So guys here is the real deal kwenu wakulima na all dealing with heavy machines!
Let me introduce ZOOMLION to you, is a manufacturer of all kinds heavy machines. Yes, heavy machines i.e mining, construction and agricultural machines!
We have 110HP Tractor 🤗
📞 0757 273 056
Hello Twitter Family, Asalam Aleykum😊Alhamdulillah Tumekuwa NOMINATED! Asante kwa vote zenu za awali…Naomba dakika zako chache tu ubonyeze link 👇unipe VOTE yako https://t.co/oiD1aa72MA
Nomination category: MAKEUP ARTIST MBOBEVU
Nomination name: MINAHS BEAUTY STUDIO
Bi-idhnillah, kwa Kura zenu nitakuwa part of watakaopokea hizi awards 4th July, 2026 ❤️🥰🤲🏽Ahsante sana #glammedbyqueeenminah
Wanaofanya vingi na kupata matokeo makubwa, saa nyingine, hata hawajui mengi unayoyajua wewe. Unaweza kushangaa hao unaowaita ‘vilaza’ wana uzoefu mkubwa na wanafanya mengi ya maana ambayo wewe hutokaa ufanye.
Tofauti yao na wewe mwenzetu ni namna wasivyoogopa kuonekana vituko. Wakati wewe unaendelea kujifunza kwa nadharia, wenzio wanajifunza kwa kukosea. Hamuwezi kufanana.
Wakati wewe unasubiri uwe tayari, wakati wewe unaendelea kujipanga, wenzio wanaanzia pale walipo kwa kutumia kile kile walichonacho. Hamuwezi kufanana. Jaribu kuonekana kituko mwezi Juni kwa kujaribu vitu vya maana unavyoogopa kuvijaribu halafu uone.
Ndugu zangu, tunaomba msaada wenu 🙏
Mtoto ana tatizo la tundu kwenye moyo na kwa sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya JKCI. Gharama zinazohitajika kwa ajili ya upasuaji ni TSh 7,180,000.
Tunaomba msaada wa chochote ili kuokoa maisha ya mtoto huyu.