Top Tweets for #Retweet1000
Picha ya siku. Mzee ameona achore historia yake kwa kupigania Demokrasia.
#Retweet1000

Kweli Freeman ni big brain, kwa heshima ya Mwamba wa siasa za Bongo tumpe heshima.
#Retweet1000


Mhe. Mbowe anahoji, "Waziri Mbarawa (Mzanzibari), kaingia mkataba tata unaohusu bandari za Tanganyika kwa niaba ya Rais Samia (Mzanzibari). Kama huu mkataba unamaslahi, mbona hajaingia mkataba kuhusu bandari za Zanzibar hali ya kuwa bandari ni mambo ya muungano?"
#Retweet1000

Mhe. Mbowe anahoji, "Waziri Mbarawa (Mzanzibari), kaingia mkataba tata unaohusu bandari za Tanganyika kwa niaba ya Rais Samia (Mzanzibari). Kama huu mkataba unamaslahi, mbona hajaingia mkataba kuhusu bandari za Zanzibar hali ya kuwa bandari ni mambo ya muungano?"
#Retweet1000

Roma Mkatoliki amefanya kazi nzuri sana. Kwa heshima yake na kwa taifa, tumpe.
#Retweet1000
https://t.co/gFyK8xPJUt

Tukutane kesho 21.01.2023 katika viwanja vya Furahisha-Mwanza.
#Retweet1000


Tunaweza ku dedicate siku ya leo kwa ajili ya wapigania haki hawa. Basi leo tuwape goodtime kwa ku retweet picha yao hii.
#Retweet1000 kwao

Kwa heshima ya Mwamba Mhe. Freeman Mbowe ninaomba.
#Retweet1000

Leo amezaliwa shujaa wa taifa. Mbeba Maono, Mhe. @TunduALissu. Happy birthday Mhe. Lissu
#Retweet1000 kwake

Hongera sana wakili Msomi PETER KIBATALA umeupiga mwingi sana Leo Mahakamani.
#Retweet1000 picha hii kama ishara ya pongezi kwake.

Pongezi nyingi kwa Advocate. FARAJI MANGULA, apewe.
#Retweet1000

Nimeitumia sikukuu ya Leo kwenda gereza la Ukonga kumsalimu Mhe. @freemanmbowetz ni mzima wa afya na anawasalimu sana.
Kuonyesha upendo kwake tumpe #Retweet1000

Kama unampenda mwenyekiti @freemanmbowetz na mipango na mikakati yake ambayo ameifanya tangu kuasisiwa kwa chama chetu pendwa @ChademaTz na unaunga mkono mpango wa kukinusuru chama na kutegemea RUZUKU basi tuungane kupakua App ya #ChademaDigital kupitia play store.
#Retweet1000


@Naytrueboy anajipambanua kwa maneno na matendo kuwa yuko tayari kuisemea jamii. Kurudisha upendo kwake tumzawadie
#Retweet1000 kwa Ney

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers



