Top Tweets for #bidaa
🚨KUNYANYUA MIKONO WAKATI WAKUTOA SALAMU KWENYE SWALA NI #BIDAA, (HAIFAI), JIHADHARI EWE NDUGU YANGU MUISLAMU.

Alhamdulillah kwa ne'ema ya Uislamu na Sunna na Allah atuzidishie Elimu yenye manufaa #Bidaa ni matatizo matupu.

Katazo la #maulidi mbona lipo ktk #Quraan na #sunna sana tu, sema nyie #makhurafi mmeshasema SIO KILLA KATAZO LA MTUME JUU YA JAMBO NI #DHAMBI AU #UPOTEVU
[Mkadai kuna upotevu ni mzuri]
>>>"Mtume kakataza #bidaa"
🫴🔹️labda uniambie sasa kwamba mtume hakukataza mambo yenye kuzuliwa ktk DINI..hapo nitakuelewa lakini makatazo yapo mbona;
🫴kasema mtume;
"...Na tahadharini na mambo yenye #kuzushwa kwani hakika kila #bidaa ni upotevu na kila upotevu ni motoni"
"...وَإِيَّاكُمْ #وَمُحْدَثَاتِ الْأُمُورِ، فَإِنَّ كُلَّ مُحْدَثَةٍ #بِدْعَةٌ، وَكُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ»
— (رواه أبو داود والترمذي)📚💦
🫴Na hiyo #MAULIDI ni ktk hizo #bidaa zilizozushwa karne ya 6 baada ya kuondoka mtume,maswahaba,tabee,tabi tabeena,maimau wanne ..wote tunakiri hilo kwamba maulidi hakufanya mtume wala maswahaba
Sasa unataka #katazo gani?😂
🫴sasa kama mtume kakataza #bidaa ina maana #maulidi na khitma na talaqin zote zinaingia hapo Kwenye makatazo__kwakua zimezushwa ktk karne ya 6 mtume haijui wala maswahaba...bimaana haina dalili kwenye Quraan na sunna
AU LABDA USEME MAULIDI SI BIDAA BALI NI #IBADA
ndipo uje tuanzie hapo kwamba;
Kama maulidi si #bidaa je , ni ibada ya sunna au wajibu au faradhi⁉️
Ukisema #MAULIDI ni #IBADA;
🫴tupe dalili kwenye #quraan na sunna ili tujue #ibada hiyo aliiteremsha Allah na mtume wake akaifunza na maswahaba wakaitekeleza
👊 Na wala usije ukaleta hoja kwamba ;
"Kwanini unakataza kitu kisichokuwepo, au unakataza maulidi wakati unakiri haikwepo zama za mtume na hamna aya wala hadithi ya kukataza maulidi"
Jawabu ni kwamba;
"Hata mtume wakati alikua ule anakataza #bidaa(vitu viisivyokuwepo) hapakua na bidaa bado"
🫴kwahiyo hata mtume alikataza vitu visivyokuwepo kwenye dini wala kwenye jamii zama hizo na uwepo wake utakuja baadae wakati kaondoka...na ndio maana akatumia neno;
"na atakayeishi umri mrefu miongoni mwenu ataona khtilafu nyini,,,na tahadharini na mambo yenye kuzuliwa,,"
🔹️kwasababu IBADA haiwezi kuitwa ibada lazima iwe na masharti 3
_IBADA ZOTE NI TAWQIFIYYAH(zimekuja kwa mafunzo kutoka kwa Allah na mtume wake ufanyaji wake(namna) ,idadi,wakati )
1_IMEFUNZWA NA QURAAN AU SUNNA
2_IFANYWE KWA IKHLAASW
3_IFANYWE NA MUISLAMU
🫴SASA LAZIMA MAULIDI IANGUKIE KWENYE MAMBO MAWILI,
A)_BIDAA _kwa maana haiko ktk dini bali ni uzushi uliochomekwa ktk dini
B)_AU NI IBADA ILIOFUNZWA NA ALLAH NA MTUME WAKE ...HAPO TUNAHITAJIA DALILI KUTOKA KWENYE QURAAN NA SUNNA BASI
🫴kama hamna dalili ya kufanywa kwake basi lazima iangukie kwenye #BIDAA__KWAMBA IMEZUSHWA NA WAZUSHI(MUBTADIA)
🌍🛡
UKWELI NI KWAMBA TATIZO SIO KWAMBA NYIE MAKHURAFI MNATAKA KWELI DALILI YA KUKATAZA MAULIDI ILI MUACHE
BALI MMESHAJICHAGULIA UPANDE WA KUFATA MATAMANIO YA NAFSI ZENU
🫴KWAMBA HATA KUNGEKUA NA KATAZO TOKA KWENYE QURAAN NA SUNNA SISI TUNGEFANYA HIVYO HIVYO NA TUNGEACHA DALILI
🔹️ni maamrisho mangapi na makatazo mangapi yamekuja ktk Quraan na sunna na mmeyakhalifu kwa maksudi⁉️
😱_kufuga ndevu,kupunguza kanzu mpaka kwenye vifundo vya miguu,kutowazika wafu misikitini,kutojengea makaburi,kutoswali kuelekea makaburi,kutokuomba wafu makaburini
👆👆_hayo yote hapo juu makatazo yapo na mmekhalifu..sasa mnataka katazo la maulidi la nini kama hayo makatazo mmeyapinga maksudi⁉️😂
🔹️sasa mtu keshasema tayar mi sijali dalili wala katazo la mtume nitafanya hata kama dalili ipo....mtu kama huyu utamwambiaje tena baada ya Aya za Quraan na Sunna za mtume⁉️😅
@BlackWolfBeast
@HabiibYahyaa @Matallahkhamis @khilafah8 @MovingOto @SaidBitomwa @daudajerry53 @MMheruka
@HashimuMok23111 @AbuuSumayyah10 @HalsHjay @Mbwana_1
Katazo la #maulidi mbona lipo ktk #Quraan na #sunna sana tu, sema nyie #makhurafi mmeshasema SIO KILLA KATAZO LA MTUME JUU YA JAMBO NI #DHAMBI AU #UPOTEVU
[Mkadai kuna upotevu ni mzuri]
>>>"Mtume kakataza #bidaa"
🔹️labda uniambie sasa kwamba mtume hakukataza mambo yenye kuzuliwa ktk DINI
🫴kasema mtume;
"...Na tahadharini na mambo yenye #kuzushwa kwani hakika kila #bidaa ni upotevu na kila upotevu ni motoni"
"...وَإِيَّاكُمْ #وَمُحْدَثَاتِ الْأُمُورِ، فَإِنَّ كُلَّ مُحْدَثَةٍ #بِدْعَةٌ، وَكُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ»
— (رواه أبو داود والترمذي)📚💦
🫴Na hiyo #MAULIDI ni ktk hizo #bidaa zilizozushwa karne ya 6 baada ya kuondoka mtume,maswahaba,tabee,tabi tabeena,maimau wanne ..wote tunakiri hilo kwamba maulidi hakufanya mtume wala maswahaba
Sasa unataka #katazo gani?😂
🫴sasa kama mtume kakataza #bidaa ina maana #maulidi na khitma na talaqin zote zinaingia hapo Kwenye makatazo__kwakua zimezushwa ktk karne ya 6 mtume haijui wala maswahaba...bimaana haina dalili kwenye Quraan na sunna
AU LABDA USEME MAULIDI SI BIDAA BALI NI #IBADA
ndipo uje tuanzie hapo kwamba;
Kama maulidi si #bidaa je , ni ibada ya sunna au wajibu au faradhi⁉️
Ukisema #MAULIDI ni #IBADA;
🫴tupe dalili kwenye #quraan na sunna ili tujue #ibada hiyo aliiteremsha Allah na mtume wake akaifunza na maswahaba wakaitekeleza
🔹️kwasababu IBADA haiwezi kuitwa ibada lazima iwe na masharti 3
_IBADA ZOTE NI TAWQIFIYYAH(zimekuja kwa mafunzo kutoka kwa Allah na mtume wake ufanyaji wake(namna) ,idadi,wakati )
1_IMEFUNZWA NA QURAAN AU SUNNA
2_IFANYWE KWA IKHLAASW
3_IFANYWE NA MUISLAMU
🫴SASA LAZIMA MAULIDI IANGUKIE KWENYE MAMBO MAWILI,
A)_BIDAA _kwa maana haiko ktk dini bali ni uzushi uliochomekwa ktk dini
B)_AU NI IBADA ILIOFUNZWA NA ALLAH NA MTUME WAKE ...HAPO TUNAHITAJIA DALILI KUTOKA KWENYE QURAAN NA SUNNA BASI
🫴kama hamna dalili ya kufanywa kwake basi lazima iangukie kwenye #BIDAA__KWAMBA IMEZUSHWA NA WAZUSHI(MUBTADIA)
🌍🛡
UKWELI NI KWAMBA TATIZO SIO KWAMBA NYIE MAKHURAFI MNATAKA KWELI DALILI YA KUKATAZA MAULIDI ILI MUACHE
BALI MMESHAJICHAGULIA UPANDE WA KUFATA MATAMANIO YA NAFSI ZENU
🫴KWAMBA HATA KUNGEKUA NA KATAZO TOKA KWENYE QURAAN NA SUNNA SISI TUNGEFANYA HIVYO HIVYO NA TUNGEACHA DALILI
🔹️ni maamrisho mangapi na makatazo mangapi yamekuja ktk Quraan na sunna na mmeyakhalifu kwa maksudi⁉️
😱_kufuga ndevu,kupunguza kanzu mpaka kwenye vifundo vya miguu,kutowazika wafu misikitini,kutojengea makaburi,kutoswali kuelekea makaburi,kutokuomba wafu makaburini
👆👆_hayo yote hapo juu makatazo yapo na mmekhalifu..sasa mnataka katazo la maulidi la nini kama hayo makatazo mmeyapinga maksudi⁉️😂
🔹️sasa mtu keshasema tayar mi sijali dalili wala katazo la mtume nitafanya hata kama dalili ipo....mtu kama huyu utamwambiaje tena baada ya Aya za Quraan na Sunna za mtume⁉️😅
WATU WA #BIDAA NI WATU MADHALILI // ALLAH AMEWAAHIDI UDHALILI DUNIANI NA AKHERA
📚💦
Imamu Sufyān bin ʿUyainah رحمه الله :
“Hakuna mtu yeyote duniani mwenye bid‘a isipokuwa humfunika unyonge (udhalili).”
Wakauliza: “Na hiyo imo wapi katika Kitabu cha Allah?”
Akasema: “Hivi hamjasikia kauli ya Allah Ta‘ala:
{Hakika wale waliomchukua ndama (kuwa mungu) watapata ghadhabu kutoka kwa Mola wao na udhalili katika maisha ya dunia} [al-A‘rāf: 152].”
Wakasema: “Ewe Abū Muhammad! Hii (Aya) ni kwa ajili ya watu wa ndama tu.”
Akasema: “Hapana! Endeleeni kusoma kilichokuja baada yake:
{Na hivyo ndivyo tunavyowalipa wote wanaofanya uzushi}.
Hii ni kwa kila wa mrongo na kila mzushi hadi Siku ya Kiyama.”
📚 Hilyat al-Awliyā’ (7/280)
@BinKombo3
@Rahim_Meghji @BlackWolfBeast @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis
@HashimuMok23111 @MUZDALIFA96 @abulhusayn01 @AbuuNyungu @AbuuSumayyah10 @ABUWSUHAYLAH @husseinabui @iam_rajabu @IbnMahmoud8 @Mbwana_1
NDIO MAANA TUNAWAAMBIAGA
#BIDAA NI MBAYA KULIKO #KUZINI NA KUBAKA 📚💦
>>HIVI HAMUELEWI⁉️
IMAMU SHAFEE ANAONA #BIDAA NI #MBAYA ZAIDI KULIKO MADHAMBI #MAKUBWA(uzinzi,kuua,kula riba,kamari n.k) KASORO SHIRK
قال الإمام الشافعي رحمه الله:
«لَأَنْ أَلْقَى اللهَ بِكُلِّ ذَنْبٍ سِوَى الشِّرْكِ، أَحَبُّ إِلَيَّ مِنْ أَنْ أَلْقَاهُ بِشَيْءٍ مِنَ الْأَهْوَاءِ».
📚 أخرجه البيهقي في مناقب الشافعي (ج 2 / ص 207)، وذكره ابن أبي حاتم الرازي في مناقب الشافعي.
Manaaqib ash-Shafi‘i vya al-Bayhaqiy na vya Ibn Abī Ḥātim ar-Rāziy.
🔹 Imam ash-Shāfi‘ī رحمه الله amesema kwa maana:
“Kukutana na Allah na kila #dhambi isiyokuwa shirki ni bora zaidi kuliko kukutana Naye ukiwa na kitu ktk uzushi( ni mzushi (mubtadi‘).”
📚 Kauli hii imetajwa na al-Bayhaqī katika Manaaqib ash-Shāfi‘ī na vilevile Ibn Abī Ḥātim ar-Rāziy katika Manaaqib ash-Shāfi‘ī.
🫴MTU ANAKATAZWA DHAMBI YA #BIDAA ANASEMA WAZI KWAMBA ;
"SISI TUTAFANYA KAMA KAWAIDA "👀
🔹️HIKI NI KIBRI NA ALLAH HASAMEHE DHAMBI ZA MWENYE KIBRI
قال النبي ﷺ:
> «كُلُّ أُمَّتِي مُعَافًى إِلَّا الْمُجَاهِرِينَ...."
Mtume ﷺ amesema:
“Wote katika umma wangu wamesamehewa isipokuwa wale wanaodhihirisha madhambi yao.
Miongoni mwa kudhihirisha ni mtu kufanya dhambi usiku kisha asubuhi anasema:
‘Ewe fulani, jana nilifanya kadha na kadha’ – ilhali Mola wake amemfunika, lakini yeye anajifunika pazia la Allah.”
— (Bukhari na Muslim)📚💦
🫴HUWEZI MSIKIA MUISLAMU MZINIFU AU MWIZI AU MBAKAJI ANAUJASIRI NAMNA HII YA KUSEMA
_nitazini kama kawaida😱
_nitaiba kama kawaida😱
_nitabaka kama kawaida 😱
NI WATU WA BIDAA NDIO WANA UJASIRI WA NAMNA HII NA KIBURI HIKI
🫴HALAF ETI IBILISI AHANGAIKE NA MZINZI AMBAYE ANAJUA PENGINE SIKU MOJA ATAJIRUDI NA KUTUBIA....AMUACHE MTU WA BIDAA HAPANA
MTU WA BIDAA KWA IBILISI ANAPENDWA SANA KULIKO MZINZI NA MBAKAJI
🔹️maana mzushi ana kibri juu ya dhambi zake na wala hafikirii kutubia hata akilinganiwa
@BinKombo3 @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @HabiibYahyaa @BlackWolfBeast
@daudajerry53
@HashimuMok23111 @abulhusayn01 @AbuuNyungu @AbuuSumayyah10 @ABUWSUHAYLAH @Asia_Zamah @Mbwana_1 @iam_rajabu

BIDAA NA UZINZI KWA SHETANI
SHETANI ANACHAGUA #BIDAA KULIKO #UZINZI 🤣💦📚
>>kwakua mtendani wa uzinzi hana kibri ukimfikishia kwamba "acha dhambi au tubia kwa Allah"
🫴LAKINI MZUSHI UKIMFIKISHIA KWAMBA ACHA BIDAA NA HIYO NI DHAMBI
🔹️Anafanya kibri na ujeuri anajibu kwamba ;
"KAMA MAULIDI NI DHAMBI ACHA TUKACHOMWE MOTO TU"
🫴ila huwezi sikia ujasiri wa kijinga kama huu toka kwa mtu mwenye #kuzini
🔹️kwakua anajua ni dhambi na atatakiwa kutubia
MZINZI NA MZUSHI(MTU WA BIDAA)
🫴hawa wawili kwa Allah wana daraja tofauti sana
MZINZI KUSAMEHEWA NA ALLAH NI RAHISI KULIKO MZUSHI(MTU WA BIDAA)
🔹️kwakua mzinzi hana kibri kwa Allah ....akilinganiwa
anajua ni dhambi na hadhirishi uzinzi hadharani anajificha na hafanyi inadi akilinganiwa
🔹️mzushi ana kibri kwa Allah kwamba hata kama mtume hakufanya sisi tutafanya tu 😭
Hata akilinganiwa ;
(kuna sheikh mmoja wakisufy alifikia kusema hata kama mtume angetukataza kwa mdomo wake kufanya maulidi sisi tungefanya )😭
_mzushi anaitangaza bidaa wazi wazi hadharani na hajifichi kwakua #anakibri kwa Allah
ALLAH ANASAMEHE TU DHAMBI ZINAZOFANYWA BILA KIBRI NA MAJIVUNO NA KUZIDHIHIRISHA
Dhambi za mja ambazo anafanya kwa udhaifu (bila kibri, bila kujisifu, bila kuzidhihirisha).
Hizi Allah huweza kuzisamehe kwa toba, istighfaar, au hata kwa amali njema zinazofuta madhambi.
Qur’an:
> إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا
“Hakika Allah anasamehe dhambi zote.”
(Az-Zumar 39:53)
Dhambi zinazofanywa kwa kibri na kujionyesha hadharani (al-mujāhara / muʿālana).
Hizi ni hatari zaidi, kwani zinajumuisha dhambi mbili: kufanya kosa na kueneza uovu au kujisifu nao.
Mtume ﷺ amesema:
> "Kila umma wangu #utasamehewa isipokuwa wale wanaoonyesha wazi madhambi yao (al-mujāhirūn)."
(Bukhari na Muslim)
Akafafanua: “Miongoni mwa kujionyesha ni mtu kufanya kosa usiku, kisha asubuhi akasema: ‘Ewe fulani, jana nilifanya kadhaa na kadhaa’, na hali kwamba Allah alimfunika lakini yeye akajifichua.”
🫴NA NDIO MAANA TABEE TANEENA IMAAM FUDHAYL BIN IYAADH AKASEMA HIVI;
FUDHAIL IBN IYAAHD
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله :
قال الفضيل بن عياض رحمه الله: "لأن ألقى الله بزنبى كلِّه، أحبُّ إليَّ من أن ألقاه بشيءٍ من الأهواء."
📚 Imepokelewa katika Sharḥ Uṣūl al-Iʿtiqād cha Al-Lālikāʾī (1/133).
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Ni bora Nikikutana na Allah nikiwa na dhambi zote (kama uzinzi au wizi) ni bora zaidi kwangu kuliko nikikutana Naye nikiwa na kitu cha #uzushi (bid‘a).”
@BinKombo3 @HabiibYahyaa @Matallahkhamis @MovingOto @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis

KWANNI TUNASEMA #BIDAA NI MBAYA NA NI DHAMBI KUBWA KULIKO #KUUA AU KUZINI⁉️💦📚
>>KWASABABU MZUSHI ANAJIPA MAMLAKA YA ALLAH YA KUWEKA KWENYE DINI JAMBO AMBALO SIO MAAMRISHO YA #ALLAH
🫴NA MWENYE KUFAMFATA MZUSHI KWENYE JAMBO ALILOZUA ANAMFANYA YULE ALIYEMTUNGIA LILE JAMBO NI MOLA WAKE NA MWABUDIWA WAKE NA HIYO NI SHIRK
🫴ndio maulidi ni mbaya kuliko #kuua
KWANZA; 1 📚
🔹️kwakua muuaji anaua lakini anajua kwamba ni #dhambi
🔹️maulidi mtu anafanya anaitakidi ni dini na haitakidi kwamba ni #dhambi Ilihali ni uzushi;
🫴HAWEZI KUJA KUTUBIA KWA AJILI YA BIDAA HIYO KWAKUA ANAITAKIDI NI DINI NA ATAKUFA NAYO
🫴ILA MUUAJI PENGINA AKATUBIA SIKU MOJA KWAKUA ANAJUA ALITENDA DHAMBI
(mfano nabii musa alimpiga mtu ngumi akafa, Nabii musa aliomba tòba kwakua alijua ni dhambi,lau kama angekua anaamini kuua kule si dhambi bali ni ibada asingetubia...sasa unatubia vipi kwa kufanya jambo jema?)
(Lakini ni masufy wangapi wamekufa na wanaitakidi maulidi,khitma na talaqin ni dini na wanatarajia malipo kwa ibadq hizo feki.?)
PILI 2 📚
🫴mzushi kwenye dini anajipa mamlaka kama ya Allah
Allah ndio mtungaji sheria na ibada zote
🫴sasa we #ukizua bidaa ina maana kwamba ; na wewe umekua Allah unaweza kuweka kitu ktk dini
🔹️na ukiitakidi hivyo huo ni ushirikina na ukafiri..kwa maanaunajifanya we ni mshirika wa Allah
Na hiyo inaingia kwenye shirk
Soma aya ktk Quraan
ipo aya wazi katika Qur’an inayokemea jambo hili:
Surat Ash-Shura (42:21)
> أَمْ لَهُمْ شُرَكَاءُ شَرَعُوا لَهُمْ مِّنَ ٱلدِّينِ مَا لَمْ يَأْذَنۢ بِهِ ٱللَّهُ ۚ وَلَوْلَا كَلِمَةُ ٱلْفَصْلِ لَقُضِىَ بَيْنَهُمْ ۗ وَإِنَّ ٱلظَّـٰلِمِينَ لَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ
“Au je, wanayo miungu wengine waliowapitishia mambo katika dini ambayo Mwenyezi Mungu #hakuyaruhusu? Na lau si neno la hukumu iliyotangulia bila shaka tungeliwahukumu. Na hakika madhalimu watapata adhabu chungu.”
Aya hii inabainisha kuwa kuhalalisha au kuanzisha mambo katika dini bila idhini ya Allah ni #dhulma na #ushirikina.
IMAAM TABAR KATK TAFSIRI YAKE ANASEMA KUHUSU HIYO AYA;
(شَرَعُوا لَهُمْ مِنَ الدِّينِ مَا لَمْ يَأْذَنْ بِهِ اللَّهُ )
يقول: ابتدعوا لهم من الدين ما لم يبح الله لهم ابتداعه
“Wamezua kwao mambo ya kidini ambayo Mwenyezi Mungu hakuwahalalishia kuyazua.”
🫴kwa maana ukizua jambo ktk dini au ukafata jambo lililozuliwa ..kwa maana ushajifanyia mungu mwingine anayekuweka ibada ktk dini ...na kwamba umemfanya ni MUNGU HUYO MTU...NA UMEFANYA NI MWABUDIWA WAKO
JE, NI DHAMBI NDOGO HIYO?👀
Au ITAKUA SAWA NA KUZINI NA KUIBA AU KUUA⁉️
USHIRIKINA NDIO DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE
KWAHIYO MZUSHI HANA TOFAUTI SANA NA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA TZ 🇹🇿...wanaotunga sheria kinyume na za ALLAH wakaziona ni bora au wakaziweka pamoja na za Allah
SOMA AYA
Aya unayomaanisha ipo katika Surat At-Tawbah (9:31):
> اتَّخَذُوا أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ وَالْمَسِيحَ ابْنَ مَرْيَمَ ۖ وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا إِلَٰهًا وَاحِدًا لَّا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَانَهُ عَمَّا يُشْرِكُونَ
"Na waliwafanya #makuhani wao na #watawa wao kuwa ni waungu badala ya Mwenyezi Mungu, na pia (wakamfanya) Masihi mwana wa Maryam..."
ASABAAB NUZUUL YA KUSHUKA AYA HIYO;
Imeelezwa na At-Tirmidhiy, Ahmad na wengine:
Wakati Mtume ﷺ
aliposomea aya hii mbele ya sahaba, ‘Adi bin Hatim at-Tā’iy (ambaye hapo awali alikuwa mkristo, kisha akasilimu) alisema:
> “Ewe Mtume wa Allah, wao hawakuwa wakiwabudu #makuhani na #watawa wao.”
Mtume ﷺ akamjibu:
> «بلى، إنهم كانوا إذا أحلوا لهم شيئًا استحلوه، وإذا حرَّموا عليهم شيئًا حرَّموه،
فتلك عبادتهم إياهم»
“Kweli walikuwa #wakiwabudu. kwani Walipowahalalishia kitu, walikihalalisha, na walipowaharamishia kitu, walikiharamisha. Hiyo ndiyo ibada yao kwao.”
🔹 Hivyo sababu ya kushuka kwa aya hii ni kubainisha hali ya Mayahudi na Wakristo waliowatii makuhani na watawa wao kwa mambo ya dini bila dalili kutoka kwa Allah,mpaka ikawa kama kuabudu.
KWAHIYO KAULI YA IMAAM SUFYN THAWRIY ILIKUA SAHIHI
@MovingOto @Matallahkhamis @IsaRouhan13797

#BIDAA YA #MAWLID NA ZINGINE ZINAPENDWA ZAIDI NA SHETANI KULIKO #UZINZI AU #KUUA📚💦
🔹️HIYO SIO KAULI YA #MASALAFY WA ZAMA HIZI; BALI NI KAULI ZA MASWAHABA NA MAIMAMU WA KARNE 3 BORA
>>Kama kinachochuliwa zaidi kwa Allah ni #bidaa
🫴basi kinyume chake anachokipenda zaidi shetani ni KILE KINACHOCHUKIWA ZAIDI NA #ALLAH NAYO NI : #BIDAA
1🔹️Kama alivyosema Swahaba wa mtume IBN ABAS رضي الله عنه
قال الصحابي ابن عباس رضي الله عنه:
"أبغضُ الأمور إلى الله البدعة."
Swahaba Ibn ʿAbbās رضي الله عنه amesema:
“Jambo #linalochukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni #bid‘a (uzushi katika dini).”
📚 [As-Sunan al-Kubrā 4/316]
📚 [السنن الكبرى 4/316]
2🔹️Hii ni kauli PIA mashuhuri ya Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله kuhusu #bid‘a:
قال الإمام سفيان الثوري رحمه الله:
«البدعة أحب إلى إبليس من المعصية؛ لأن المعصية يُتاب منها، والبدعة لا يُتاب منها»
📚 [اللالكائي في شرح أصول اعتقاد أهل السنة والجماعة 1/132]
Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله amesema:
“#Bid‘a Inapendwa zaidi kwa Shetani kuliko #maasi. Kwa sababu maasi mtu hutubia, lakini kwenye bid‘a hatubii.”
3🔹️NI KAULI PIA YA FUDHAIL IBN IYAAHD
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله :
قال الفضيل بن عياض رحمه الله: "لأن ألقى الله بزنبى كلِّه، أحبُّ إليَّ من أن ألقاه بشيءٍ من الأهواء."
📚 Imepokelewa katika Sharḥ Uṣūl al-Iʿtiqād cha Al-Lālikāʾī (1/133).
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Ni bora Nikikutana na Allah nikiwa na dhambi zote (kama uzinzi au wizi) ni bora zaidi kwangu kuliko nikikutana Naye nikiwa na kitu cha #uzushi (bid‘a).”
MASUFY NA MASHIA WATASEMA HIZI NI KAULI ZA #KIWAHABY
🫴lakini angalia waliozitamka ni kina nani⁉️
1_IBN ABASS=SWAHABA MAARUFU WA MTUME
2_SUFYAAN THAWRIY= IMAAM NA NI KTK TABE TABEEN
[ amezaliwa mwaka 97 H na kifariki mwaka 161 H(katika karne 3 bora)..amesoma kwa wanafunzi wa maswahaba]
3_FUDHAYL BIN IYAADHA= IMAAM NA TABI TABEEN
[ amezaliwa mwaka 107 H na kufa 187 H (ktk karne 3 bora),, Alikutana na wanazuoni wakubwa wa zama zao kama Sufyān ath-Thawrī, Ibn al-Mubārak, na wengine.
![abusumayyah_o's tweet photo. #BIDAA YA #MAWLID NA ZINGINE ZINAPENDWA ZAIDI NA SHETANI KULIKO #UZINZI AU #KUUA📚💦

[ amezaliwa mwaka 107 H na kufa 187 H (ktk karne 3 bora),, Alikutana na wanazuoni wakubwa wa zama zao kama Sufyān ath-Thawrī, Ibn al-Mubārak, na wengine.](https://pbs.twimg.com/media/GzbR6vkXoAAiikm.jpg)
#BIDAA INAPENDWA ZAIDI NA SHETANI KULIKO #UZINZI AU #KUUA📚💦
🔹️HIYO SIO KAULI YA #MASALAFY WA ZAMA HIZI; BALI NI KAULI ZA MASWAHABA NA MAIMAMU WA KARNE 3 BORA
>>Kama kinachochuliwa zaidi kwa Allah ni #bidaa
🫴basi kinyume chake anachokipenda zaidi shetani ni KILE KINACHOCHUKIWA ZAIDI NA #ALLAH NAYO NI : #BIDAA
1🔹️Kama alivyosema Swahaba wa mtume IBN ABAS رضي الله عنه
قال الصحابي ابن عباس رضي الله عنه:
"أبغضُ الأمور إلى الله البدعة."
Swahaba Ibn ʿAbbās رضي الله عنه amesema:
“Jambo #linalochukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni #bid‘a (uzushi katika dini).”
📚 [As-Sunan al-Kubrā 4/316]
📚 [السنن الكبرى 4/316]
2🔹️Hii ni kauli PIA mashuhuri ya Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله kuhusu #bid‘a:
قال الإمام سفيان الثوري رحمه الله:
«البدعة أحب إلى إبليس من المعصية؛ لأن المعصية يُتاب منها، والبدعة لا يُتاب منها»
📚 [اللالكائي في شرح أصول اعتقاد أهل السنة والجماعة 1/132]
Imām Sufyān ath-Thawrī رحمه الله amesema:
“#Bid‘a Inapendwa zaidi kwa Shetani kuliko #maasi. Kwa sababu maasi mtu hutubia, lakini kwenye bid‘a hatubii.”
