Top Tweets for #RadiooneUpdates
#HABARI: Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuwa na uelewa kuwa hedhi sio balaa, ugonjwa wala sio laana bali ni mabadiliko ya hali ya kawaida yanayomtokea mwanamke au msichana mara baada ya kubalehe kama ishara kwenye mfumo wa maumbile yake ya uzazi.
#RadioOneUpdates

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi (CP) Awadhi Juma, amesema watu 4 ambao ni bodaboda wameuawa kwa kushambuliwa na vitu vyenye ncha kali usiku wa kuamkia leo, Mei 28, 2023, katika Kijiji cha Nyakiswa kilichopo wilayani Butiama, mkoani Mara. #RadioOneUpdates

#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejesha nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi kila mwaka.
#MeiMosi
#RadioOneUpdates
https://t.co/FL2FDKvMv0
#HABARI: Raia nchini Korea Kaskazini wamepigwa marufuku kutumia jina la mtoto wa kike wa Rais wa nchi hiyo Kim Jong Un, aitwaye Kim Ju-Ae, mwenye umri wa miaka 10, huku wale ambao tayari wanalitumia jina hilo wakitakiwa kwenda kwenye mamlaka husika kubadilisha.
#RadiooneUpdates
#UPDATE: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari miili 19 ya waliofariki katika ajali ya ndege ya kampuni la Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Victoria mapema Asubuhi ya leo Novemba 06, 2022, imepatikana.
#AjaliPrecisionAir
#radiooneupdates

#HABARI: Shirika la Nyumba Nchini (NHC) limemkamata mpangaji wake anayeishi kwenye nyumba ya Shirika hilo iliyopo eneo Ubungo Jijini Dar es Salaam baada ya mpangaji huyo kutangaza kuuza nyumba hiyo kitendo ambacho shirika hilo limesema ni kinyume cha sheria.
#RadioOneUpdates

#HABARI: Rais wa Kenya Uhuru Kenyata anatarajiwa kuwasili nchini kesho asubuhi akiongozana na Ujumbe maalum wa mawaziri watano kwa ajili ya ziara ya siku mbili ambapo atahudhuria sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.
#RadioOneUpdates

#HABARI: Nyumba 133 likiwemo kanisa, zahanati, madarasa matatu na ofisi ya walimu zimeezuliwa na upepo uliombatana na mvua ya mawe huku watu wanane wakijeruhiwa katika kata ya Likuyusekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.
#RadioOneUpdates
#Coronainazuilika #UjanjaNiKuchanja

#HABARI: Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, Marekani, Ufaransa na jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za magharibi mwa Afrika (ECOWAS) walaani mapinduzi ya kijeshi Guinea.
Soma Zaidi: https://t.co/levFxxlI81
#RadioOneUpdates

"Tumeamua kufanya maamuzi magumu meli zote za Shirika la Meli ziuzwe tuanze upya, hatuwezi kuwa na Shirika lenye kuingiza hasara kila siku" Dr.Mwinyi.
#RadioOneUpdates

#PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
#RadioOneUpdates

#HABARI: Mkuu wilaya ya Songwe Bw.Simon Simalenga ametishia kusitisha vibali vya shughuli za minada, magulio na masoko kwa muda usiojulikana iwapo wananchi wataendelea kupuuza maelekezo ya kujihadhari na janga la Covid-19.
Soma Zaidi>> https://t.co/FfppzyHHAl
#RadioOneUpdates

#UTEUZI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia , leo tarehe 06 Agosti, 2021 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali.
#RadioOneUpdates
#IkuluUpdates


A police nearly killed the guy with his motorcycle..right now at Achimota! #RadioOneUpdates #RadioOne #AbnGhana
#HABARI: Wanachama 15, wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu ya @ChademaTz, waliokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza usiku wa kuamkia jana wakijiandaa kufanya kongamano la kudai katiba mpya, wakati wowote watafikishwa mahakamani baada ya ushahidi kukamilika.
#RadioOneUpdates

#HABARI: Zaidi ya watu 93 wamefariki dunia na mamia ya wengine hawajulikani waliko nchini Ujerumani baada ya mafuriko mabaya zaidi katika miongo kadhaa.
Zaidi Bofya>> https://t.co/d5spEpReuj
#RadioOneUpdates

#HABARI: Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021.
Zaidi Bofya> https://t.co/WUXeG4ofqP
#RadioOneUpdates

#Habari: Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amemtengua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema, Mhandisi Robert Lupoja na kumteua katika nafasi hiyo Mhandisi Sadala Sadick Hamis.
Zaidi Bofya Hapa: https://t.co/LGKJU9oqwE
#RadioOneUpdates

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Amos Makalla abaini wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya wananchi Kigamboni Dar es Salaam.
Zaidi Bofya Hapa: https://t.co/qMdNBUEFBX
#RadioOneUpdates

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers








