Top Tweets for #Panda2021
Kupitia program ya Panda 2021, wanufaika 14 wamefanikiwa kufungua biashara mpya na 4 wameboresha biashara zao katika utunzaji fedha. Asilimia 60% ya wanufaika wote wameanza kununua hisa na kutumia viombo mbali mbali vya utunzaji fedha kama UTT pamoja na VICOBA.
#panda2021

Hizi ni decorations pambe sana zilizofanywa na mnufaika wetu wa Panda 2021 @rowsie_events
Mradi wetu wa Panda unalenga kupunguza umaskini na utegemezi wa kiuchumi kwa wasichana na wanawake.
@rowsie_events @rachelschoiceevents
#panda2021

“Binafsi napenda kutoa shukurani kwa mentor wangu @jessicamshama nimejifunza namna ya kuanza na kusajili biashara katika taasisi za serikali kama brela, kufanya biashara katika nyanja tofauti kama partnership.”
~Sylvia, Mnufaika wa Panda Program 2021
#panda2021

This man had Carleton’s longest rush of the game! #PandaGame #Panda2021 #GeeGees #Ravens
📸: @heIIoamira

That fumble recovery leads to a Carleton Field Goal giving them a 17-16 lead!!
3:45 remaining…
#Panda2021 | #OUA
Mid-fourth quarter and the Ravens are in scoring position, but the @GeeGeesFootball still lead 16-7!
#OUA | #Panda2021

Youth achieve effectiveness, scale, and sustainability when are provided with resources and opportunities.
@Usaid
#panda2021

Je wajua?
Idadi ya watumiaji wa mtandao nchini Tanzania iliongezeka kwa elfu 435 (asilimia 3%) kati ya mwaka 2020 na 2021.
Na imeacha pengo la kukuza biashara, kupata elimu na kujiongeza kidigitali.
@ekmunyagi
#jiongezekidigitali #panda2021

Je wajua?
Idadi ya watumiaji wa mtandao nchini Tanzania iliongezeka kwa elfu 435 (asilimia 3%) kati ya mwaka 2020 na 2021.
Na imeacha pengo la kukuza biashara, kupata elimu na kujiongeza kidigitali.
@ekmunyagi
#jiongezekidigitali #panda2021

Ending all forms of discrimination against women and girls is not only a basic human right, but it also has a multiplier effect across all other development areas.
@herinitiative
#Panda2021
#jiongezekidigitali

Leo ilikuwa ni siku ya mwisho ya mafunzo ya vitendo ya utengenezaji wa sabuni, Wasichana wa Panda wamefundishwa namna ya kupunguza gharama za uzalishaji ili waweze kutengeneza faida na kukuza biashara zao na kipato chao.
@cleanking_tz
#panda2021

Mafunzo ya urembo wa Kucha yanaendelea, na wasichana wa Panda wamefundishwa usafi wa kucha na namna ya kupaka rangi za gel.
Hii ni moja ya kitengo katika programu yetu ya Panda, katika kuwasaidia wanufaikaji kuanzisha biashara zao na kujikwamua kiuchumi.
@lavy_products
#panda2021
Tips for a successful VICOBA
- Give it value, take it as an association
- Set up a strong constitution
-Have capacity building programs
- Carrying out projects that will benefit your VICOBA.
Last week we had an exciting session with @faithvicoba
@bunihub
#panda2021

“Knowledge is potential power, knowledge alone is not power. Knowledge + action is power.”
- Edmund Munyagi
Thank you @bunihub for the providing space to us for carrying out our Financial literacy session.
@ekmunyagi
#panda2021

Gender Based violence is a global pandemic, deeply rooted in gender inequality and fundamentally a human rights violation
@herinitiative works to empower young women to create financial resilience and break the poverty cycle among them, in order to prevent GBV.
#panda2021

Last Seen Hashtags on Sotwe
ShivaniNagaram
Seen from India
kencing
Seen from Indonesia
turkifsa zorla
Seen from Turkey
manahilmalikleakvedio
Seen from Pakistan
圣水摇
Seen from United States
omegle
Seen from United Kingdom
bopper
Seen from Switzerland
binor vc
Seen from Indonesia
ผัวไม่อยู่
Seen from Thailand
CaughtOnCamera
Seen from Canada
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers













