Top Tweets for #SAMLearningVisit
"Muundo wa timu ya SAM unaozingatia jinsia umeonesha kuwa na mafanikio sana maana tumeona uwiano mzuri katika mijadala" - Mjumbe kutoka #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

Unapotekeleza SAM ni muhimu kuzingatia sheria za nchi na mikataba ya kimataifa inayolinda haki na kuweka miongozo. @sikika1 huongozwa na katiba ya JMT (1977) na mkataba wa haki za kiuchumi, kitamaduni na kijamii (1966) - @NelsonLema86 #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

@sikika1 Safi...haki na wajibu wa mwananchi katika maendeleo ni muhimu.#SAMteamMembers #SAMLearningVisit
A group photo of #KondoaSAMteam #NorwegianChurchAid and @sikika1 during day II of #SAMLearningVisit in Kondoa district. @PSAM_AFRICA

Baadhi ya changamoto tulizo ziona ni pamoja na fedha nyingi kubadilishwa matumizi - Mwanaisha Maiwa, mjumbe timu ya SAM. #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

Pamoja na kwamba tumeona mafanikio nashukuru kwa kuwa mmeelezea changamoto pia ambazo sisi zimetupa mwanga zaidi - Mjumbe kutoka #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

"SAM haiishii tu kwenye ufuatiliaji upande wa serikali, sisi tunatoa elimu kuhusu haki na wajibu ndio maana tumesisitiza vipato vya zahanati kwa wananchi kuchangia CHF" - Ally Isere, mjumbe timu ya SAM. #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

"Mafunzo ya SAM tuliyopewa na @sikika1 yametujengea uwezo zaidi ya idara ya afya. Binafsi ninatumia #3Us kwenye Elimu, Maji hata kwenye Vikoba" - Salama Salum, mjumbe timu ya SAM. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

"Nguvu ya SAM ni kubwa sana, sisi madiwani imetusaidia sana ambapo kwa sasa tunapata taarifa za kina na tunaweza kuzipima tofauti na kipindi cha nyuma" - Mh. Jamila Gamaha, mjumbe timu ya SAM. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

"Kwa sasa hakuna mtoa huduma anayeweza kwenda kuanza mradi akiwa na mkandarasi bila kushirikisha wananchi ngazi ya kata ama kijiji. Hii isingewezekana bila ripoti ya SAM kuonesha mapungufu hayo" Ndugu. Heri Suba, mwakilishi CMT. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

"Mmeuliza kuhusu matokeo tuliyoyaona baada ya SAM. Mfano ni shimo la kutupia kondo la uzazi la nyuma lililojengwa kituo cha afya Kisese. Wakati tunafanya uhakiki halikuwepo wala hakukuwa na mpango" - Mzee. Radhamani Duru, mjumbe timu ya SAM. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

"Mimi nimeshiriki kwenye #PETs na #SAM, yote ni miradi mizuri lakini SAM inaingia ndani zaidi hususani katika uchambuzi na #3Us. Utaratibu huu unawezesha kuwa na ushahidi wa unachokizungumza" - Bi. Salama Salum, Mjumbe timu ya SAM Kondoa. #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

"Mimi ni mwakilishi wa madiwani, hatua ya kwanza tuliyochukua kama madiwani ilikuwa ni kuirudisha @sikika1 wilayani Kondoa. Hii haikutokana na mapenzi binafsi bali ni rekodi yao ya utendaji kazi" - Mh. Jamila Gamaha, Diwani Kondoa. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

"Kabla ya @sikika1 kuja Kondoa kuna mambo yalikuwa yanatugusa kama wanajami hivyo ujio wao umetuwezesha kupata nyenzo za kupambania huduma bora za afya" - Ndugu. Ally Isere, Mjumbe wa timu ya SAM kutoka kondoa. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid


"My understanding from #SAMLearningVisit today is that SAM needs well versed staffs and adherance to guiding steps. We really appreciate for sharing with us such a detailed experience, you have given a point to start from" Gilbert Mworia, Project Manager from #NorwegianChurchAid

"Suala la afya ya uzazi bodo ni changamoto kubwa. Mfano; mwaka uliopita tulikuwa na vifo vya kina mama 9 ikiwa ni ongezeko la vifo 5 toka mwaka 2017. Watoto wachanga ndio hali mbaya zaidi, vifo vilikuwa 50" - Robi Kanyuko, Mjumbe kutoka CHMT #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

"Nimefurahi kusikia uzoefu wa @sikika1 katika utekelezaji wa SAM hususani namna ya ushirikishaji jamii. Hili ni jambo zuri lakini tuwekeze zaidi katika kuwafuatilia wajumbe wa timu ya SAM wa awamu za nyuma" - Mjumbe kutoka #NorwegianChurchAid #SAMLearningVisit

"Kuhusu changamoto ya gharama za kufanya ufuatiliaji baada ya zoezi la SAM, suala hili tumelijadili na kukubaliana kuwa tunaweza kuendelea na ufuatiliaji bila kutegemea uwezeshaji wa @sikika1" - Gabriel Mnyawami, Mkt. Timu ya SAM. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

"Inapotokea tumebaini uwepo wa matumizi mabaya ya rasilimali tunatoa taarifa kwa mamlaka za juu, wasipo chukua hatua ndio unaweza kuarifu #TAKUKURU" - Ramadhani Mtinangi, Mkt. Bodi ya Afya ya Wilaya. #SAMLearningVisit #NorwegianChurchAid

Last Seen Hashtags on Sotwe
girlwedgie
Seen from Ireland
Blockchain
Seen from United States
Fatestaynight
Seen from Indonesia
InstagramHack
ΰΈ¨ΰΈ£ΰΈ΅ΰΈͺΰΈ°ΰΉΰΈΰΈ©ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈ
Seen from Thailand
ΰΈΰΈ§ΰΈ’58
Seen from Thailand
mbbg
Seen from Vietnam
MonkeyApp
BrotherSister()
Seen from Italy
nolimit() filter:videos
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.4M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.1M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.7M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.2M followers













