Top Tweets for #MASALAFY
KWANINI #MASALAFY WANAPINGA MAANDAMANO KOTE DUNIANI📚💦
>>Hatupingi kwakua sisi ni vibaraka wa watawala kwa kutetea dhulma zao au sisi ni waoga
🫴Bali kwakua tunashikama na Quraan na sunna na ufahamu wa wema waliotangulia na njia za wanachuoni wa Haki
🔹️sio maandamano tu...tunapinga ufisadi,dhulma,umwagaji damu bila hatia n.k
_lakini tuna mipaka juu ya #watawala, kwani wao wamepewa nafasi yao na haki zao kwa mujibu wa Quraan na sunna
MOJA YA #HAKI ZA MTAWALA ALIZOPEWA NA #ALLAH NI;
🫴NI KUNASIHIWA AU KUAMBIWA MAKOSA NA MADHAIFU YAKE KWA SIRI( KWENYE FARAGHA)
🔹️Mtawala #hakemewi,au #kukosolewa au kuambiwa aibu na makosa yake hadharani[IN PUBLIC] _kwenye #media,majukwaa,mitandaoni,madhabahuni,kwenye mimbar,vijiweni,masokoni n.k
🫴wala hatusemi au kuwatakasa kwamba wao ni maasum(kwamba #hawakosei)
_na wao wanalijua hili tulisemalo juu yao kwamba wao sio malaika na wala hawakasiriki juu ya hili
![abusumayyah_o's tweet photo. KWANINI #MASALAFY WANAPINGA MAANDAMANO KOTE DUNIANI📚💦
>>Hatupingi kwakua sisi ni vibaraka wa watawala kwa kutetea dhulma zao au sisi ni waoga
🫴Bali kwakua tunashikama na Quraan na sunna na ufahamu wa wema waliotangulia na njia za wanachuoni wa Haki
🔹️sio maandamano tu...tunapinga ufisadi,dhulma,umwagaji damu bila hatia n.k
_lakini tuna mipaka juu ya #watawala, kwani wao wamepewa nafasi yao na haki zao kwa mujibu wa Quraan na sunna
MOJA YA #HAKI ZA MTAWALA ALIZOPEWA NA #ALLAH NI;
🫴NI KUNASIHIWA AU KUAMBIWA MAKOSA NA MADHAIFU YAKE KWA SIRI( KWENYE FARAGHA)
🔹️Mtawala #hakemewi,au #kukosolewa au kuambiwa aibu na makosa yake hadharani[IN PUBLIC] _kwenye #media,majukwaa,mitandaoni,madhabahuni,kwenye mimbar,vijiweni,masokoni n.k
🫴wala hatusemi au kuwatakasa kwamba wao ni maasum(kwamba #hawakosei)
_na wao wanalijua hili tulisemalo juu yao kwamba wao sio malaika na wala hawakasiriki juu ya hili](https://pbs.twimg.com/media/G5xE9wJWoAApaBX.jpg)
SHEIKH WALIDI ASEMA ; "UKIKATAA #USUFY BASI UMETOKA KTK UISLAMU"📚💦
>>kwamaana usufy ndio uislamu pekee aliokuja nao mtume 😂
🫴#masufy na wao ni matakfiri_wanakufurisha waislamu waliokua masufy
🔹️SISI TUKIJIITA #MASALAFY _masufy wanapinga na kutujia juu kama nyuki
Wanasema : #mtume hakujiita #salafy wala Quraan haikusema tujiite salafy bali tujiite waislamu
🫴ILA WAO WAKIJIITA MASUFY AU MSUFY BASI SIO DHAMBI 😂
JAPOKUA HAKUNA NENO "SUFY" AU "TASAWUF" KTK QURAAN WALA SUNNA 🖐
CHUKI DHIDI YA AHLISUNNA NI KUBWA SANA
*wakifsnyacho wao ni dini ila tukifanya sisi wengine ni dhambi"
@BlackWolfBeast
@Matallahkhamis @khighlah_music @IsaRouhan13797 @HabiibYahyaa
#BIDAA YA #MAWLID NA ZINGINE ZINAPENDWA ZAIDI NA SHETANI KULIKO #UZINZI AU #KUUA📚💦
🔹️HIYO SIO KAULI YA #MASALAFY WA ZAMA HIZI; BALI NI KAULI ZA MASWAHABA NA MAIMAMU WA KARNE 3 BORA
>>Kama kinachochuliwa zaidi kwa Allah ni #bidaa
🫴basi kinyume chake anachokipenda zaidi shetani ni KILE KINACHOCHUKIWA ZAIDI NA #ALLAH NAYO NI : #BIDAA
1🔹️Kama alivyosema Swahaba wa mtume IBN ABAS رضي الله عنه
قال الصحابي ابن عباس رضي الله عنه:
"أبغضُ الأمور إلى الله البدعة."
Swahaba Ibn ʿAbbās رضي الله عنه amesema:
“Jambo #linalochukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni #bid‘a (uzushi katika dini).”
📚 [As-Sunan al-Kubrā 4/316]
📚 [السنن الكبرى 4/316]
2🔹️Hii ni kauli PIA mashuhuri ya Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله kuhusu #bid‘a:
قال الإمام سفيان الثوري رحمه الله:
«البدعة أحب إلى إبليس من المعصية؛ لأن المعصية يُتاب منها، والبدعة لا يُتاب منها»
📚 [اللالكائي في شرح أصول اعتقاد أهل السنة والجماعة 1/132]
Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله amesema:
“#Bid‘a Inapendwa zaidi kwa Shetani kuliko #maasi. Kwa sababu maasi mtu hutubia, lakini kwenye bid‘a hatubii.”
3🔹️NI KAULI PIA YA FUDHAIL IBN IYAAHD
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله :
قال الفضيل بن عياض رحمه الله: "لأن ألقى الله بزنبى كلِّه، أحبُّ إليَّ من أن ألقاه بشيءٍ من الأهواء."
📚 Imepokelewa katika Sharḥ Uṣūl al-Iʿtiqād cha Al-Lālikāʾī (1/133).
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Ni bora Nikikutana na Allah nikiwa na dhambi zote (kama uzinzi au wizi) ni bora zaidi kwangu kuliko nikikutana Naye nikiwa na kitu cha #uzushi (bid‘a).”
MASUFY NA MASHIA WATASEMA HIZI NI KAULI ZA #KIWAHABY
🫴lakini angalia waliozitamka ni kina nani⁉️
1_IBN ABASS=SWAHABA MAARUFU WA MTUME
2_SUFYAAN THAWRIY= IMAAM NA NI KTK TABE TABEEN
[ amezaliwa mwaka 97 H na kifariki mwaka 161 H(katika karne 3 bora)..amesoma kwa wanafunzi wa maswahaba]
3_FUDHAYL BIN IYAADHA= IMAAM NA TABI TABEEN
[ amezaliwa mwaka 107 H na kufa 187 H (ktk karne 3 bora),, Alikutana na wanazuoni wakubwa wa zama zao kama Sufyān ath-Thawrī, Ibn al-Mubārak, na wengine.
![abusumayyah_o's tweet photo. #BIDAA YA #MAWLID NA ZINGINE ZINAPENDWA ZAIDI NA SHETANI KULIKO #UZINZI AU #KUUA📚💦

[ amezaliwa mwaka 107 H na kufa 187 H (ktk karne 3 bora),, Alikutana na wanazuoni wakubwa wa zama zao kama Sufyān ath-Thawrī, Ibn al-Mubārak, na wengine.](https://pbs.twimg.com/media/GzbR6vkXoAAiikm.jpg)
#BIDAA INAPENDWA ZAIDI NA SHETANI KULIKO #UZINZI AU #KUUA📚💦
🔹️HIYO SIO KAULI YA #MASALAFY WA ZAMA HIZI; BALI NI KAULI ZA MASWAHABA NA MAIMAMU WA KARNE 3 BORA
>>Kama kinachochuliwa zaidi kwa Allah ni #bidaa
🫴basi kinyume chake anachokipenda zaidi shetani ni KILE KINACHOCHUKIWA ZAIDI NA #ALLAH NAYO NI : #BIDAA
1🔹️Kama alivyosema Swahaba wa mtume IBN ABAS رضي الله عنه
قال الصحابي ابن عباس رضي الله عنه:
"أبغضُ الأمور إلى الله البدعة."
Swahaba Ibn ʿAbbās رضي الله عنه amesema:
“Jambo #linalochukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni #bid‘a (uzushi katika dini).”
📚 [As-Sunan al-Kubrā 4/316]
📚 [السنن الكبرى 4/316]
2🔹️Hii ni kauli PIA mashuhuri ya Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله kuhusu #bid‘a:
قال الإمام سفيان الثوري رحمه الله:
«البدعة أحب إلى إبليس من المعصية؛ لأن المعصية يُتاب منها، والبدعة لا يُتاب منها»
📚 [اللالكائي في شرح أصول اعتقاد أهل السنة والجماعة 1/132]
Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله amesema:
“#Bid‘a Inapendwa zaidi kwa Shetani kuliko #maasi. Kwa sababu maasi mtu hutubia, lakini kwenye bid‘a hatubii.”
3🔹️NI KAULI PIA YA FUDHAIL IBN IYAAHD
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله :
قال الفضيل بن عياض رحمه الله: "لأن ألقى الله بزنبى كلِّه، أحبُّ إليَّ من أن ألقاه بشيءٍ من الأهواء."
📚 Imepokelewa katika Sharḥ Uṣūl al-Iʿtiqād cha Al-Lālikāʾī (1/133).
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Ni bora Nikikutana na Allah nikiwa na dhambi zote (kama uzinzi au wizi) ni bora zaidi kwangu kuliko nikikutana Naye nikiwa na kitu cha #uzushi (bid‘a).”
MASUFY NA MASHIA WATASEMA HIZI NI KAULI ZA #KIWAHABY
🫴lakini angalia waliozitamka ni kina nani⁉️
1_IBN ABASS=SWAHABA MAARUFU WA MTUME
2_SUFYAAN THAWRIY= IMAAM NA NI KTK TABE TABEEN
[ amezaliwa mwaka 97 H na kifariki mwaka 161 H(katika karne 3 bora)..amesoma kwa wanafunzi wa maswahaba]
3_FUDHAYL BIN IYAADHA= IMAAM NA TABI TABEEN
[ amezaliwa mwaka 107 H na kufa 187 H (ktk karne 3 bora),, Alikutana na wanazuoni wakubwa wa zama zao kama Sufyān ath-Thawrī, Ibn al-Mubārak, na wengine.
@BinKombo3 @HabiibYahyaa @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @BlackWolfBeast @Rahim_Meghji @daudajerry53
@Asia_Zamah @AbuuSumayyah10 @iam_rajabu @HashimuMok23111 @ABUWSUHAYLAH @
HAKUNA MTAWALA #DUNIANI AMBAYE RAIA WAKE WENGI NI #MASALAFY ISPOKUA #ALLAH HUMPA UTULIVU KWENYE NCHI YAKE 📚💦
>> #masalafy ndio waliobeba taswira nzima ya UISLAM SAHIH #DUNIANI 🌍
🫴Kwa nini #Ikhwaan(Muslim brotherhood) wanamchukia Jenerali #Haftar wa libya🇱🇾?
Moja ya sababu kuu ni msimamo wake mkali na wa wazi dhidi ya kundi la Ikhwaanul-Muslimin, ambao amewashutumu vikali kuwa ni chanzo cha #uharibifu na #machafuko popote wanapoenda.
---
💬 Kauli ya Jenerali #Haftar wa #libya kuhusu🇱🇾 Ikhwaanul-Muslimin:
Kamanda #Hafta anasema:
“Ikhwaanul-Muslimin? Nawaona kama #bomu🔥 la saa – popote wanapoenda, uharibifu huwafuata.”
---
🎤 Mahojiano:
Mwandishu :🎤
“Sasa msimamo wako kuhusu Ikhwaanul-Muslimin umeonekana wazi, kama ilivyo kuhusu Al-#Qaeda, #ISIS na vikundi vinavyofanana navyo. Lakini kuna wanaokukosoa, ewe Amiri wa Jeshi la Libya, kwamba huenda umefungua mikono—au mlango kwa upana zaidi—kwa harakati ya #Salafiyyah. #Masalafi sasa wanapigana bega kwa bega na jeshi la #Libya. Wengine wanaona hili ni kinzani. Unapambana na harakati za Kiislamu za kisiasa, lakini unaruhusu #Masalafi kuungana nawe. Una jibu gani kuhusu hilo?”
---
🔥 Jenerali #Haftar anajibu:
Haftar: 🎤
“Je, huo si mlinganisho wa ajabu? Wa kushangaza kweli, sivyo? Hawa watu… niseme nini kuhusu tofauti iliyopo kati yao? Tofauti kati ya #Masalafi na harakati zingine za Kiislamu ni kama tofauti kati ya #Pepo na #Moto—kabisa.
Siamini kuwa Masalafi wanawahi kutafuta #madaraka. Hawadai mamlaka. Wote wanalingania njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema. Wanalingania kwa #upole—si kwa kukata #vichwa, kumwaga damu, au miito ya #vurugu. Huo ni mwito wa aina gani? [Mwito wa Ikhwaan]
Kwa kweli, sioni mlinganisho wowote kati yao. Na kwa uhalisia, #Masalafi ni #waaminifu katika kazi yao ya da‘wah na kuwaongoza watu kwenye njia sahihi.”
---
📌 Kwa nini Ikhwaan wanamchukia Haftar?
1. Anawachukulia kama tishio la usalama wa kitaifa.
2. Anawaona kama vyanzo vya machafuko, ugaidi na migogoro.
3. Anashirikiana wazi na Masalafi wa kisalafiyyah , ambao ni wapinzani wakubwa wa Ikhwaan.
4. Ameshambulia na kuzuia ushawishi wa Ikhwaan katika siasa za Libya.
---
Kwa hivyo, chuki ya Ikhwaan dhidi ya #Haftar inatokana na mwelekeo wake wa kupambana na siasa za Kiislamu za uasi na uasi wa kisiasa, huku akiunga mkono Salafiyyah ya kielimu na yenye nidhamu, ambayo haifanyi harakati za kisiasa wala mapinduzi.
@AbdallahAl91947
@BlackWolfBeast @himovici000 @IsaRouhan13797 @jtalb8 @Rahim_Meghji @khilafah8 @Matallahkhamis
#MAKHAWAARIJ MKINASIHIWA MUACHE FUJO DHIDI YA WATAWALA MUWE WAELEWA BASI 📚💦
🫴LENGO LETU SISI #MASALAFY NI KUZUIA DAMU ZA WAISLAM KUMWAGIKA
🤏_lawama kwa #masalafy toka kwa #makhawaarij na #masufy huwaga ziko KABLA YA MATUKIO YA KIKHAWAARIJ WANAYOYAFANYA NA BAADA YA MATUKIO HAYO YA KIGAIDI
📚 MASALAFY WAKISEMA;
"ACHENI VITA NA MATAIFA YA MAGHARIBI, KWA SASA UISLAM UNA UDHAIFU KINGUVU NA KISILAHA , FANYENI SUBRA ...RUDINI KWA ALLAH KWA TAWHEED NA SUNNA"
📚_MAKHAWAARIJ MNASEMA"
"TAWHEED MPAKA LINI?..NYIE MASALAFY NI VIBARAKA WA MAYAHUDI NA WAOGA , SISI TUNAENDA VITANI NA KHILAFA ITASIMAMA BILA NYIE MUNAFIQOON"
🫴😭 MATOKEO YAKE:
"UHARIBIFU UKISHATOKEA NA UMWAGAJI DAMU UKATOKEA WAISLAM WAKAUWAWA KAMA KUKU "
📚 MAKHAWAARIJ WANARUDI WANABWEKA TENA KWA MASALAFY;
"NYIE NDIO CHANZO CHA WAISLAMU KUFAA...MMEKAA MNAKULA BIRIAN WAISLAM WANAUWAWA KULE GHAZAA NYIE MMAKAA KIMYA , NYIE NI VIBARAKAAA...HAMNA HURUMA NA WAISLAMUUUU"🔥🔥🔥
🫴 LAWAMA LAWAMA LAWAMA
"MNGEZILAUMU NAFSI ZENU KWA KUJIPA #UJASIRI WA KIJINGA WA KUJIONA MNAWEZA JIHAAD NA #VITA HATA BILA MSAADA WA ALLAH"
🫴mkianzisha chokochoko, mkakanywa dhidi ya kufanya chokochoko kwa watawala,,mnawabeza wenye kuwanasihi kwa majina ya "vibaraka wa watawala na wanafiki na waoga "
Mambo yakiwashindwa msalaba mnaurudisha tena kwa masalafy mliowaita ni "VIBARAKA NA WAOGA"
🔥📚 makhawaarij mkikanywa kanyikeni basi NCHI NYINGI ZA KIISLAM ZIMETAPAKAA DAMU KWA SABABU YA HAMAS ZENU ZA KIJINGA
LIBYA,SUDAN,SYRIA,SOMALIA,ALGERIA,MISRY,TUNISIA
🔹️mmewaingiza waislam kwenye matatizo kwa midomo yenu kwenye media..halaf kwenda kuwasaidia baada ya machafuko hamuendi ...kazi yenu kuwatukana wasaudia na waarabu kwa fujo mliolianzisha nyie kwa kisingizio cha KUSIMAMISHA KHILAFA
ARAB SPRINGS _ MLIHAMASISHANA KWA ASILIMIA 100 % mkitaka viongozi wa nchi za kiarabu waondolewe madarakani kisa ni vibaraka wa wamagharibi
🔹️mkamuondoa GADAF NA OMAR AL BASHIR ....LEO KUNA NINI HUKO SUDAN NA LIBYA⁉️
FAIDA YAKE IKO WAPI NA WALE WALIOKUFA WAMEPATA NINI ⁉️
NDIO KHILAFA ISHASIMAMA SASA⁉️
@AbdallahAl91947 @BinKombo3 @BlackWolfBeast @IsaRouhan13797 @jtalb8 @Rahim_Meghji @SaidBitomwa @Matallahkhamis @khilafah8

#MUISLAMU TAHADHARI NA UONGO DHIDI YA WAUMINI📚💦
>> MSIFIKIRI MNACHEKA KWA KUZUA UONGO DHIDI YA #MASALAFY KISA MMEBANWA KWENYE #HOJA
🔹️hayo #masikhara na #mchezo unaoufanya kwa #khiana mtakuja kuilipa siku ya kiama
HIVI UNAWEZA #THIBITISHA KWA HAKI KABISA KWAMBA HAWA MASALAFY WANALIPWA NA #MAKAFIRI ILI KUENEZA DAAWA SALAFIYYAH⁉️
🫴unajua ukituhumu muislam kwa uongo madhara yake ni nini?
قال رسول الله ﷺ:
> "من قذف مؤمنًا بكلمة ليس فيه، حبسه الله في ردغة الخبال حتى يأتي بالمخرج مما قال."
وفي رواية أخرى:
> "من بهت مؤمنًا أو قال فيه ما ليس فيه، أسكنه الله ردغة الخبال، حتى يخرج مما قال."
📚 رواه أبو داود (2629) وأحمد، وصححه الألباني
---
📘 Tarjama ;
Mtume ﷺ amesema:
> "Yeyote #atakayemzulia muumini jambo ambalo halimo ndani yake, basi Allah atamuweka katika ‘Radghatul-Khabaal’ (sehemu ya moto yenye #usaha na damu ya watu wa motoni), mpaka atoke na kuleta kile #alichokisema."
Na katika riwaya nyingine:
> "Yeyote #atakayemsingizia #muumini au kusema juu yake kile kisichokuwemo kwake, basi Allah atamkalisha katika ‘Radghatul-Khabaal’ hadi alete ushahidi katika yale aliyosema."
---
🩸 Maana ya "رَدْغَةُ الخَبَال":
🫴Ni sehemu ya Moto wa Jahanamu yenye mchanganyiko wa usaha, damu, na majimaji machafu kutoka kwa watu wa motoni – sehemu yenye adhabu kali na ya kudhalilisha sana.
@BlackWolfBeast @abusumayyah_o @BinKombo3 @AbdallahAl91947 @jtalb8 @Matallahkhamis @Rahim_Meghji Hawa dagaa wadogo wadogo hawajui maaana wanapelekeshwa ila wale masalafy wenyewe wanaopokea ruzuku kutoka Israel wanaelewa wapo kazini hawa dagaa wadogo mpaka mtu awe na akili huru ndio ataelewa
MAKHAWAARIJ #PANGA ZAO ZIKO DHIDI YA #MASALAFY NA AHLISUNNA 📚💦
🫴msikilize kiongozi wa muslim brothehood [ wanafunzi wa Baba la magaidi duniani SAYYID #QUTBY]
ANASEMA HIVI: 👇
"Sipendekwzi kuondolewa kwa uvamizi wa msikiti wa #Al-Aqsa🇸🇩,
bali napenzekeza kuondolewa kwa uvamizi wa Saudia🇸🇦 katika Msikiti Mtakatifu wa Haram na Msikiti wa Mtume huko Makka na Madina."
#KamalAlKhatib — ni mwanachama wa Ikhwan anayeishi #Tel Aviv.
Hawa ni ndugu wa mashetani na si ndugu wa Waislamu.
@AbdallahAl91947 @BinKombo3 @BlackWolfBeast @khilafah8 @jtalb8 @Rahim_Meghji
لا أطالب بزوال الإحتلال عن #المسجد_الأقصى
بل أطالب بزوال الإحتلال السعودي عن المسجد الحرام
وعن المسجد النبوي في #مكة و #المدينة
.
#كمال_الخطيب ... إخونجي يقيم في #تل_ابيب
هؤلاء اخوان الشياطين وايس اخوانا للمسلمين
WENYE HURUMA NA #DAMU ZA WAISLAM DUNIANI NI #MASALAFY📚💦
>> MASALAFY WAKIWANASIHINI KWAMBA;
"ACHENI KUFANYA UASI NA MAANDAMO DHIDI YA WATAWALA KUWENI NA SUBRA JUU YA DHULMA ZA WATAWALA MTEGEMEENI ALLAH NA MRUDI KWAKE KWA TAWHED NA SUNNA"
🫴Hiyo ndio huruma kubwa kwani lengo ni KULINDA DAMU ZA WAISLAMU KUTOKANA NA MACHAFUKO YATAKAYOTOKEA
Tatizo lenu khawaarij ni ujinga wenu ni mwingi sana🚮
🫴nyie mnafikiri mkisimama na #hamas ndio mnatetea damu za waislamu wa ghaza🇸🇩
🔹️hivi hamjui kwamba matukio ya hamasi ndio sababu kubwa ya waislam wenzetu wa ghaza kufikia pale tangu oct7?
_mlipokua mnawashangilia hamas oct 7 walipofanya lile tukio mmeshasahau⁉️
_masalafy waliwakanyeni mara ngapi kuhusu matukio kama hayo ya kihamasa ambao yatawagharimu waislamu⁉️
_wakati maulamaa wa kisalafy wakiwaonya hamas dhidi ya israel🇮🇱 ,kwamba msifanye jambo lolote la kijinga matokeo yake ni mabaya kwa wapalestina🇸🇩, mliwaita "VIBARAKA NA WAOGA" ..hamas kupitia iran🇮🇷 wakajiona wanayaweza bila hata kushauriana na mataifa ya kiislam na uarabu
🫴sasa kumbe msalafy ndio wana huruma zaidi na waghaza🇸🇩 kwakua wao ndio wanatoaga ushauri mzuri dhidi ya ukandamizi wa israel🇮🇱
_lawama kwa masalafy toka kwa makhawaarij na masufy huwaga ziko KABLA YA MATUKIO YA KIKHAWAARIN NA BAADA YA MATUKIO HAYO YA KIGAIDI
📚 MASALAFY WAKISEMA;
"ACHENI VITA NA MATAIFA YA MAGHARIBI KWA SASA UISLAM UNA UDHAIFU FANYENI SUBRA ...RUDINI KWA ALLAH KWA TAWHEED NA SUNNA"
📚_MAKHAWAARIJ MNASEMA"
"TAWHEED MPAKA LINI..NYIE NI VIBARAKA WA MAYAHUDI NA WAOGA SISI TUNAENDA VITANI NA KHILAFA ITASIMAMA BILA NYIE MUNAFIQOON"
😭 MATOKEO YAKE:
"UHARIBIFU UKISHATOKEA NA UMWAGAJI DAMU UKATOKEA WAASLAM WAKAUWAWA"
📚 MAKHAWAARIJ WANABWEKA TENA KWA MASALAFY;
"NYIE NDIO CHANZO CHA WAISLAMU KUFAA...MMEKAA MNAKULA BIRIAN WAISLAM WANAUWAWA KULE GHAZAA NYIE NI VIBARAKAAA"
🫴 LAWAMA LAWAMA LAWAMA
"MNGEZILAUMU NAFSI ZENU KWA KUJUPA UJASIRI WA KIJINGA WA KUJIONA MNAWEZA VITA HATA BILA MSAADA WA ALLAH"
🫴mkianzisha chokochoko mkakanywa mnawabeza wenye kuwanasihi kwa majina ya "vibaraka na wanafiki"
Mambo yakiwashindwa msalaba mnaurudisha tena kwa masalafy mliowaita ni "VIBARAKA NA WAOGA"
🛡🔰🫴📚
🫴miji mingapi damu zimemwagika kwasababu ya kauli na hamasa na jazba zenu za kijinga
Angalia sudan leo na libya ..je kina nani waliochochea zile hamas A maandamano dhidi ya Gadafi na Omar albashir⁉️
🫴si ni nyie makhawaarij na makundi yenu
🫴mkawashajiiisha raia waandamane dhidi ya gadaf na omar albashiri kwa kisingizio eti ;
"Tunataka kusimamisha khilafa"
"Hawa watawala ni vibaraka na wanajipendelea na hawasimamishi sheria ya dini"
🔹️🫴leo ni damu ngapi zimemwagika Sudan na libya bila hatia kwasababu ya hamasa zeny za kipumbavu⁉️
