Top Tweets for #RIPMembe
Umetimia mwaka mmoja tangu Hayati Bernard Membe afariki dunia, Mei 12, 2023.
Siku ya kifo chake Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle walitaka maoni yangu juu ya mchango wa Hayati Membe ndani na nje ya mipaka yetu.
Endelea kupumzika kwa amani Hayati BMK. #RIPMembe
Naibu waziri wa Utumishi @ridhiwankikwete akiwa ameongozana na Wadogo zake wakiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Benard K. Membe waliposhiriki shughuli za mazishi yake leo huko Chiponda,Lindi.
#RIPMembe

Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Mstaafu wa Awamu Nne Dkt Jakaya Kikwete (@jmkikwete) pamoja na mke wake Mama Salma Kikwete (MB) wameshiriki katika mazishi hayo.
#RipMembe
π

Kwa Uchache,huyu ndio Bernard Kamilius Membe, Mwanadiplomasia Nguli,Mwana Mikakati,Kachero Mbobevu⦠amezikwa leo kijijini kwao Rondo
#RIPMembe
βJKβ akimtama βBMβ kwa mara ya mwishoπ
.
Benard Membe ameshazikwa huko Rondo, Chiponda, Lindi.
#RIPMembe

πRondo
Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Kikwete pamoja na mke wake Mama Salma Kikwete, wakiweka shada la Maua kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Hayati Bernard Membe, kijijini Rondo Chiponda leo Mei 16, 2023.
#RIPMembe π

πRondo
Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Kikwete pamoja na mke wake Mama Salma Kikwete, wakiweka udongo kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Hayati Bernard Membe, kijijini Rondo Chiponda leo Mei 16, 2023.
πΈ:O/Rais Mstaafu
#RIPMembe π

#PICHA Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne @jmkikwete pamoja na mke wake Mama Salma Kikwete, wakitupa udongo kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, hii leo Mei 16, 2023 kijini Rondo.
#RIPMembe
#EastAfricaTV

#PICHA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa, wakimwaga mchanga kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, hii leo Mei 16, 2023 kijini Rondo.
#RIPMembe
#EastAfricaTV

#PICHA Baadhi ya viongozi wakiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakiwa kijijini Rondo kwa ajili ya mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, hii leo Mei 16, 2022.
#RIPMembe
#EastAfricaTV

@tonytogolani Hongera sana kwa uandishi uliojaa kumbukizi nzuri. Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu sana aliejitoa kwa ajili ya Watu wake, hayati #Membe alidhihirisha .Kazi ya Mungu haina makosa #RIPMembe
#KutokaMaktaba
Julai 15, 2012, Hayati Bernard Membe wakati huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akisalimiana na Mhe. @KagutaMuseveni, Rais wa Uganda wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Nchi Wanachama wa @_AfricanUnion uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia.
#RIPMembe

#KutokaMaktaba
Hayati Bernard Kamillius Membe wakati huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akijadiliana jambo na Balozi @pkallaghe ambaye wakati huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Ireland na katika Jumuiya ya Madola.
#RIPMembe π

#KutokaMaktaba
Februari 27, 2013, Hayati Bernard K. Membe wakati huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Dianna Melrose, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
#RIPMembe

#KutokaMaktaba
Julai 30, 2012, Hayati Bernard Kamillius Membe wakati huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akifurahia jambo na Waziri mwenzake wa Malawi, Mhe. Ephraim Chiume katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es salaam.
#RIPMembe π

Kila Mtu Anaye Bernard Membe Wake!https://t.co/h5gZUmBs3C
#RIPMembe π
@TogolaniMavura @tonytogolani
Maandalizi ya mwisho ha nyumba ya milele ya Kachero Mbobezi Bernard Membe, Rondo, Lindi jioni hii. Pumzika Kaka BM #RIPMembe

Last Seen Hashtags on Sotwe
bornovatraveο¬
i
Seen from Turkey
sumisofinanciero
Seen from Spain
teengegirls
Seen from Germany
tiktokfake
Seen from Mexico
ΰΈΰΈΰΈ’ΰΈ§ΰΈ±ΰΈΰΈ¨ΰΈ£ΰΈ΅ΰΈ§ΰΈ²ΰΈ£ΰΈ΅ΰΈΰΉΰΈΰΈ’
Seen from Thailand
Ω
ΩΩΨ§_ΨΨ΅Ψ±ΩΨ§Ψͺ()*
Seen from Germany
golcukkadin
Seen from Turkey
sexoconlaprima
freaktales
Seen from Vietnam
momson()********************************
Seen from Indonesia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers
















