Kiongozi aliepiga simu March 07 kuzuia geti lisifunguliwe Simba wafanye mazoezi sio tuu ameukosea mpira wa Tanzania na wadau wake bali ameikosea heshima nafasi aliyopewa na mkuu wa nchi na kiufupi amemkosea heshima mkuu wa nchi (Rais). Kiufupi hafai kuwa kiongozi. Shame on you ๐
Ikimpendeza Mama ampige chini na hata huko kwenye ubunge kama ni mbunge wananchi mnyoeni tuu 2025 hata akipangwa na jiwe, pigieni jiwe. Katuletea aibu kubwa sana kwenye mpira. Hafai Hafai Hafai Hafai kabisa! Unatuleteaje ushabiki maandazi kwenye kazi bhanaaaa?
Champions league โ
Shirikishoโ
Crdb federation cup โ
Nbc โ
Hivi mfano yakakukuta yakukuta wewe shabiki utamlaumu nani msimu huu 2024/25?
A_Wachezaji
B_Viongozi.
Ukarabati wa pitch ya uwanja wa Benjamin Mkapa pia unaendelea sambamba na ukarabati mwengine kama kubadilishwa kwa viti vya kukaa mashabiki. #MKULEUPDATES
FT|YANGA8๏ธโฃ๐๏ธ1๏ธโฃSTAND UTD
Sasa ni rasmi Yanga ataumana na Jkt Tz katika nusu fainali ya Crdbbank federation Cup.
.
Simba ataumana na Singida Bs katika nusu fainali.
JE, FAINALI YAKO UNATAKA NANI AKUTANE NA NANI?
#MKULEUPDATES
Wekundu wa msimbazi Simba sports sasa watakutana na Singida Bs nusu fainali ya FA baada ya Singida kuifunga Kagera sukari mabao 2_0 hatua ya robo fainali. #MKULEUPDATES
Matajiri ee. naomba kuwasanua jambo. Kuweni makini sana na mliowaamini kuwapa kazi wawafanyie. Kama ilivyorahisi kufikia mafanikio kupitia wao,aminini pia hata kuwarudisha nyuma kimaendeleo ni rahisi vilevile tena inaweza kuwa rahisi zaidi na zaidi. Never trust too much mazee.
HE IS FREE NOW (AMEACHIWA HURU)
Jeshi la polisi mkoani Tabora limemuchia huru mkuu wa idara ya habari wa Yanga Ali Kamwe baada ya mahojiano ya saa kadhaa kutokana na kauli alizozitoa April mosi dhidi ya mkuu wa mkoa wa Tabora mh.Chacha kuelekea mechi ya jana baina ya Tabora Utd.