Top Tweets for #QUTBY
MAKHAWAARIJ #PANGA ZAO ZIKO DHIDI YA #MASALAFY NA AHLISUNNA 📚💦
🫴msikilize kiongozi wa muslim brothehood [ wanafunzi wa Baba la magaidi duniani SAYYID #QUTBY]
ANASEMA HIVI: 👇
"Sipendekwzi kuondolewa kwa uvamizi wa msikiti wa #Al-Aqsa🇸🇩,
bali napenzekeza kuondolewa kwa uvamizi wa Saudia🇸🇦 katika Msikiti Mtakatifu wa Haram na Msikiti wa Mtume huko Makka na Madina."
#KamalAlKhatib — ni mwanachama wa Ikhwan anayeishi #Tel Aviv.
Hawa ni ndugu wa mashetani na si ndugu wa Waislamu.
@AbdallahAl91947 @BinKombo3 @BlackWolfBeast @khilafah8 @jtalb8 @Rahim_Meghji
لا أطالب بزوال الإحتلال عن #المسجد_الأقصى
بل أطالب بزوال الإحتلال السعودي عن المسجد الحرام
وعن المسجد النبوي في #مكة و #المدينة
.
#كمال_الخطيب ... إخونجي يقيم في #تل_ابيب
هؤلاء اخوان الشياطين وايس اخوانا للمسلمين
SAYYID #QUTBY BABA LA MAGAIDI DUNIANI 📚⁉️
>> Osama bin laden mwalimu wake ndio huyu SAYYID QUTBY
🔹️Na ndio pia kina Rogo walichukua elimu toka kwa huyu Gaidi la kimataifa
Sheikh Rabi’ Al-Madkhali – Allah amrehemu – alisema:
(Sababu zilizopelekea kuandika kuhusu itikadi ya Sayyid Qutb)
Miongoni mwa sababu hizo ni:
Kumtolea sifa za kupindukia Sayyid Qutb, kumsifu sana, na kuunda taswira kubwa ya ukarimu juu ya mtu wake na maandiko yake, jambo ambalo limewapofusha watu kiasi kwamba hawafikiri wala hawawezi kumwona Sayyid Qutb katika hali yake halisi, wala kuelewa ukweli wa yaliyomo katika vitabu vyake.
Hawagundui makosa makubwa yaliyomo humo, ambayo mtu muumini akiyafahamu, dunia itamkuwa finyu, na atagundua kwamba dini yake inamtaka awafahamishe watu juu ya batili na upotofu uliojificha katika vitabu hivyo kutokana na kampeni za kuvisambaza.
Pia miongoni mwa sababu ni msimamo wa ukaidi wa wale wanaosimamia turathi zake, wakiongozwa na ndugu yake Muhammad Qutb, ambao wamesisitiza kuchapisha vitabu hivyo mara kwa mara, kwa namna kwamba kila kitabu miongoni mwa vitabu vyake kimechapishwa mara nyingi sana.
Kitabu chake Fi Dhilal al-Qur’an (Katika Kivuli cha Qur’an), ambacho kimekusanya aina nyingi za bid'aa, kimechapishwa mara thelathini na tatu hadi sasa.
Kitabu chake Ma’alim fi al-Tariq (Alama za Njia) kimechapishwa mara kumi na tano, na kitabu Al-‘Adalah al-Ijtima’iyyah (Haki ya Kijamii katika Uislamu) kimechapishwa mara kumi na mbili.
📘 المجموع لفضيلة الشيخ الدكتور ربيع بن هادي المدخلي
(رحمه الله)
جمع فيه مؤلفاته، رسائله، مقالاته، وفتاواه،
وقد صدر في عدة مجلدات.
(Al-Majmūʻ, juzuu ya 6, uk. 10)📚
@AbdallahAl91947 @jtalb8 @khilafah8 @BlackWolfBeast @Rahim_Meghji @HabiibYahyaa @IsaRouhan13797 @Matallahkhamis

Last Seen Hashtags on Sotwe
แอบผัวโชว์
Seen from Thailand
얼공
Seen from Korea
teenage girls
Seen from United States
desi
Seen from United States
omegle
Seen from United States
perv()+filter:native_video
Seen from France
น้องกําเงินขนดก
Seen from Thailand
木村愛心
Seen from Netherlands
momson() +filter:videos
Seen from Singapore
รับงานปากช่อง
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

