Top Tweets for #RingItaongea
VITASA: Kama ilikupita.... hivi ndivyo mambo yalivyokuwa kwenye Usiku wa Vitasa, Ulingo wa Moto....... Hakika ulingo uliongea....
Tumekuwekea Youtube (‘UTV Tanzania’) mapambano yote manane.
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbraClass #XiaoTaoSu
IBRAH CLASS vs XIAO TAO SU: Hii ilikuwa ni raundi ya nane…..
Mshindi ni Ibrah Class kwa pointi baada ya kuzikamua raundi zote kumi….
Pambano kamili tunakuwekea Youtube Channel ya ‘UTV Tanzania’
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbraClass #XiaoTaoSu
IBRAHIM CLASS vs XIAO TAU SU: Ni Mtanzania, Ibrahim Class ndiye mshindi akishinda kwa pointi dhidi ya Xiao Tau Su kutoka China
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ)
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

IBRAHIM CLASS vs XIAO TAU SU: @allymuftiTZ anapiga picha tu, mengine tunawaachie nyinyi.
Hakika ulingo utaongea
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymufti_tz )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

IBRAHIM CLASS vs XIAO TAU SU: Kivumbi leo...!
Nduugu zetu kama wamepania sana...hata sisi wenyewe hatueliwi
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

IBRAHIM CLASS vs XIAO TAU SU: Hakuna mvua hapa, ni jasho linaruka ulingoni.
Yaani mpaka useme....!
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymufti_tz )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

IBRAHIM CLASS vs XIAO TAU SU: 'Vidume' viko kazini
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

IBRAHIM CLASS vs XIAO TAU SU: Kazi imeanza kunoga ulingoni.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Kivumbi leo. Amapiano dhidi ya singeli
Ni Mtanzania, Fadhil Majiha dhidi ya Bongani Mahlangu kutoka Afrika Kusini
Wanapambania mkanda wa WBC
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ)
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Weka maneno kadiri uwezavyo
Ni Mtanzania, Fadhil Majiha dhidi ya Bongani Mahlangu kutoka Afrika Kusini
Wanapambania mkanda wa WBC
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Bongani leo ......?
Ni Mtanzania, Fadhil Majiha dhidi ya Bongani Mahlangu kutoka Afrika Kusini
Wanapambania mkanda wa WBC
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymufti_tz )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Shughuli imeanza kati ya Mtanzania, Fadhil Majiha dhidi ya Bongani Mahlamgu kutoka Afrika Kusini
Wanapambania mkanda wa WBC
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Mkanda wenyewe huu hapa kwa mara ya kwanza ukikanyaga Afrika na leo ni Mtanzania, Fadhil Majiha dhidi ya Bongani Mahlamgu kutoka Afrika Kusini
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Neno moja kwa Himanshi Raghav kutoka India ambaye alipigana na Stumai Muki
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Ameshinda Mtanzania, Stumai Muki kwa pointi dhidi ya Himanshi Raghav kutoka India kwenye pambano la sita.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ)
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Ulingo umeongea
Ni Mtanzania, Stumai Muki dhidi ya Himanshi Raghav kutoka India kwenye pambano la sita.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ)
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

USIKU WA VITASA: Hii hapa shughuli aliyokutana nayo Fatma Juma kutoka kwa Leyla Macho. Jambo limekamilika raundi ya pili tu, Fatma akikubali yaishe na hivyo Leyla kushinda kwa TKO.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #LeylaMacho #FatmaJuma #LeylaMachoFatmaJuma
VITASA NIGHT: Ni ngumi tu hakuna maelekezo mapya
Ni Mtanzania, Stumai Muki dhidi ya Himanshi Raghav kutoka India kwenye pambano la sita.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymufti_tz )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Hakuna kuremba wala kuombana chumvi.
Ni Mtanzania, Stumai Muki dhidi ya Himanshi Raghav kutoka India kwenye pambano la sita.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ)
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

VITASA NIGHT: Ni Mtanzania, Stumai Muki dhidi ya Himanshi Raghav kutoka India kwenye pambano la sita.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
(Picha na @allymuftiTZ )
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbrahimClassVsXiaTaoSu #FadhilMajihaVsBonganiMahlangu #WBC

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers