Top Tweets for #SemaNae
Sometimes watu wa karibu sana ndo wanafanya mambo ya hovyo kwa watoto.
Mzazi sema na mwanao juu ya viashiria vya kufanyiwa ukatili.
Huyu jamaa amewabaka watoto ambao alikuwa akiishi nao kwa Babu yao....
#SemaNae

Zijue tabia za mwanao...Kuna Mzazi kazimia...baada ya Binti wa form I kukiri ana mabwana wanne mtaani...
#SemaNae
Tunafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanatugeukia wenyewe. Tunapost vitu ambavyo kesho vinakuja kututafuna wenyewe na kuanza kutafuta mtu wa kumtupia lawama. Hatujipi heshima tunayostahili na kupeleka hadi kukosa heshima hiyo kwenye jamii.
#InternationalGirlChildDay
#SemaNae
✨Remember to have fun and celebration your wins (no matter how small or big they are).
It helps alot on body relaxation, stress balance, socialization and confidence gain.
It even boost creativity🥂🌹
#WomenAwake
#SemaNae

Jitahidi kutumia mitandao ya kijamii vizuri. Kumbuka kila utakacho post sasa kitaweza kukuathiri kwa uchanya ama uhasi mbeleni. Hivyo kuwa makini usi post kitu ambacho hautapenda kukiona baada ya miaka kadhaa.
They say "Internet never forgets"
#WomenAwake
#SemaNae

Thoughts like "I can't do it, I'm bad, I'm ugly, I know I will make a mistake" always shapes us to people we never wished to be. So accept your self and live in that acceptance. Positive energy always wins🤗🥀
#SemaNae
#WomenAwake

Positive energy and perception about ourselves helps alot in exploring our potentials.
Always say I can do it, I must do it, I'm good, I must be perfect, I'm pretty, and all good words. Yani speak good of yourself.
#WomenAwake
#SemaNae
👨🏫 La #SemanaE es una experiencia única y retadora, en la que, a través de la solución de un #reto definido por una #empresa, los #docentes aportan sus conocimientos, colaboración y #liderazgo para resolverlo.
🚀 Conoce más de la iniciativa aquí: https://t.co/8S3V5AKoPb
Wote tulizaliwa sawa. Makuzi ya jamii inayokuzunguka na Shughuli zinazokuzunguka ndio zinaleta umakini wa ubongo wako. ~ @SuluhuSamia
Wazazi, walezi na jamii tujifunze hapa. Malezi na Makuzi kwa watoto wetu yana nafasi kubwa Katika kuijenga kesho yao.
@RuralGirlsTz @AnikeFoundation @elizabcarter @UAFAfrica @franklin_tissa @bajabiri @Elsalinah31 @ManenoIzaak @yose_hoza @Babawawili_2 @JohnMbundi @Elisalinah31 Waoow
Congrats to them
#TuwafikieTuwalinde
#UsiipuuzeCOVID19
#SemaNae
Tunaendelea kuhimiza unawaji wa mikono kwa maji safi na sabuni.
Ni moja ya njia iliyoelekezwa na @wizara_afyatz kujikinga dhidi ya #COVID19.
Lengo letu ni kugawa vifaa hivi shule za Vijijini na maeneo ya Umma.
#UsiipuuzeCOVID19
#TuwafikieTuwalinde
#SemaNae
@RuralGirlsTz
@RuralGirlsTz @UAFAfrica @ManenoIzaak @yose_hoza @Elsalinah31 @franklin_tissa @JohnMbundi @InternewsEurope @bajabiri Tulinde vyanzo Vya maji. Maji ni uhai #UsiipuuzeCOVID19
#SikuYaMajiDuniani
#SemaNae
@RuralGirlsTz @FCSTZ @bajabiri @WomenFund_TZ @winharder_ @Elsalinah31 Mzazi na mtoto mwenyewe #SemaNae
Wenzetu "KUBAKANA KUNA MAZOEA"
Kuna jamii zimekongolokewa maadili mpaka taasisi zao nazo zimekosa WELEDI.
Na ndio maana Zanzibar UKATILI WA KIJINSIA ni fupa gumu.
Mnabakana mpaka Mahakama inawapa Go ahead ⚫
#ZuiaUkatili
#SemaNae
ZANZIBAR: MAHAKAMA YAMWACHIA HURU ALIYEMBAKA MWANAE, KISA BINTI KAZOEA KUINGILIWA
> Mahakama ya Wete imemuachia huru Salim Khamis Ali (43) aliyembaka binti wa miaka chini ya 13 kwa ushahidi wa vipimo kuwa binti huyo alizoea kuingiliwa
Soma https://t.co/QnpYMZdejp
#ChildRights

Elimu ya afya ya uzazi ni msingi wa binti kujiepusha na tabia hatarishi zinazoweza kumpa ujauzito au maambukizi ya magonjwa ya kingono.
Tuwaelimishe mapema, acha usiri.
#HakiZaBinti
Tunasahau sana kuwa hata wasichana wa vijijini wanaoelekezwa haki zao leo, ndio kesho watakuwa vijana wa kike imara na watakaotambua wajibu na haki zao kwa ustawi wa vijijini na mjini.
#SemaNae
#SikuYaVijanaYaKimataifa @RuralGirlsTz #IYD2020
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers









