@SimbaSCTanzania@MeTL_Group viongozi wenu ni wanafiki, kama timu hata hamjatoa pole kwa msiba mzito, sasa yule wa kispika ataenda wapi kuhamasisha wakati mashabiki wameuwawa kwa risasi??
@MariaSTsehai@Sativa255 angalia lips za @diamondplatnumz na @dimpoz zimelegea kwa kunyonya mashine! Mond kanyonya ya PDiddy na Dimpoz kanyonya za mataita wa dsm na dubai kwa hiyo usiwape airtime sana waPuuzi hao...!
@MwananchiNews kashindwa kuweka njia 4 mwanza kutoka (usagara hadi town) barabara ni kama barabara ya mtaani, atawezaje kuweka njia 4 tunduma? ila ccm hawana VIPAUMBELE wapo wapo Tu, washatuona sisi mbuzi tusio kuwa na akili hata kidogo!
@rollymsouth ahadi za @ccm_tanzania ni za kitapeli mno, mwanza kwenye ziwa victoria hakuna maji, #WAMESHINDWA kusambaza maji Mwanza sasa wana wadanganya dodoma eti tatizo la maji litaisha๐๐! bonyeza * vichekesho hivi vitakuwa vyako...!
@imaaJr_ bila hii ya kwenda hadi 200km kusomba watu na kuwalipa 10k hamtoboi, ndio maana wakifika kwenye uwanja wa mkutana wanaingizwa kwenye cage ili wasitoke 7bu walisha lipwa๐๐
@imaaJr_ mnasahau kuwa mnatembea na ng'ombe zenu kwenye malori, hamuwez kujaza nyomi bila kusomba wananchi wa mkoa mzima, huo uwezo hamna, mnajichoma kidole na kunusa! hapo kuna wanafunzi wa shule zote za msingi na sekondari na walimu wao, watumishi halmashauri zote na ng'ombe za malori.
@MarekaMalili yaani wapenzi wa @SimbaSCTanzania wanalinganisha jersey zao wenyewe ya Pre season na ya season, hawalinganishi na jerseys za @Yanga1935 sababu jezi za yanga hazifiki hata robo ya ubora wa jerseys za simba..!
@SimbaSCTanzania yaani hapa wapenzi wa @SimbaSCTanzania wanalinganisha ubora wa jersey zao, ya pre season na ya season ipi kali, lakini hawalinganishi na za @Yanga1935 kwa sababu za watani hazifiki hata robo ya ubora ukinganisha na za simba๐๐
@SuluhuSamia Muheshimiwa huu wingi wa watu ina maana hufahamu kuwa wanasombwa zaidi ya 150km kuja kwenye mikutano yako? malori yanawasomba watu wilaya za jirani, piga marufuku kusombwa watu kuja kwenye mikutano yako ili upime upendo wetu uone kama hujapata watumishi wa halmashauri husika Tu!