Top Tweets for #Samiaverified
📍Dar es Salaam
" MAADHIMISHO YA KWANZA WIKI YA USAFIRI ENDELEVU ARDHINI 2025"
▪️KAULI MBIU:
Nishati Safi na ubunifu katika usafirishaji.
🗓 24 - 29 Novemba, 2025
Viwanja vya Mnazimmoja kwa maonesho na kituo cha kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).
#SAMIAVERIFIED

🇹🇿💪🏾🇹🇿
📢The World Will Gather to the United Republic of Tanzania
#UTAKE (🇺🇬, 🇹🇿, 🇰🇪)
East Africa To Host #AFCON2027
#SamiaVerified✅ #KaziIendelee #SheIsTheRealDeal

📍#Tanzania🇹🇿
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.🩷
#SSH #KizimkaziFestival2023
#TheRareGem #SamiaVerified✅
@SuluhuSamia

💊🩺🌡️🩹💉
Upatikanaji wa Dawa Hospitali za Amana na @MuhimbiliTaifa sasa ni 97%
Kutoka asilimia 30% hadi asilimia 97% chini ya Mhe. Rais @SuluhuSamia.
Uboreshaji miundombinu ya afya unakwenda sambamba na upatikanaji dawa na vifaa tiba.
#Samiaverified✅ #MamaSamiaKazini

📍Karagwe, Kagera
🩺🧑🏽⚕️💉💊🔭
RAIS SAMIA AZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA KWA WATANZANIA.
Muonekano wa Hospitali ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ambayo imekamilika na kufungwa vifaa tiba vyote kwa ajili ya kuhudumia Watanzania.
#Samiaverified✅
#TanzaniteLady
@innobash

📍Dar es Salaam, Tanzania
“MAMA SAMIA KAZINI”
"Wakati ni sasa, inawezekana, kila mmoja atekeleze jukumu lake kwa nafasi yake tuendeleze bara letu la Afrika "- Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia
#SamiaVerified✅
#Sheistherealdeal
#Kaziiendelee


🇹🇿
📍MBEYA.
🛣️🚥🛬
"MAMA SAMIA KAZINI"
Akhsante Mh. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Barabara Ya Njia Nne kutoka Uyole mpaka Uwanja Wa ndege Songwe.
Visit Mbeya!
#Samiaverified✅
#Mamasamiakazini
#kaziiendelee

🇹🇿
📍IKULU CHAMWINO
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Tunataka Elimu isiwe Changamoto ya Ajira, bali iwe Suluhisho. Maneno ya Mheshimiwa Rais. Dkt Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiongea na Vijana wasomi chini ya TAHLISO.
@SuluhuSamia @tonytogolani @sophiamjema1
#Samiaverified✅

📍 🇹🇿
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Mheshimiwa Rais. Dkt Samia Suluhu Hassan, Kaboresha Biashara. Miongozo na Uboreshwaji wa Sheria zitazoweza kuvutia Wawekezaji katika Kila Pembe Ya dunia. Huku uuzaji wa Bidhaa (Exportation) Nje ukiongezeka Maradufu.
#Samiaverified✅

📍🇹🇿
"MAMA SAMIA KAZINI"
🗣️ Serikali ya Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan kununua Magari 727 yatakayotumika Kutoa Huduma kwenye Hospital za rufaa Nchi Nzima.
#Samiaverified✅
#MamaSamiakazini
#Kaziiendelee

📍🇹🇿
"MAMA SAMIA KAZINI"
🗣️ Ujazo wa maji katika Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere JNHPP lililopo Rufiji Mkoani Pwani umefikia mita 128.72 kutoka usawa wa Bahari.
https://t.co/jECh2wKkJi @JMakamba (Waziri wa Nishati).
#Samiaverified✅
#MamaSamiakazini
#Kaziiendelee

📍 🇹🇿
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Serikali ya inayoongozwa na Mh. Dkt.Samia Suluhu Hassan imetenga Sh.Bilioni 100 katika Mwaka huu kwaajili ya Kujenga Vyuo vya Ufundu stadi (VETA).
#MamaSamiakazini
#Samiaverified✅
#Kaziiendelee

📍 🇹🇿
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan Ameridhia kuongeza kipindi cha Msamaha wa Riba ya Malimbikizo ya Kodi ya Pango la Ardhi hadi April 2023
Cc @SuluhuSamia @ridhiwankikwete
#MamaSamiakazini
#Samiaverified✅
#Kaziiendelee

🇹🇿
📍 TPA KIDIGITARI ⤵️
⛴️ 🚢🛥️+ 🖥️ 📟= 💸💸
TPA waleta Mapinduzi Makubwa katika Huduma za Malipo Nchini.
#MAMASAMIAKAZINI
#SAMIAVERIFIED✅
#KAZIIENDELEE

🇹🇿
📍 MOROGORO ⤵️
🚧🚦🚊🚆🛤️
Ujenzi wa Reli ya SGR Sehemu ya Morogoro - Makutupora, Sasa Imeifika Asilimia 90%.
UPOGOLONI MAMBO YAMEIVA.
#MAMASAMIAKAZINI
#SAMIAVERIFIED✅
#KAZIIENDELEE

🇹🇿
📍 MOROGORO ⤵️
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, ameridhia kutoa heka 4500 na shilingi Bilioni 1 ya mpango kazi wa Ardhi kiegea Morogoro.
Na Mh. Ridhiwan kikwete (Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi).
#MamaSamiakazini
#Samiaverified✅

📍 🇹🇿
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Mheshimiwa Rais. Dkt Samia Suluhu Hassan, Kaimarisha Uchumi na Mfumuko wa bei umeweza kudhibitiwa. Huku Akiba ya fedha za kigeni ikiongezeka.
@SuluhuSamia @mwigulunchemba1
#MamaSamiakazini
#Samiaverified✅
#Kaziiendelee

📍 🇹🇿
🗣️ "MAMA SAMIA KAZINI"
Mheshimiwa Rais. Dkt Samia Suluhu Hassan, aweka Rekodi katika Kukuza Utalii Tanzania, Hususan kupitia program Maalumu aliyoifanya ya Royal Tour.
#MamaSamiakazini
#Samiaverified✅
#Kaziiendelee

📍🇹🇿
🎉🎉🎉
HAPPY 46 YEARS OLD CCM.
"GETTING OLD IS TO GROW"
#KAZIIENDELEE
#MAMASAMIAKAZINI
#SAMIAVERIFIED✅

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers



