa Tanzania 🇹🇿. Hapo ndipo Wengene watawajibishana. #MKULEUPDATES

FT|SIMBA6️⃣🆚️0️⃣DODOMA JIJI
Mpanzu ⚽️,Ahoua ⚽️⚽️,Mukwala ⚽️,Kibu ⚽️⚽️
.
.
Dodoma jiji fc wamepopolewa leo.📌
.
KIBU MAN OF THE MATCH ✅
.
.
#MKULEUPDATES

Nimewatazama vzr Simba leo dhidi ya TMA mpaka mwisho, pamoja na ushindi wa mabao 3 kwa 0 nimebaini jambo. Kweli walistahili kuikimbia derby march 8 na ilikuwa na afya kwa kuikacha derby.
Najua wapo watanipinga ila ukweli ndiyo huo. #MKULEUPDATES

"Kimsingi kosa la kutopeleka timu uwanjani ni kesi tofauti na Kosa la kuzuiliwa kufanya mazoezi kabla ya mchezo"Hizi ni kesi mbili tofauti ambazo kila moja ina adhabu yake" Wakili Allex Mgongolwa kuhusu sakata la mechi ya derby kuyeyuka. Via Sports Arena @wasafifm
#MKULEUPDATES

BREAKING NEWS!!!
Bodi ya ligi yaahirisha mechi ya Yanga na Simba!!
.
.
#MKULEUPDATES

Last Seen Hashtags on Sotwe
candid
Seen from Netherlands
NowsReaderChoice
Seen from United States
freeHarry
Seen from Saudi Arabia
ミスター味っ子
Seen from Indonesia
2BEhonest
Seen from United States
루나루나
Seen from United States
UnexpectedComplications
Seen from United States
minichat
kuzen
Seen from Turkey
minichat #snapchat
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