MASALAFY WAKISEMA KUWAMBIENI ;
"Acheni kufanya uasi dhidi ya watawala kuweni na subra kwasababu damu za waislam zitamwagika"
Nyie makhawaarij mnasemaga:
"Masalafy ni vibaraka na waoga wa jihaad na wanafiki wakubwa"
🫴kisha baada ya hapo mnaanza kushajihishana kuwatoa madarakani watawala bila kwa maandamano na vurugu
MATOKEO YAKE;
🫴Damu zinamwagika za waislam na wasiokua waislam..mali zinateketea miji inaharibika na amani hairudi
🔹️HALAF YAKISHATOKEA HAYO KUPITIA MIDOMO YENU NCHI ZIKAHARIBIKA NYIE MAKHAWAARIJ NA MASUFY MNAANZA KUITA ;
"ooo masalafy mmekaa mnakula waislamu wanakufa hukoo Ghaza sijui sudan sijui syria"
🫴📚💦 HIVI SI NDIO NYIE MLIWAITA MASALFY NI WAOGA WA JIHAAD NA VIBARAKA HAPO MWANZO WAKATI WAKIKUKATAZENI NA KUFANYA UASI NA MAANDAMANO DHIDI YA WATAWALA⁉️⁉️⁉️⁉️
🫴wakati mnakanywa hamkusikia kwakua mlijiona NYIE MNA NGUVU NA UBAVU WA MAPAMBANO ..MKAWAONA MASALAFY NI VIBARAKA WA WATAWALA NA KAZI YAO NI KUTETEA WATAWALA WAOVU
🔹️SAAA MNAANZISHA VITA MKIDAI MNATAKA KHILAFA .MNAJUA KABISA WAISLAM HAWANA NGUVU ZA KUJA KUKUTETEENI PINDI MAJI YAKIZIDI UNGA
🫴halaf mkitoka hapo mnaaanza kusema OO MASALAFY NI WAYAHUDI ...WAMEKAAA WAISLAM WANAKUFA WAO HAWATOI MSAADA
MSAADA GANI WAKATI NYIE MLIKANYWA MKAWA WAKAIDI ⁉️

We mgonjwa sisi mziki kwetu ni haramu na tuko mbali na mziki
🫴akina diamond,zuchu,alikiba na konde boy sio #masalafy wale bali ni #masufy wenzenu
Na juzi sheikh #walid wenu kahalisha mziki kisa kala ftari ya #wasafi
🫴hakuna mwanachuoni yeyote wa kisalafy anayesema mziki ni halali au sio haramu...hata kama utafanyika saudia
🔹️kwa mujibu wa uislam mtawala hapigwi raddi hadharani anapewa nasaha kwa siri
_kwahiyo huezi ona salafy yeyote anampiga raddi mtawala hadharani SAUDIA 🇸🇦, hata kama maovu yanafanyika in public kwakufanyia kazi hadithi za mtume..sisi tunakemea tu mziki kiujumla tu kama unafanywa na mtawala au kuruhusiwa kufanyika ndani ya nchi _Ila hatuanzi kumradii kiongozi
🔹️usije ukasema ni SAUDIA TU...hata hapa Tz 🇹🇿 hakuna salafy anaropoka kwa mtawala juu ya makosa yao, sio kwamba MAMA SAMIA NI MALAIKA HAKOSEI .....ukiona raddi salafy wamefanya , jua wanaofanyiwa ni raia na sio mtawala
HIYO NDIO TOFAUTI YA MASHEIKH WA #KISUNNA NA MASHEIKH WA #KIBIDAA
@Abdiazizmohd786 @abuu Tunataka masheikh wa Kisalafi wapige Radd na hii tuone km ni wanaume kweli kweli!
NASKIA MASHEIKH WA KISUFY AMBAO NI WAGANGA NA WAPIGA RAMLI WAMEPIGANA KWENYE MSIBA WA MSANII #CARINA MAREHEMU⁉️
🫴KULIKONI
NA KILA MMOJA ANAJISIFIA NDIO ALIKUA MGANGA WAKE
✍️_MMOJA ANADAI #MAREHEMU ALIROGWA NDIO MPKA KIFO
_ENDELEENI KUWASEMA #MASALAFY WANAFARKANISHA UMMA MTAFANIKIWA SANA
🔹️NAAM , Sisi tutafarakanisha:
✅️ USHIRIKINA__VS__TAWHEED
✅️SUNA__VS___BIDAA
🔰WATU WA TAWHEED__VS__WASHIRIKINA.
🔰WATU WA SUNNA__VS__WATU WA BIDAA
MNAPELEKA MPAKA MAMBO YA #KISHIRIKINA KWENYE MISIMBA
KWANINI #MASALAFY WANAKUA WAKALI DHIDI YA #AHLULBIDAA
🫴hizi bidaa ndio sababu ya kuleta mifarakano katika dini
🔹️lakini watu wengi hawajui, wanadhani bidaa sio sababu ;
_~wakasema sababu ni #Mayahudi wenyewe
_~sababu ni vibaraka wa mayahudi ambao ni #mawahaby
🫴HIVI UKIZUA KITU KWENYE DINI AMBACHO HAKIKUFANYWA NA MASWAHABA WALA MTUME
JE, UTAKUA UMEFARIKISHA UMMA AU UMEUNGANISHA UMMA⁉️
🔹️Jawabu ni kwamba;
UTAUFARIKISHA UMMA KUTOKA KWENYE CHANZO CHAKE ..ambao ni MTUME KUPITIA KWA MASWAHABA
✍️_Kwasababu; KIUNGANISHI BAINA YETU NA MTUME NI MASWAHABA
🫴SASA UKIANZISHA NJIA YAKE KINYUME NA MASWAHABA( #SALAF),,,ITAKUA UMEKATA DARAJA LA KUFIKA KWA MTUME NA HUO NDIO #MFARAKANO MKUBWA KWENYE #UISLAMU
📛_NA FARAKA HII HAWAIFANYI ISPOKUA WATU WA #BIDAA NA MATAMANIO
``..FUATENI MLIYOTEREMSHIWA KUTOKA KWA MOLA WENU WALA MSIFUATE VIJINJIA NJIA.. "
SAWA SISI MAYAHUDI ILA TUKIWAITA NYIE #MAKHURAFI MSIPANIKI
🫴utasikia mmoja anakuja kwenye posti za #masalafy analalamika oo waislam mnaitana majina mabaya
✍️_ila hawa jamaa zake wakisufy anawakalia kimya WANATUITA MAYAHUDI...ILA HUOMUONI AKIENDA KUWAPA NASAHA WAACHE HAYO MAJINA MABAYA
@OfficialJouma Jitafakari kaka
HATUTAKI NASAHA ZA KIHIZB
@wabukadan @OfficialJouma NYIE MAYAHUDI HAKUNA UISLAM UNAFUNDISHA HIVYO MNAJIPANDIKIZA KUMSINGIZIA MTUME S.A.W AONEKANE JAHIL KAMA NYIE. WALA HAJAFUNDISHA WATU WAJINGA KAMA NYIE
MWENYE KUSEMA LEO HII HAMNA MWISLAMU HATA MMOJA...BIMAANA WATU WOOTE ULIMWENGINI NI MAKAFIRI✝️
🫴nini hukmu yake?⁉️🔰
✍️_na ni ipi hukmu ya mwenye kumfuata mtu kama huyo?👣
🤏_haya maneno angeyasema MUJADID SHEIKH MUHAMMAD (rahimahullah) BASI sijui #masalafy🇸🇦 tungeweka wapi nyuso zetu hivi leo
LAKINI PAMOJA NA SHEIKH KUTOKUA TAKFIRI STILL WAISLAMU WANASEMA ANAWAKUFURISHA WAISLAMU
🫴ILA HUYU JAMAA #SAID QUTBY (rahimahullah) ANAYEPENDWA SANA NA WANAHARAKATI, HUTASIKIA HATA SIKU MOJA SUFY (QUBUURY) AKIMSEMA VIBAYA HUYU MTU KWA KUWAKUFIRISHA WAISLAMU WOTE KWA UWAZI NAMNA HII BILA #HATIA
UADILIFU NI MUHIMU SANA NA NDIO WANACHOKIKOSA WATU WENGI KWA SABABU YA CHUKI
_kwanza ukimuuliza sufy yeyote je, wamjua SAID QUTBY? ⁉️
🫴sidhani kama hata anamjua...na hata ukimwambia huyo mtu alikua #Khawaarij /Gaidi ...atakwambia usimseme vibaya muislamu mwenzako akifa
🤏ILA CHA AJABU HUYO #WAHABY wanavyomsema vibaya utadhani yeye hajafa sio marehemu
MNYONGE MNYONGENI ILA HAKI YAKE MPENI ⚓️✅️

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers