Top Tweets for #NAIBU
Naibu - caght me falling feat. Joe Mandeno
https://t.co/xPQ0bfKUG6
| #DrumandBass | #drumfunk | #ambient | #Naibu |

#Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imejidhatiti kuhakikisha inadhibiti vitendo vya rushwa kabla, wakati na hata baada ya Uchaguzi Mkuu huku akiwaasa wagombea kujiepusha na vitendo vya rushwa huko majimboni kwani TAKUKURU ipo kazini.
Amesema kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa jumla ya magari mapya 195 kwa ajili ya TAKUKURU ni uthibitisho tosha kuwa anachukia vitendo vya rushwa.
Sangu ametoa kauli hiyo leo wakati akizindua Jengo la TAKUKURU Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambalo limegharimu kiasi cha Sh. Mil. 314.2 hadi kukamilika kwake.
#EastAfricaTv

UN inaeleza kuwa katika baadhi ya maeneo, kiuhakika, tayari wanayo
hali inayoweza kusaidia kurejea kwa,IDPs, makwao. (Sehemu ya Pili)
Picha na Mahojiano na Austere Malivika
#naibu #katibumkuu #un #jeanpierrelacroix #drc #goma #ituri #idps #wakimbizi
#Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amewataka Askari wa Jeshi la Magereza kuwa ni nidhamu katika utendaji wao wa kazi ili kujiepusha na tuhuma mbalimbali ambazo zitalichafua jeshi huku akimpongeza Rais @SuluhuSamia kwa msaada anaotoa kwa vyombo vya ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Magereza.
Ameyasema hayo leo katika kikao cha ndani kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza,Msalato jijini Dodoma wakati wa ziara ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa hivi karibuni kuhudumu katika nafasi hiyo ya Naibu Waziri.
Akizungumza katika kikao hicho kilichojumuisha Viongozi wa Jeshi la Magereza, Maafisa, Askari na Watumishi raia, Kaimu Kamishna wa Utawala na Rasilimaliwatu,Naibu Kamishna Jeremia Katungu alitaja baadhi ya changamoto zilizotatuliwa katika uongozi wa Awamu ya Sita ikiwemo upandishwaji vyeo na ajira.
#EastAfricaTV

ZAIDI YA HATIMILIKI ZA ARDHI 420 HAZIJACHUKULIWA NA WAHUSIKA KILIMANJARO
#Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amebaini zaidi ya hatimiliki za ardhi 420 za wakazi wa mkoa wa #Kilimanjaro hazijachukuliwa hadi sasa na wahusika
https://t.co/t7663af9Do
#Naibu Katibu Mkuu @ChademaTz Bara Benson Kigaila,Leo kwenye Mkutano wa hadhara Jimbo la Bukene Mkoni Tabora.
Sakata la Bandari atia neno,
#Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila,Leo kwenye Mkutano wa hadhara Jimbo la Bukene Mkoni Tabora.
Sakata la Bandari atia neno,
#NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi, akisikiliza taarifa za awali kabla ya kuanza Kikao cha Mawaziri 6 wa Tanzania na Zambia kitakachojadili bomba la Mafuta, katika Ukumbi wa Mikutano, Hyatt Regency hoteli, jijini D' Salaam, leo Julai 7, 2023,

#NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), Dk. Wilson Charles Mahera amewaelekeza waganga wakuu wa mikoa kushirikiana na wakurugenzi wa halmashauri kusimamia kikamilifu utaratibu wa mfumo wa ugavi kwenye bidhaa za afya.
Dk. Mahera ameyasema kwenye kikao kazi kilichowakutanisha Waganga Wakuu wa Mikoa na Wafamasia kilichofanyika jijini Dodoma.
Kikao hicho kimelenga kufanya tathimini ya ufuatiliaji na maendeleo katika utekelezaji na maboresho ya matumizi ya takwimu katika mikoa kupitia mbinu ya “Impact approach”.
“Sisi viongozi tuna jukumu la kusimamia timu za mikoa, halmashauri na za vituo vya kutolea huduma za afya ili viweze kuboresha upatikanaji wa bidhaa kupitia takwimu sahihi, maoteo ya bidhaa yaliyo sahihi na matumizi ya fedha kwa kuzingatia miongozo.”
Dk. Mahera pia amewataka kuhakikisha wanatumia takwimu katika kufanya maamuzi hatua ambayo itasaidia kupunguza changamoto zinazotokana na usimamizi hafifu wa bidhaa hizo.
#HabarileoUPDATES

#NAIBU KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura kabla ya kuanza kwa Kikao kilichofanyika Makao Makuu ya Polisi, Zanzibar, leo Alhamisi Disemba 29, 2022.

#NAIBU KATIBU Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi akizungumza katika Kikao cha Ushirikiano Kati ya Wizara ya Mambo ya Ndani ua Nchi, Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ pamoja na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Disemba 29, 2022.

#NAIBU Waziri Jumanne Sagini aagiza Jeshi la Polisi Mkoani Mara, kuwasaka watuhumiwa waliohusika na mauaji ya Mzee Omary Iyombe Mkazi wa Kijiji cha Kizaru, Kata ya Muriaza, Wilayani Butiama na kuwaomba wananchi wa Kata hiyo kuwa wavumilivu wakati Polisi wakiendelea na uchunguzi.

#NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akizungumza na Madereva wa Magari ya Viongozi wa Serikali na Wabunge, Ukumbi wa Msekwa, Bungeni, Dodoma, leo Sept. 21, 2022. Ameagiza Kikosi cha Usalama barabarani kuendelea kutoa elimu pia kwa madereva waliopo mikoani.

#NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akizungumza na Madereva wa Magari ya Viongozi wa Serikali na Waheshimiwa Wabunge, Ukumbi wa Msekwa, Bungeni, Dodoma, leo Sept. 21, 2022, katika Mafunzo Maalum ya Elimu ya Usalama Barabarani iliyotolewa kwa Madereva hao.

#NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akiwa na mkewe (kulia), na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Christina Mwangosi (kushoto), katika Ibada ya kumuaga aliyekuwa Afisa Habari wa Wizara hiyo, Mageni Nzumbi, Kanisa la KKKT Kwasadala, Wilayani Hai.

My two fav things in a pic, smol naib and ramen 🥺✨
#Naib #naibu #Steamteen #IdentityV #IdentityVfanart #Commission

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers














