Top Tweets for #SautDigitalUpdates
Asanteni kwa kuwa sehemu ya familia ya SAUT Digital. Safari inaendelea… kuelekea subscribers 100,000
https://t.co/5XzPIpEuOk
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #SautDigitalUpdates l #RadioSAUTFm l #SAUTDigital l #50KSubscribers l #Asante l #YouTube l #SafariInaendelea

JNHPP ni mwanzo tu; Tanzania bado iko nyuma zaidi ya mara 800 nyuma ya China kwa uzalishaji wa umeme
https://t.co/3D6ngvjrpw
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #SautDigitalUpdates l #RadioSAUTFm
Kurasa za mbele Magazeti ya Afrika mashariki Agosti 24, 2026.
https://t.co/eytPMTiKJe
#SAUTDIGITAL l #eacnewspaper l #HABARI l #tanzania l #kenya l #Uganda l #Rwanda l #Burundi l #DRCongo l #SouthSudan l #Somalia l #zambia l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Askofu Ole Okasa: Watanzania wengi hawaridhiki na Tume Huru ya Uchauzi
#SAUTDIGITAL l #HABARI #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola nchini kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Mmwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atakuwa tayari kuacha urais wake ili kubadilishana na amani kabla ya maadhimisho ya miaka mitatu ya uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inaendelea kuweka msisitizo katika kuimarisha sekta ya afya nchini.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Vatican imesema hali ya Papa Francis imeimarika baada ya siku ya Jumamosi kufichua taarifa kwamba hali yake ipo matatani na kueleza kuwa anaugua tatizo la muda mrefu la pumu.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Fahamu jinsi Mwenyekiti wa AUC anavyo patikana https://t.co/gKbvzcSGQG… #SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Mateka watatu wapoa mbioni kuachiliwa na Hamas na Palestina Islamic Jihad (PIJ) badala ya Wapalestina 369 wanaoshikiliwa katika jela za Israel kama sehemu ya usitishaji vita huko Gaza.
https://t.co/JjlboSY9Rx
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm
Wakuu wa nchi za Afrika wanakutana siku ya leo Feb 15, 2025 mjini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika (AU) ambao utamteua Mwenyekiti mpya wa tume ya umoja huo.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Mateka watatu wapoa mbioni kuachiliwa na Hamas na Palestina Islamic Jihad (PIJ) badala ya Wapalestina 369 wanaoshikiliwa katika jela za Israel kama sehemu ya usitishaji vita huko Gaza.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) umepitia mageuzi makubwa kutoka kuwa nafasi ya kawaida ya kiutawala hadi kuwa nafasi yenye umuhimu mkubwa katika kuamua mustakabali wa bara zima la Afrika.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza kati ya Israel na Hamas yameonekana kuyumba tangu yalipoanza kutekelezwa tarehe 19 Januari lakini sasa yanaonekana kuwa katika hali tete ijapo kuwa bado hayajasambaratika.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Wizara ya ulinzi ya Marekani Pentagon itapeleka takriban wanajeshi 1,500 zaidi katika mpaka wa kusini ili kuunga mkono hatua ya Rais Donald Trump ya kupanua ukandamizaji dhidi ya wahamiaji.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Bei za vyakula duniani zilishuka katika kipindi cha mwezi Januari 2025, hasa kutokana na kushuka kwa bei ya sukari, mafuta ya mboga na nyama
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Joao Felix amefungua akaunti yake ya mabao, akifunga katika mechi yake ya kwanza ya AC Milan naye Tammy Abraham akafunga mabao mawili na kuilaza Roma katika robo fainali ya Coppa Italia.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Takriban wanafunzi 17 walifariki katika ajali ya moto katika jimbo la Zamfara kaskazini mwa Nigeria Jumanne usiku.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameviamuru vikosi vya ulinzi kuanza maandalizi ya kuwaondoa wanajeshi wake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Klabu ya Singida Black Stars, imesema imepokea kwa mshituko na masikitiko taarifa za aliyekuwa Kocha wao Hamdi Miloud kutambulishwa na Klabu ya Yanga bila kufuata utaratibu.
#SAUTDIGITAL l #HABARI l #sautdigitalupdates l #RadioSAUTFm

Last Seen Hashtags on Sotwe
طرب_خليجي
Seen from Pakistan
coroa
Seen from Argentina
SmallCocks
Seen from United States
NoLimits()
Seen from Brazil
Bugezera
Seen from United States
依頼
Seen from Japan
blackmassagetherapist
Seen from France
NaturalCode
Seen from United States
mama culona
Seen from Argentina
imagineyourcurrency
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers