Top Tweets for #OFISI
#ahsanteni sana kwa kutuamini.
#ofisi ya Survland inawatakia Wateja wake wote heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya.@MarekaMalili @Experiuskihwili @bajabiri @EsirEid @empiremotorstz @McinikaWaLamar @MiriamMkanaka na wanafamilia wengine wote wa (X). 🙏🏼🙏🏼

Ankara Büyükşehir Belediye Başkanı Sayın Mansur Yavaş
Ekrem İmamoğlu Cumhurbaşkanlığı aday ofisi açılışında konuşuyor.
#cumhurbaşkanı #ekremimamoğlu #aday #ofisi #chp #ankara #türkiye
MRATIBU KITAIFA ATEMBELEA OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (@THRDCOALITION), Bw. Onesmo @OlengurumwaO, atembelea #Ofisi ya #Halmashauri ya Wilaya ya #Ngorongoro kama sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano kati ya Mtandao na serikali. Alipata fursa hii akiwa katika ziara ya kutembelea mashirika wanachama wa #THRDC katika kanda ya kaskazini yenye mikoa ya Manyara, #Arusha na #kilimanjaro.
Ziara hii ilikua na nia ya kuongea na uongozi wa Halmashauri hiyo, juu ya mambo mbalimbali ya kijamii na haki za binadamu ikiwemo utekelezaji wa ahadi ya Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya kurudisha na kuboresha huduma kwa jamii katika Tarafa ya Ngorongoro ikiwemo shughuli za uchaguzi.
Katika ziara hiyo, Mratibu Kitaifa alikutana na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ngorongoro, Bw. Benezeti Bonipace ambaye aliukaribisha ugeni huu. Kaimu Mkurugenzi alielezea ni kwa namna gani Halmashauri imepokea na kuanza kutekeleza maagizo ya Mh Rais kuhusu swala la huduma za kijamii katika Tarafa ya Ngorongoro. Aliezea kuwa baadhi ya huduma zimesharudishwa na mchakato wa kuboresha huduma zingine unaendelea vizuri. Alieleza kuwa tayari Wilaya iliunda kamati ya tathmini na kuja na mahitaji ya msingi ya awali yatakayogarimu kiasi cha TZS billion 2. Bajet hii itatumika kuboresha huduma hizi kama vile barabara, huduma za maji, ukarabati wa taasisi za serikali zilizokua zikitoa huduma kwa wananchi kama vile shule, hospitali, zahanati nk. Alieleza kiasi fulani cha pesa zimeshatumwa kwa account za vijiji kwa lengo la kuanza kuboresha huduma hizi na fedha zingine zinaendelea kutengwa kwa mujibu wa taratibu za ndani za kiserikali.
Halmashauri imefafanua kuwa swala la uchaguzi kwa Wilaya nzima ikiwemo Tarafa ya Ngorongoro pia linakwenda vizuri na wananchi wamepata fursa ya kujiandikisha kwa wingi na kufanya wilaya hiyo kuwa ya tatu kitaifa kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi. Vyama vilivyojitokeza kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni CCM, ACT Wazalendo na CHADEMA kwa kuwa baaadhi ya vijiji na vitongoji kuna wagombea wa vyama mbalimbali.
Kaimu Mkurugenzi amesisitiza kuwa wataendelea kuwahudumia wananchi wote wa Wilaya ya Ngorongoro na wananchi wawe na subira pale ambapo masuala ya kibajeti yanaendelea kufanyiwa kazi. Olengurumwa alifanikiwa pia kuwatembelea wananchi na viongozi wa Tarafa ya Ngorongoro na kuchukua maoni yao kuhusu utekelezaji wa agizo la kuboresha huduma katika eneo hilo. Taarifa zaidi itafuata kupitia Watetezi TV.
Bw. Onesmo Olengurumwa aliupongeza uongozi mzima na watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa kupokea na kuanza kutekeleza maagizo ya Mh. Rais. Lakini pia ametoa wito kuhimiza umuhimu wa huduma kwa wananchi wa wilaya hiyo, na kuishauri Halmashauri kujitahidi huduma zote hasa na majengo salama mashuleni, na miundombinu rafiki, zinatekelezwa mapema ili kuweka mazingira rafiki kwa wananchi hao katika Tarafa ya Ngorongoro
Imetolewa na :
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu #Tanzania (THRDC)