3🔹️NI KAULI PIA YA FUDHAIL IBN IYAAHD
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله :
قال الفضيل بن عياض رحمه الله: "لأن ألقى الله بزنبى كلِّه، أحبُّ إليَّ من أن ألقاه بشيءٍ من الأهواء."
📚 Imepokelewa katika Sharḥ Uṣūl al-Iʿtiqād cha Al-Lālikāʾī (1/133).
Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Ni bora Nikikutana na Allah nikiwa na dhambi zote (kama uzinzi au wizi) ni bora zaidi kwangu kuliko nikikutana Naye nikiwa na kitu cha #uzushi (bid‘a).”
MASUFY NA MASHIA WATASEMA HIZI NI KAULI ZA #KIWAHABY
🫴lakini angalia waliozitamka ni kina nani⁉️
1_IBN ABASS=SWAHABA MAARUFU WA MTUME
2_SUFYAAN THAWRIY= IMAAM NA NI KTK TABE TABEEN
[ amezaliwa mwaka 97 H na kifariki mwaka 161 H(katika karne 3 bora)..amesoma kwa wanafunzi wa maswahaba]
3_FUDHAYL BIN IYAADHA= IMAAM NA TABI TABEEN
[ amezaliwa mwaka 107 H na kufa 187 H (ktk karne 3 bora),, Alikutana na wanazuoni wakubwa wa zama zao kama Sufyān ath-Thawrī, Ibn al-Mubārak, na wengine.
@BinKombo3 @HabiibYahyaa @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @BlackWolfBeast @Rahim_Meghji @daudajerry53
@Asia_Zamah @AbuuSumayyah10 @iam_rajabu @HashimuMok23111 @ABUWSUHAYLAH @
#BIDAA HII HAIJATHIBITI 📚💦
🫴mtume aliomba dua kwenye Qunuti ktk kila swala kwenye swala 5
🔹️hajawahi funga kwa ajili ya kupinga dhulma
Wanaacha sunna ya mtume ..wanafanya uzushi kwa hawaa zao

Watu wa Bida'a ni watu wabaya sana yaani Mtume swala na salamu ziwe juu yake anakataza Uzushi/Bida'a katika Dini wao wanabisha!!!
Yako wapi Mapenzi ya kweli kwake???
Iko wapi twaa kwake???
Huko ni Kumfuata au kukengeuka Enyi watu???
Kataa #Bidaa katika Dini.
#MASUFY HAWAMPENDI MTUME NA WALA #HAWAJAKUBALI KWAMBA YEYE NDIO MTUME WAO WA MWISHO MWENYE KUSHUSHIWA WAHYI📚💦
>>ukizua #bidaa katika dini na ukaona ni #nzuri ,basi ina maana mtume muhammad sio wa mwisho bali kuna wahyi baada yake
🫴 #Masufy wana manabii wengi baada ya mtume muhammad na wanawapenda hao sana kuliko mtume wa #mawahaby ambaye ni [ #Muhammad صلى الله عليه وسلم ]
🔹️Hawampendi mtume na wanachukia sunna zake
🫴mtume alifuga ndevu na mavazi yake aliyazuia yasivuke kongo mbili za miguu
🖐 masufy waoa wananyoa na kusema sio lazima kufuga ndevu kama za #osama
🖐masufy wanasema sio lazima kuvaa vikanzu kama njiwa anaruka maji au vimini
HUU NI MSIBA WALLAHI
CHAGUA #KHASIMU WAKO SIKU YA KIAMA KATI YA #MTUME AU AWE MTU WA #BIDAA📚💦
Ibn Ma‘in – rahimahullah – amesema:
لأن يكونوا خصمائي أهل البدع
يوم القيامة
خير من أن يكون خصمي
رسول الله صلى الله عليه وسلم ،
بتركي الذب عن سنته .
"Kuwa wapinzani wangu siku ya Qiyama ni watu wa #bidaa, ni bora kuliko kuwa mpinzani wangu ni Mtume wa Allah ﷺ kwa sababu ya kuacha kwangu kuilinda Sunnah yake.
📕العلم الشامخ /٣٨٨
📕 Al-‘Ilmu Ash-Shāmikh / 388
#BIDAA ZIMEKITHIRI MPAKA WAJINGA WAKAWA #WANASEMA:
"LAU INGALIKUA SI DINI BASI WASINGEFANYA MASHEIKH ZETU"📚💦
Imamu Ash-Shatwibi(mshafee) anasema:
"Wakati #bid‘a na mikhaalafa (mambo kinyume na dini) zilipozidi,
na watu wakakubaliana kuyafuata,
akawa mjinga anasema:
'Lau hili lingelikuwa ni jambo la munkari, watu wasingelilifanya.'"
📕 Al-I‘tiswām 2/271
قال الشاطبي :
لما كثرت البدع والمخالفات .
وتواطأ الناس عليها .
صار الجاهل يقول:
لو كان هذا منكرًا لما فعله الناس.
📚 📕 الاعتصام ٢/٢٧١.
