Top Tweets for #SalamaNaRuby
HAKUNA BOSS AMBAYE HAJAWAHI NITAKA, NIKO NAO VIZURI MPAKA LEO.
#SalamaNaRuby
https://t.co/5M1A5vTfVN via @YouTube
Episode 18 featuring @iamrubyafrica tayari iko Youtube. Ukitaka kuangalia just click link https://t.co/XajhCcOScd
ENJOY!
#SalamaNaRuby
#KIDANI
#SalamaNa
#YahStoneTown
Sasa unaweza enjoy madini ya #KIDANI katika meza ya #SalamaNaRuby
ndani ya Apple podcast kupitia link hii⬇️⬇️
https://t.co/GjyscX8Xaw…
ENJOY!
#YahStoneTown #SalamaNa #YST
Tumefurahia #KIDANI na Hellen kwenye #SalamaNaRuby tunaamini umepata vidani vya kutosha pia.
𝒮𝐻𝒰𝒦𝑅𝒜𝒩 sana na endelea kukaa 𝒮𝒜𝐿𝒜𝑀𝒜.
#KawiaUfike #YahStoneTown #SalamaNa #YST

“Mpenzi nilienae sasa nimekutana kwenye kazi. Sijali umaarufu wake au alikuwa na nani. Ni kijana anaejitambua, ninajifunza kwake, anaheshima na kila mtu, ananisupport, nampenda sana na tukiziba masikio naamini tutafika mbali.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Marehemu Ruge alikuwa mtu mzuri, alikuwa anamapungufu yake lakini alikuwa ni mtu mzuri maneno ya watu ndio yalikuwa yakimfanya aonekane mbaya lakini alikuwa ni mtu mzuri.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST
“Sikuwahi kumgombania Marehemu Ruge na nilipokutana nae kwa mara ya kwanza sikujua kama ni yeye. Na sikuwa na mawazo ya mapenzi nilipoanza THT. Ukaribu wa mimi kupata kazi ulileta chuki kwangu na ile akili ya kuwa lazima uwe na boss ili utoke.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Nilichojifunza ni kwamba hata unapotaka kusema angalia unachotaka kusema usiseme tu. Tutumie lugha ya imani. Ukiwa na msimamo na utaongea kwa upendo. Mtu anapokukosea unamwambia ukweli vizuri kwa upendo.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Nilipitia changamoto miaka miwili iliopita nikatamani kujiua lakini Mungu ameweka hatia ndani yangu kuwa sitakufa sasa hivi mpaka nitimize lengo la Mungu.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Mungu aliondoa majuto niliokuwa nayo kwa mtu niliezaa nae pale ambapo nilikubali kuwa nimezaa nae na nina mtoto sasa. Nilipompata mwanangu kuna vitu vilibadilika. Amenibadilisha sana.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Inaonekana wasanii wakibongo wanapendwa sana nje ya Tanzania.”- @EceJay
Unakubaliana na hili?
#SalamaNaRuby #YST
“Ukweli tunaujua sisi wanamuziki. Wachache wamefanikiwa kimuziki wengine wamefanikiwa lakini sio kimuziki, ni udanganyifu wa maisha.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST
“Wanawake kwenye tasnia ya muziki tunapata changamoto nyingi kuliko wanaume. Rushwa ya ngono kwa wanawake ipo.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Leo kwa nilipofikua nikiamka Mungu ameamua kunirudisha kwenye gospel naamini nitakuwa bado na mashabiki wengi.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST
“Sisi tuimbao bongo flava ni tofauti na wanaoimba gospel maana wao wamepewa neema,hauwezi kutoka bila kukubali kumtumikia Mungu pekee. Lakini huku kwetu kumejaa majungu, kiki nyingi.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST
“Sijawahi kufikiria muziki wa bongo flava, nilikuwa nikiimba kama kipaji tu napenda. Nimekulia kanisani haikuwa fikra yangu kuja kufanya ninacho kifanya ni mazingira yalionifikisha nilipo.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

“Huwa najiskia vibaya watu wakinisema vibaya kwamba ni mgumu kufanya naye kazi lakini siwezi achia maneno ya watu kuniangusha chini na sijui hayo maneno yanatokea wapi.”- #Ruby
#SalamaNaRuby #YST

#KIDANI kiko mezani tayari katika meza ya #SalamaNaRuby Now on #MaishaMagicPoa @DStv_Tz
#YahStoneTown #SalamaNa #YST

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



