Top Tweets for #SAMIA2025
KAMPENI ZA DKT. SAMIA KUTIMUA VUMBI MTWARA MJINI 🚩
Dkt. Samia leo Sept 26 atakuwa Mtwara Mjini: Meli ya mizigo Mtwara–Comoro, SGR Mtwara–Mbambabay, upanuzi uwanja wa ndege, maghala 7, maji Ruvuma, viwanda vya sukari & korosho, Hospitali & vituo vya afya. #Samia2025 #KaziIendelee

Ahadi zenye kutekelezeka na kuwapeleka wananchi kwenye Maendeleo!
CCM imeahidi.....Itatekeleza!
#Samia2025

Mkeka wa Iramba huu hapa!!♥️
Ahadi zenye kutekelezeka kwa uharaka kwa Maendeleo ya Wananchi.
#SAMIA2025 ✅️

Halooo 📞 halooo! Wakazi wa Bahi Dkt Samia anatakua nasi Kesho.
##Samia2025

Halooo...halooo!!! 📞
Haya sasa Tunaendelea tulipo ishia haiishi mpaka iishe.
Simu 📞ya Dkt Samia inaitia Mkoa wa Njombe leo!
#samia2025
#OktobaTunatikiSamia

Halooo...halooo!!! 📞
Haya sasa Tunaendelea tulipo ishia haiishi mpaka iishe.
Simu 📞ya Dkt Samia inaitia Mkoa wa Njombe leo!
#samia2025

Sera na Ahadi za CCM ni zenye kutekelezeka na kwa Haraka.
Mkeka wa Mbeya Mjini huu hapa!
#Samia2025

Haloow...Haloooo! 📞 Mbeya simu inaita Dkt Samia anawapigia wana Mbeya leo!
Tukutane Old Airport.
#Samia2025

Wakazi wa Songwe na Tunduma utawaambia nini na Dkt Samia.
Wameamua kumuunga mkono Dkt Samia!!
#Samia2025
Wananchi wa Songwe wanasema sababu ya Oktoba Kutiki Samia✅️ wanayo ni kwa kipindi cha miaka minne ya utawala wake amewafanyia makubwa.
#Samia2025

Haloo 📞Songwe mko tayariiiii....
Wakazi wa Momba, Mbozi, Tunduma Boarder, Tunduma Mjini na Vwawa Dkt Samia anatufikia.
Twendeni tukaujaze uwanja tukisikiliza ahadi zenye Kutekelezeka!!
#Samia2025

Kondoa Imetiki ✅️ Samia
Wanasubiri kuweka kura kwenye box tu Oktoba 29
Duh! Sio kwa Nyomi hili!
#Samia2025

Kilichoahidiwa kimetekelezwa!
Dar es Salaam ya mwendokasi imeanza rasmi.🚌
Wakazi wa Mbagala wanaisubiri Oktoba Kutiki✅️ kwa kishindo!!!
#Samia2025

Wana CCM na Wakazi wa Morogoro kusini wameamua kwenda na Dkt Samia.
Haya ni zaidi ya Mapenzi kwa Mgombea wao wameahidi kutiki kwa wingi Oktoba
#Samia2025
#OktobaTunatiki
Ahadi zenye kutekelezeka kwa Uwazi na Uharaka katika kutatua kero na Adha ya Wakazi wa Morogoro kusini (Ngerengere).
#Samia2025
#Oktobatunatiki

Ahsante Mungu wa mbinguni kwa kutuletea Zawadi hii ya Rais Samia, Tunashukuru kwa dhati Maono ya wanadamu na ukayabariki.🙏
Hapa ni kawe na Tumeanza jambo letu kalibariki baba wa Mbinguni kwa kumpa mitano mingine ya kutuongoza.
#Samia2025
@SuluhuSamia mbona kama #NITAMCHAGUA #SAMIA2025 ni kama watu wamepangwa waiandike?? kama hakuna mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi hatuta shiriki Uchaguzi itakua ni #KUPOTEZA_MUDA wetu.
@ikulumawasliano Samia Suluhu anahakikisha wanawake wanapata nafasi za kuonyesha uwezo wao. #NITAMCHAGUA #SAMIA2025
Rais Samia ametoa mchango wa Sh. 50 milioni kwa viongozi wa imani, hatua inayoonyesha dhamira yake ya kujenga taifa linaloungana na amani.
#Samia2025
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers









