Top Tweets for #PLANNETBONGO
#HeshimaYaBongofleva NIPATE LIVE HAPA #PLANNETBONGO EASTAFRICA RADIO NA EATV @ambuamjukuu jrjuniortz officialdjdea #IMONIT #mediatour
NGOMA YANGU MPYA LINK IPO KWENYE BIO HAPO!!! https://t.co/SN3qAADymf
Dj Niko Track - Kwa sisi wa zamani nikija kwako ukinipa thamani na wewe ukija kwangu na mimi nakuthamini ila ukiniharibia na mimi nakuharibia tu.
#HeshimaYaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Dea - Kikubwa kinachokosekana kwa MaDJ wa sasa ni hakuna nidhamu na sisi MaDJ wa sasa hivi tumekuwa rahisi kuwafundisha vijana ila kiuhalisia sasa hivi hakuna dispiline.
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Niko Track - Umoja wetu ulivunjwa kutokana na sababu za hela, nikisema hela namaanisha project zilikuwa zinafanyika bila wengine kupewa taarifa
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Niko Track - Nililipata jina la Niko track kwa sababu nililetewa zawadi ya gari na mjomba wangu wakati nilipokuwa mdogo.
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Niko Track - Mziki ni game kama ilivyo kwa wasanii kwa hiyo MaDJ tunahitajika kuwa pamoja kama wasanii walivyopamoja, kwa sababu unaweza kukuta Dj Dea anawazo fulani"
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Niko Track - Umoja wa MaDj ulianza kama ushikaji, miongoni mwetu walikuwa wakubwa tayari japo baadhi yetu waliamua kutupa nafasi ambao tulikuwa hatukutoka.
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Niko Track - Sisi zamani ilikuwa tunaheshimiana kwamba huyu ni mkubwa nimemkuta kwenye game.
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Dj Dea - Kuwa na umoja kwa sasa ni nzuri zaidi, kwa sababu kuna vitu tunahitaji hasa kwenye vifaa na uzoefu
#HeshimayaBongoFleva #PlannetBongo
Viburi flow Viburi flow Viburi flow!!!!
Hatukutani kwenye dirisha la malipo!!!
#SWAGIREE #PLANNETBONGO shukurani sana #EASTAFRICARADIO dullahplanet @FridaAmani jrjuniortz djsummertz @… https://t.co/tb5Q9U0uKc
TUPATE LIVE KWA MAHEWA SAA HII NDANI YA #PLANNETBONGO #EASTAFRICARADIO #WEUSI #SWAGIRE #KANIFATA LINK IN BIO!!! @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/FgdHUE90MD
NIPATE LIVE KWA MAHEWA SAA HII NDANI YA #PLANNETBONGO #EASTAFRICARADIO dullahplanet jrjuniortz @FridaAmani @damiansoultz #birthdayboy #NYOTA #SimwachiiMungu
TEMBELEA UTUBE CHANNEL YANGU… https://t.co/3KmWrak5JH
dullahplanet jrjuniortz @FridaAmani graysongideon #PLANNETBONGO #eastafricaradio #dubai #kanifata @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/yl8z9zFMBh
#NIENDEWAPI #NIJUE NDANI YA #PLANNETBONGO MCHANA WA LEO #EASTAFRICARADIO #2kings dullahplanet… https://t.co/6LJKx4WdIp
WAYAAAA LEO Repost @JohMakini with @repostapp
・・・
LEO KUANZIA SAA SABA MCHANA #PLANNETBONGO… https://t.co/SOFfOmOO9i
@earadiofm
#plannetbongo Nawapata clear kutoka Nairobiengaayoooooooooo!
94.7 tuko ndani kinoma noma hadi badae. shukran.
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers





