Top Tweets for #NDCTUPOSITE
U S I K O S E
Fatilia mahojiano haya mubashara kupitia kituo cha luninga ,@azamtvtz ufahamu Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Serikali. Hatua zilizofikiwa na Fursa Zinazopatikana.
#NDC #NDCTUPOSITE #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION

Tunawatakia Watanzania wote kumbukizi njema ya miaka 24 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
#ndc #NDCTUPOSITE #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION

U S I K O S E
Fatilia mahojiano haya mubashara kupitia kituo cha redio cha Radio EFM ufahamu Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Serikali. Hatua zilizofikiwa na Fursa Zinazopatikana.
#NDC #NDCTUPOSITE #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION

U S I K O S E
Fatilia mahojiano haya mubashara kupitia kituo cha redio cha Radio One ufahamu Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Serikali. Hatua zilizofikiwa na Fursa Zinazopatikana.
U S I K O S E
#NDC #NDCTUPOSITE #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION

#NDCTUPOSITE
CHUSA MINING WAKABIDHIWA KITALU CHA MAKAA YA MAWE - MCHUCHUMA
Chusa Mining ni miongoni mwa kampuni 5 za kizawa zilizo kabidhiwa kitalu cha kuchimba makaa ya mawe kwenye mradi wa makaa ya mawe Mchuchuma, Ludewa - Njombe.
#ndc #liganga #mchuchuma

#NDCTUPOSITE
TBPL KIMEANZA KUJIENDESHA
Malengo ya kiwanda ni kupata masoko ya ndani na nje ya nchi pia kiwanda kimeweza kupata pesa takriban Bilioni tatu na fedha hizo zimewezesha kiwanda kujiendesha chenyewe.
#NDC #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION

#NDCTUPOSITE
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya kikao cha ukaribisho kwa kampuni 5 zinazo tarajiwa kuchimba makaa ya mawe - Mchuchuma, Ludewa mkoani Njombe, kikao kilichofanyika mkoani Njombe.

#NDCTUPOSITE
Timu ya wataalam kutoka NDC, imekutana na Uongozi wa Wilaya ya Ludewa ikiongozwa na Mhe. Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya hiyo kupanga mikakati kuhusu zoezi la ulipaji fidia na ujio wa kampuni za Wazawa wanaotarajiwa kuanza kuchimba makaa ya mawe - Mchuchuma.
#ndc

#NDCTUPOSITE
Jiunge nasi kuijenga Tanzania ya vuwanda
#ndc #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION #liganga #mchuchuma

#NDCTUPOSITE
Jiunge nasi kuijenga Tanzania ya vuwanda
#ndc #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #NATIONALDEVELOPMENTCORPORATION #liganga #mchuchuma

#NDCTUPOSITE
Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Ludewa, Njombe, Gerald Kusiri akiwa na ugeni wa Wataalam kutoka NDC, waliofika ofisini kwake kujitambulisha kabla ya kuanza kwa zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wanaopisha uchimbaji makaa ya mawe - Mchuchuka kwa vitalu vya wazawa.

#NDCTUPOSITE
Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imefika wilayani Ludewa, mkoani Njombe kwa ajili ya zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wanaopisha uchimbaji wa makaa ya mawe - Mchuchuma kwenye vitalu walivyopewa wachimbaji wazawa.
#mchuchuma #liganga

Last Seen Hashtags on Sotwe
ometv
Seen from Germany
이안
Seen from Vietnam
NiMalTrato
Seen from United States
chastitybelt
Pumpen
Seen from United States
EdouardPhilippeNoPasara
Seen from United States
warmmeal
Seen from United States
mommy since:2026-09-11
Seen from Switzerland
jinyeong_park
Seen from United States
Justice4EnforcedDisappearances
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers





