Top Tweets for #IbraClass


Haki ni muarobaini wa kila kitu.
Hongera kwa #IbraClass

Bondia namba moja kutoka Tanzania katika uzani wa ‘Super feather’, Ibrahim Class amepinga matokeo ya pambano lake alilocheza jana Februari 28 mwaka huu nchini Thailand.
Ibrahim Class alipigana na Mthailand Kritiphak Duangnut katika pambano la raundi 10 la kuwania mkanda wa WBC Silver International ambapo Majaji walitangaza matokeo ya sare.
Baada ya matokeo hayo Class ameonesha kusikitishwa na dhulma aliyofanyiwa na Majaji wawili raia wa Thailand ambao walionesha dhahiri dhamira ya kumbeba Mthailand mwenzao ambaye alipigwa raundi zote na Mtanzania huyo.
“Nimempiga jamaa raundi zote
Mwisho wa siku wametoa sare
Tumeambiwa tuandike barua ya malalamiko WBC promota kasema tuandike itumwe kule WBC waliangalie pambano watende haki kwasababu Majaji wawili wa hapa wametoa sare Jaji mgeni ambaye ndio sio wa hapa kanipa nimeshinda sasa imekuaje wawili watoe sare wa hapahapa wamembeba ndugu yao halafu huyu mmoja ndio kanipa kwahiyo tunasikilizia majibu kwanza WBC,” amesema bondia huyo namba moja kutoka Tanzania.
Jaji namba moja Pongpan Rattanasutorn alimpa Ibrahim Class alama 95 na Duangnut alama 95
Jaji namba mbili Parin Hantabool pia alimpa Ibrahim Class alama 95 na Duangnut alama 95 lakini Jaji namba tatu Joseph Gwilt alimpa Ibrahim Class alama 97 na Duangnut alama 93 na mwisho wa pambano matokeo yakatangazwa sare.
Hivyo basi Uongozi wa bondia huyo Mtanzania upo kwenye mchakato wa kusubiri majibu ya WBC ambao wakishapokea barua hiyo watapitia pambano lote kisha na kutoa mrejesho wa matokeo.
#KitengeSports


Narudia Pambano la Ibrahim Class Vs Rassibu Ramadhan nashindwa kuelewa kwanini Nassibu Ramadhan Hajapewa Ushindi wake..?

VITASA: Kama ilikupita.... hivi ndivyo mambo yalivyokuwa kwenye Usiku wa Vitasa, Ulingo wa Moto....... Hakika ulingo uliongea....
Tumekuwekea Youtube (‘UTV Tanzania’) mapambano yote manane.
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #RingItaongea #UlingoWaMoto #PTASabasaba #IbraClass #XiaoTaoSu
MZIGO UMEFIKA: Neno kutoka kwa bondia Ibra Class kabla ya kupanda ulingoni, usiku wa leo.
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#VitasaNight #UsikuWaVitasa #Vitasa #MzigoUmefika #Zanzibar #ZanzibarTumefika #Kizimkazibuluu #MaoTseTung #MaoTseTung #PambanoLaKihistoria #IbraClass
KAZI IPO: “Ibra Class hamalizi raundi ya nane” - Sikia mkwara wa Said Chino kuelekea Usiku wa Vitasa, atakapomkabili Ibra Class Jumamosi Mei 27, 2023 LIVE #AzamSports1HD
#KaziIpo #Vitasa #UsikuWaViatsa #VitasaNight #VitasaNgumiJiwe #Boxing #VitasaFightNight #IbraClass #Mawe #SaidChino @GilbertJohannes


Tunarudi Dar na ushindi wetu.
Hongera kwa #IbraClass,hongera kwa Watanzania na hongera kwa #JustFit....ndo tunamvalisha Mwamba

Anapanda Ulingoni leo..hapahapa Tanga...



Tukutane Mkwakwani stadium leo tumpe sapoti #IbraClass....
#JustFit ipo pamoja na wapenda ngumi wote wa TANGA na Tanzania nzima


NGOMA NZITO: “Tuombe Mungu, siku ifike salama” – Ibra Class ana sema tarehe 28 Januari ana jambo lake Tanga.
Ni kuelekea Usiku wa Ngoma Nzito LIVE #AzamSports1HD
#NgomaNzito #Vitasa #UsikuWaVitasa #VitasaNight #UsikuWaNgomaNzito #VitasaTanga #IbraClass
Mtaa utavutiwa na wewe mara tu unapovaa superbrand. #IbraClass
Kwa hapa Masasi....stori kubwa ni #IbraClass...yaani wadau wanaangalia namna ya kutafuta mtaa/road ipewe jina la #IbraClass....

hii ngumi jiwe ya Ibrahim class yamsambaratisha bondia Pina kwa KO 💪💪💪💪 leo tumeona pambano bravooo #ibraclass

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat() #snapchat
Seen from Argentina
FraudID
Seen from United States
ThuisinKortrijk
Seen from United States
ควยนักมวย
Seen from Thailand
ngintip orang mandi
Seen from Malaysia
bestiality
Seen from Spain
czechmassage
Seen from Malaysia
thundr
Seen from Sweden
toohottorace
Seen from United States
saludcalixteña
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


































