๐จ Investment Opportunity Alert! ๐จ
NDC invites proposals for the leasing of Kihuhwi Rubber Plantation ๐ฟ in Muheza, Tanga.
Ideal for companies in tyre & rubber-based manufacturing.
๐ Deadline: 18 June 2025
๐ป Details: https://t.co/M8JUhHO0Rj
๐ง Submit: [email protected]#ndc
Kutana na Bwana. Leonard Mgoyo Meneja Mkuu, @kmtctanzania akiongelea Ni Kwa Namna Gani Miradi ya kimkakati ya Serikali inaweza kuinua Uchumi wa viwanda na Mwananchi mmoja mmoja.
Katika kipindi cha Mezani cha @efmtanzania kuanzia saa 2 kamili asubuhi.
#ndc#kmtc
Fundi wetu, Bwana Osmond Shuma akichonga tundu la bush ya mashine zinazozalishwa kiwandani kwetu.
Karibu KMTC Manufacturing Limited kwa mahitaji ya bidhaa mbalimbali za Mashine na Vipuri.
"Reliable Machines, Best Solutions"
Wasiliana nasi sasa kwa Simu namba
๐ 0755 433 031
Muhandisi Hamisi Hango na Muhandisi Shabani Ramadhani wakitoa maelezo kwa wageni kutoka Camartech waliofanya ziara ya kujifunza kiwandani kwetu.
Karibu KMTC Ltd kwa mahitaji ya Mashine na Vipuri.
Tupigie;
๐ 0755 433 031 au 0698 818 000
"Reliable Machines, Best Solutions"
Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) umeingia makubaliano na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) la kuendeleza kilimo cha la mpira. Makubaliano hayo yameingiwa leo kwa TaFF kutoa kiasi cha shilingi milioni 402 kwa ajili ya kuendeleza shamba la mpira la Kalunga, Morogoro
#ndc
Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) umeingia makubaliano na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) la kuendeleza kilimo cha la mpira.
Makubaliano hayo yameingiwa leo kwa TaFF kutoa kiasi cha shilingi milioni 402 kwa ajili ya kuendeleza shamba la mpira la Kalunga, Morogoro
#ndc
Karibu tena kwenye ukurasa wetu, na leo Mtaalamu wetu anatuonesha namna akitoboa matundu katika chuma kwa kutumia Radial Drilling Machine kukamilisha kazi ya Mteja wetu.
Wasiliana nasi sasa kwa Simu namba
๐ 0755 433 031 au 0698 818 000
"Reliable Machines, Best Solutions"
Katika mradi wa Magadi Soda Engaruka, wizara pamoja na NDC zimeamua kuwa na wawekezaji wawili. Uamuzi huu umetokana na kuwepo kwa mashapo mengi ya magadi katika mfumo wa maji kiasi cha mita za ujazo bilioni 3.2 ambazo zinaendelea kuongezeka kila mwaka.
#ndc#engaruka
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetia nia ya kuendeleza miradi ya kielelezo inayo simamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), ikiwemo mradi wa Chuma cha Liganga, Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Mradi wa Magadi Soda wa Engaruka uliopo mkoani Arusha.
#ndc
Kiwanda cha Viuadudu kimepata mafanikio kadhaa, ikiwemo kuzalisha ajira kwa vijana wa kitanzania, Kupunguza ugonjwa wa Malaria nchini kwa kuzalisha na kusambaza dawa ya kuangamiza mazalia ya mbu kwa kipindi cha miaka minne (2021-202). #NDC
Usikose kufuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2925/2026 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo.
๐14 Mei, 2025
๐Bungeni, Dodoma - Tanzania
#ndc#viwandabiashara#bajeti
Usikose kufuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2925/2026 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo.
๐14 Mei, 2025
๐Bungeni, Dodoma - Tanzania
#ndc#viwandabiashara#bajeti
Usikose kufuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2925/2026 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo.
๐14 Mei, 2025
๐Bungeni, Dodoma - Tanzania
#ndc#viwandabiashara#bajeti
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limetia saini mikataba miwili ya ushirikiano na kampuni ya LABIOFAM kutoka Cuba, yenye lengo la kuimarisha uzalishaji wa mbolea hai na kuhamisha teknolojia ya kisasa kwa wataalamu wa Tanzania.
#ndc#tbpl#shirikalataifalamaendeleo
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limetia saini mikataba miwili ya ushirikiano na kampuni ya LABIOFAM kutoka Cuba, yenye lengo la kuimarisha uzalishaji wa mbolea hai na kuhamisha teknolojia ya kisasa kwa wataalamu wa Tanzania.
#ndc#tbpl#shirikalataifalamaendeleo
It is with great pride that we congratulate Eng. Godfrey Mahundi on being named Best Employee for the Year 2024/25. This recognition is a reflection of his outstanding performance, professionalism, and exceptional contribution to our mission.
#ndc#workersday
Uzalishaji unaendelea Kiwandani kwetu, na leo tuna kazi ya Mteja wetu katika hatua ya kuondoa slug ya Zinc kwenye Chuma kilichoopolewa kwenye chungu cha kuchemshia Zinc ikiendelea kabla ya kwenda kuiweka kwenye kichanja maalumu cha kukaushia kazi hiyo.