Bingöl Üniversitesi Rektörü'nden Fırat Üniversitesi Dijital Dönüşüm ve Yazılım Ofisi’ne Ziyaret!
@bingoledu2007 @firatresmihesap
#fıratüniversitesi #dijitaldönüşüm #yazılım
✍️ ☀️ İstihdam ofisi
Şehrimizde genç ve işsiz nüfus oldukça fazla. Kuracağımız istihdam ofisi ile iş arayanla - işveren arasında köprü olacağız.
#istihdam #ofisi #iyiparti #karaköprü #sanliurfa #iyi #gelecek #günes #dogacak #azkaldı
@emin_yetim @AvAliArusoglu @TubaDgrhzr

WARSHA shirikishi ya kuwakutanisha wadau wa kitaifa na wataalamu wa masuala ya bahari na Uchumi wa Buluu nchini yafanyika Zanzibar.
# @UNESCO Ofisi ya Tanzania
#Kamisheni ya Kimataifa ya Bahari
# @WUBU_Zanzibar
#Ofisi ya Makamo wa Rais wa Tanzania.
https://t.co/QR0Db4mWGT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.

Unatamani ofisi yako iwe na mvuto kwa kuweka meza za kisasa? usikose kutazama kipindi cha Ujenzi kesho Jumatano kuanzia saa 3:00 usiku ting'ani #EastAfricaTV
Cc @basilisamsoka #Meza #Ujenzi #UjenziWaKisasa #Ofisi
1) BORUSAN ENBW'DEN PO'YA 1 MİLYAR TL'LİK ŞARJ YATIRIMI
#Borusan #EnBW #Enerji ve #Petrol #Ofisi, elektrikli #şarj #istasyon ağı kurmak için #stratejik iş birliği anlaşması imzaladı.
5 yıl içinde #elektrikli şarj #pazarından yüzde 20 pay almayı hedefleyen 👇👇 #

#Ujenzi @BasilisaMsoka akiwa na Muuzaji wa Wallpaper za ukutani, Eunice Mjema ambapo ameshangaa kuona wallpaper za 5D zenye muonekano mzuri zaidi pale ukiamua kuziweka ndani ya nyumba yako.
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
#UjenziWaKisasa #Wallpaper #Ofisi #Nyumbani
#Ujenzi Muuzaji wa Wallpaper za ukutani, Eunice Mjema akitoa somo kuhusiana na urembo wa wallpaper za ukutani ambapo hapa anaonyesha aina ya wallpaper zinazovutia haswa zikiwekwa kwenye maofisi.
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
Cc @BasilisaMsoka #Wallpaper #Ofisi
#Amerika'da ölçü birimleri ve birçok şey farklı. Bildiklerinizi unutun. Hava durumu bütün dünya celcius kullanır iken Amerika Fahrenheit kullanıyor. WC = Rest room, park yasak = no standing, km = mile... #GreenCard #dv2023 #dv2024 #başvuru #ds260 #formu #danışmanlık #ofisi

Columbia Group Başkanı O’Neil : “Kalıcı olmaya geldik”
Columbia Group bünyesinde faaliyet gösteren Columbia Shipmanagement, İstanbul ofisini açtı.
https://t.co/zqsdPEbUBz
#ColumbiaShipmanagement #istanbul #KaptanÖzgürDoğanGüneş #MarkONeil #ofisi
@ozgurdogangunes


Last Seen Hashtags on Sotwe
cumtribute sabrina
Seen from United States
SNOWBUNNIES
Seen from United States
manavgatpasif
Seen from Turkey
brosis()+filter:videos
Seen from United States
관장
Seen from Korea
Teenage nolimit _
Seen from Germany
mucilon filter:native_video
Seen from Brazil
ورعان
Seen from Saudi Arabia
takingashit
Seen from United States
momsonn
Seen from Ukraine
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






