@AbdallahAl91947 @IsaRouhan13797 @khilafah8 @Matallahkhamis @mpenda_TANZANIA @BlackWolfBeast @daudajerry53
Ndio unapata #dhambi...kwakua umezusha ktk dini ya Allah na unataka kumfunza Allah dini yake 📚💦
🫴na kujifanya wajua kuliko Allah na mtume wake
#Bidaa ni maasi ( dhambi ya kumpeleka mtu motoni)
Kuna hadithi maarufu inayosemwa kuonyesha hili, ambayo :
النَّبِيُّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
"كُلُّ بِدْعَةٍ #ضَلَالَةٌ وَكُلُّ ضَلَالَةٍ فِي #النَّارِ"
(رواه مسلم، وأبو داود)
> "Kila bid‘a ni dhwalala(upotofu) na kila upotofu ni katika #Motoni."
(Riwaya katika Sahih Muslim na Sunan Abu Dawood)📚
🫴sasa kama ni upotevu na upotevu ni motoni kama alivyosema mtume
Je, itakua ni dhambi au jambo jema kusoma hizo dua za pamoja?
Mnapata dhambi mkisoma dua ya pamoja?
We acha talbis
🫴kwani umeambiwa na nani matusi ni bidaa au kuangamazia watu ni bidaa⁉️
INA MAANA HUJUI MAANA YA NENO #BIDAA😂🤭
Jifunza dini acha kutia aibu ndogo ndogo kama hizi
Matusi na kuua ni maasi
🤏 kwani matusi na kuua hayakwepo zama za mtume?
🛡 halafu salafy gani katukana au kaangamiza watu⁉️
🫴kutukana na kukufurisha si ndio ibada zenu nyie masufy hamjiui⁉️😂
Matusi mangapi mnatutukana hapa na kutukufurisha kwa kutuita mayahudi au wanafiki au vibaraka⁉️😂
Jamaako huyu hapa anatukana matusi ya nguoni na wala hamumkemei lol acha urongo we kadhaab
Niletee posti moja ya salafy katamka neno "kaafiri" au "murtd" kwa kuwakufurisha masufy
Lete bana chap
HIZI TABIA MNAZO NYIE KILABU NNAR kila siku mnatuita mayahudi au wanafiki au vibaraka

Salafi wengi wanafanya mambo ambayo Mtume Muhammad hakuyafanya kama:
Kutukana na kuangamiza watu wa madhahabu nyingine,
Kuhukumu watu kuwa kafiri au murtad kwa tofauti ndogo,
Kupinga ibada za wanawake kama kupiga dufu na kusherehekea harusi
HAHAHA YAANI MADA YA BIDAA NA HARAMU NI MADA ZENYE KHTILAFU
🫴KWAHIYO KUNA MWANACHUONI ANAWEZA KUSEMA #NGURUE NI HALALI⁉️
🔹️yaanu sijui mnasomeshwa nini huko madrasa za kisufy
🔹️Khtilafu sio kichaka CHA KUHALISHA HARAMU WALA KUJUZISHA #BIDAA
SIO KILA KHTILAFU INAZINGATIWA NYIE MASUFY
HATA SISI NA WAKRITO TUNA KHILAFU (TUNAKHTILAFIANA) JUU YA #YESU
🫴kwahiyo ndio tuwakubalie wakristo kwamba YESU NI MUNGU KISA TU KHTILAFU IMEPATIKANA
@MdeePaschal jamaazako watakusumbua sana hawa
@MdeePaschal Hakuna aliyepo emotional, ila hiyo maada ya bidaa na haramu ni maada yenye ikhtilafu, kwa mtu ambaye anaelimu kiasi chako, sio maada ya kuitolea kuali ya moja kwa moja
Dawa gani tabligh wanaifanya⁉️
🫴hata mkristo anaweza kulingania watu waache pombe
Lakini ;
hawezi kufunza watu #tawheed na #sunna
Hawezi kufunza watu kuacha #shirk na #bidaa
🫴KULINGANIA UISLAM SIO KUHAMASISHA WATU_kuhamasisha kila mtu anaweza
_Inahitajika elimu ya dini kulingania na kuelekeza ibada kwa utaratibu wake sahihi
KULINGANIA BILA ELIMU NI DHAMBI HATA KAMA UTASILIMISHA WATU ELFU 10
﴿قُلْ هَٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ﴾
[ يوسف: 108]
Sema: Hii ndiyo Njia yangu - ninalingania kwa Allah kwa Elimu - mimi na wanao nifuata. Na ametakasika Allag ! Wala mimi si katika washirikina.

@Rahim_Meghji Tabligh nao pia wanapigwa vita? How yaan kulikon.. mm nna ushuhuda hao jamaa walikuja kitaan kwetu hapa 2016 palikua panauzwa gongo pombe kali zile za kienyeji.serkali ishalisemea na kulikemea sana hilo jambo ikashindikana hao jamaa kila ijumaa walikuja pale clubuni kupiga dawaa
Last Seen Hashtags on Sotwe
รับงานนครพนม
Seen from Thailand
Travestie
Seen from France
prostatestim
Seen from United States
nolimit() +filter:native_video
monkeyappwins
Seen from France
Momson video
Seen from Brazil
682freaks
Seen from United States
kentmeydanı
Seen from Turkey
트젠
Seen from Korea
momson()********************
Seen from Indonesia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers