Top Tweets for #ProfJ
Ona shetani ameshika msahafu na Biblia .Pambio anawaimbia,Machozi anawalilia,maneno yanawaingia mnaanzia kumsifia.
Mwisho mnapiga goti na kuanza kumsujudia - #ProfJ
JEZ ZII watauliza wimbo gani?
#WetalkMusic
Mwana mpotevu rudi kundini - #ProfJ
#Comment :Neno hili litatimia from 1April2023 ,tweet hii utaielewa tar hiyo.
#WetalkEntertainment
Tips 3 muhimu kwa kijana wa miaka 25-30 kupitia mistari ya #Bongofleva.
1.Usijeitaka harusi kwa pupa - #KassimMganga
2.Bata zikikufuata tumia akili - #Belle9
3.Kula vizuri,fanya mazoezi,pumzisha mwili wako - #ProfJ
#WetalkMusic
@IAMartin_ Nina afikiana na mambo mengi na wewe Ila kweny hili No! #FA ana uwezo mzur wa mpangalio wa mawazo, Kwa mapungufu madogo aliyonayo bungeni yanaweza kuchagizwa na uzoefu, ili wachukua zaidi ya mwaka 1 watu kama kina Sugu na #ProfJ kuweza kuibuia mijadala mizito bungeni, tumpe muda
1.BREACHES,2. SOCIAL ENGINEERING na 3 inaitwa ‘MTU KATI’ yaani MAN IN THE MIDDLE.Hii ya 3 inatumika mara chache sana so sintaigusia sana.Hapa ndo utajifunza pia jinsi wanavyopata password zako hadi kuhack account.Tuanze na moja moja ndo mpango asemavyo #ProfJ

Nimemuuliza Doctor mmoja akanithibitishia kwamba maneno yaliyotumika kwenye verse ya #ProfJ kwenye #Starehe - Ferooz,ni reaction na maelezo sahihi kwa mtu anayeishi na VVU.
Swali la pili nikamuuliza "unaonaje tukimjengea MNARA nduguHaule?🥳"
#WetalkMusic

I just made a list of my monthly bills and I divided them amongst credit cards based on which one gives me the most cash back per the categories. THIS is what I'm doing on my day off for fun 🤓 #profJ
Leo yuko na mzungu na kesho yupo na mchina - #ProfJ
#Comment:Zubeda wa J ana tabia za nchi za Africa! 🤣🥳🥳
#Wetalkmusic
Is it horribly pretentious/presumptive of me to sign all future artwork as “Prof. J”?
I thought not.
Thanks!
#art #artist #artwork #professor #makecomics #makingcomics #illustration #comics #comicbooks #ProfJ
Ni vema kufanya ibada na kumrudia muumba wako,
Kula vizuri,fanya mazoezi,pumzisha mwili wako. - #ProfJ
✍🎶
#Wetalkmusic
Tuliongea mengi akanipa hela za matumizi.
Sikuwahi hata kuziona nilikuwa kama chizi. - #ProfJ
✍🎶
#Wetalkmusic
Unafuatilia mziki?Tangu lini?Utakuwa unafahamu.
1. #Mwanafa na #Johmakini washakutana kwenye collabo moja.(Tunavyo Roll)
2.Kulishafanyika collabo yenye #ProfJ na #Nyashinski(Nakuita Njoo)
3.Bambo ana album ya nyimbo.(inaitwaje?😜😁)
#Wetalkmusic
"Eeh unajua Dada"
"WE vipi ebu nipishe"
"DADA mbona mkali?"
"We kinyago kubali yaishe" - #ProfJ
☝️Wanaume mnaopitia haya BWANA yu nanyi. WAN DEI YES!😁😂😂
#Wetalkmusic
@advocatemahere Encompassing. That's pretty. I make mention of #ProfJ. I think he made indication of a need for this angle.
Edited my first YouTube video for my students in the wake of online instruction cuz of #COVID19. We won’t be defeated and class can still be a good time. #famuenglish #digitalhumanities #Composition #profj

Last Seen Hashtags on Sotwe
سالب_الرياض
Seen from Germany
streethooker
Seen from United Kingdom
รับงานพิจิตร
Seen from Thailand
xlii #exny #nolimit() +filter:native_video
Seen from Canada
femboytwt
sadec
Seen from Vietnam
ดูหนังโป้
Seen from Thailand
afyonerenler
Seen from Turkey
นัดเย็ดม่วงงาม
Seen from Thailand
ดูไลฟ์สดแก้ผ้า
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.7M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers










