Top Tweets for #ProFeSa
#Profesa Yupo mmoja tu


Ukipenda unachokifanya utakuwa unauhuru mkubwa sana wa mawazo ya kutanua taaluma yako #profesa
Profesa wa Sheria anaeleza kuwa bado visababishi vinavyo chochea uhamiaji bado havijatiliwa mkazo na mataifa mengi katika bara la Afrika. Sikiliza zaidi...
#profesa #daressalaam #chuokikuuchadaressalaam #wakimbizi #uhamiaji #migogoro #utawalambovu #tanzania #drc #afrikamashariki
1•MALENGO bila mikakati ni MATAMANIO
2•MIKAKATI ndio njia ya MAFANIKIO
3•"KATIKA KILA SAFARI YA
MAFANIKIO,VIKWAZO HUONGEZEKA MUHIMU KUKABILIANA NAVYO.
4•"ADUI MKUBWA WA KUSHIDWA KUTIMIZA MALENCO YAKO NI HOFU ILIYO NDANI YAKO."#profesa kashaga
—-
>Utakachokifanya leo ndicho kitakacholeta matokeo kesho In sha-allaah . Maisha hayana njia za mkato.”#profesa Kashaga
—-
1. “Kila mafanikio yana gharama za kulipia”
2. “Vitani si rahisi kupambana na adui aliye tayari kufa”
3. “Kwenye maisha swali la kwanini ni muhimu sana,
———-
> Umri unakwenda kwa kasi sana, na rasilimali pekee aliyonayo mwanadamu katika ulimwengu huu, ni umri (uhai) wake. Basi tuitumie vyema rasilimali hii kabla haijaondoka. Wengi walitamani kuifika jioni, na jioni imewakuta wakiwa makaburini.#profesa kashaga
—————
——————-
ukiona muda unapotea na umri
unakukimbia,bila faida na mafanikio
yeyote jitahidi kuanza,tabia mpya ili
uyatafute matokeo mapya,maana hakuna matokeo mapya kwenye tabia,zile zile za zamani kifupi matokeo mapya,huanza na matendo mapya #profesa Kashaga
——————-
——————
> Muda wako ni mali sana, hakikisha hauupotezi kwa mambo yasiyo na maana juu ya maisha yako.
Kumbuka wakati huo ni mali."
"Usiache kamwe hadi kesho ambayo unaweza kufanya leo."#profesa kashaga
——————
——
> "Furaha hupatikana kwa kuthamini na kufurahia ulichonacho,huku ukiwekeza imani na matumaini ya kupata mbeleni kile unachokitamani. Ukitaka maisha ya furaha jizoeze kuishi maisha yanayolingana na kipato na uwezo wako."#profesa kashaga
————————-
Dimos inicio a la obra de cloacas más importante de los últimos años gracias al
#PROFESA 👷💧🚧
Estas son obras que no se ven, pero que tienen que ver con la salud de la gente y con el cuidado del medio ambiente.💪
#JuntosEsMejor 🙌
#GestiónMauroDaniele
#LasVarillas

👷 INICIÓ LA OBRA DE CLOACAS DE LAS VARILLAS 👷
👉 En el día de la fecha inició la obra de saneamiento cloacal para la localidad de #LasVarillas.
👉 Estos importantes trabajos para la localidad se dan en el marco del #PROFESA I (Prog. Federal de Saneamiento).

Profesa Jeff Kaluyu atangaza nia ya kugombea nafasi ya urais nchini Kenya katika mahojiano maalum na idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Washington, DC.
#Kenya #Uchaguzi2022 #Profesa #JeffKaluyu #mgombea #mahojiano #voa #voaswahili #dunianileo
Se pone en marcha un sueño histórico para #MinaClavero ��
Red domiciliaria de Cloacas 💪
#ProFeSa
@MinaClaveroOfc
@Enohsa
@ObrasMinSP
@ObrasPublicasAR
@gobdecordoba

Junto al Jefe de Gabinete @JuanManzurOK, el Ministro de Obras Públicas de la Nación @gkatopodis y el Gobernador de Misiones @herrerayflia firmamos un convenio para el financiamiento de obras de agua potable en Santo Pipó y Leandro Alem
#PROFESA #ENOHSA

Avanzan las gestiones para firmar la segunda etapa de Programa Federal de Saneamiento
Nuestro ministro, @AdolfoScaglioni, fue recibido por Alejandro Hoc, Gerente General de @Enohsa, con quién dialogó sobre la implementación de la segunda etapa del #PROFESA

Last Seen Hashtags on Sotwe
myabilia
Seen from United States
momson
Seen from Mexico
leventhorpelegend
Seen from United States
โชหีเมีย
Seen from Thailand
九蛇海賊団船長
Seen from United States
incognitoartshow
Seen from United States
omegle filter:videos
5tegen5voetbaltoernooi
Seen from United States
omegle
Seen from Netherlands
paimi_paipai
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers

















