Top Tweets for #SimbaWeek
Tunawasikiaโฆ
Tunawaonaโฆ
๐๐ฎ๐ง๐๐ฐ๐๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ก๐๐ญ๐ฎ๐โฆ
Tunawasubiri!
๐ ๐๐ ๐๐ ๐จ๐ฌ๐ญ๐ข ๐๐๐๐
#thepridereturnshome
#nguvumoja
#visitngorongoro
#simbaweek
#karibunyumbani


SIMBA WEEK 2024: Mashabiki wa Simba SC, tawi la Wekundu wa Vikawe, wametoa msaada katika kituo cha watoto yatima cha Madina, kilichopo Vikawe mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za #SimbaWeek ambayo kilele chake ni Agosti 3, katika dimba la Benjamini Mkapa.
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#SimbaSC #Simba
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaongoza mashabiki na wanachama wa timu hiyo katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za #SimbaWeek ambayo kilele chake ni Agosti 3, 2024.
Ahmed amechangia damu katika kituo cha Karume huku wanasimba wengine wakichangia katika kituo cha Kariakoo Jengo la zamani na Buguruni ofisi ya Mtendaji wa kata
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#UbayaUbwela #SimbaWeek #SimbaDay


SIMBA DAY YANOGA: Tazama โmzukaโ wa mashabiki wa Simba SC, tawi la Kihesa mkoani Iringa walivyoianza safari yao kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la #SimbaDay hapo kesho.
Tamasha lote la #SimbaDay litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnyamaMwingi
SIMBA WEEK: โItakuwa fursa nzuri kwangu kukutana na mashabikiโ maneno ya beki wa Simba SC, Che Fondoh Malone akizungumzia Tamasha la #SimbaDay ambalo litafanyika kesho katika dimba la Benjamin Mkapa.
Tamasha lote la #SimbaDay litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnyamaMwingi
SIMBA WEEK: โNi fursa nzuri kuonesha uwezo wetuโ maneno ya kocha wa Simba SC, Roberto Oliviera โRobertinhoโ akizungimzia mechi yao ya kesho ya kirafiki dhidi ya Power Dynamos.
Tamasha lote la #SimbaDay litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnyamaMwingi
SIMBA WEEK: Msikie Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akitangaza burudani zitakazotawala kesho kwenye Tamasha la #SimbaDay huku mgeni rasmi akiwa ni Rais Samia Suluhu Hassan
Tamasha lote litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnyamaMiwngi
SIMBA WEEK: โMageti yatafunguliwa kuanzia saa 2:00โ maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumzia mambo yatakavyokuwa katika dimba la Benjamin Mkapa kesho kwenye Tamasha la #SimbaDay
Tamasha lote litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnyamaMiwngi
SHABIKI WA SIMBA, YANGA: Tazama vita hii ya maneno kati ya mashabiki hawa waili wa Simba SC na Yanga SC kutoka Mabibo Dar es Salaam.
Nani katisha zaidi
Tamasha lote la #SimbaDay litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnymaMiwngi #ShabikiSimba #ShabikiYanga
SIMBA DAY: Yasikie majukumu ya kundi la mashabiki wa Simba VIP โAโ ambao leo walikuja โmjengoniโ #AzamTV kutamba kuelekea Tamasha la #SimbaDay hapo Agosti 06, 2023
Tamasha lote litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnymaMiwngi #RaisSamia #MgeniRasmi
SIMBA DAY: Tazama mashabiki wa Simba SC โwalivyoliamshaโ ndani ya studio za Azam TV ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za #SimbaDay itakayofanyika Agosti 06, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa.
Tamasha lote litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnymaMiwngi #RaisSamia #MgeniRasmi
Rais samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi kwenye Tamasha la #SimbaDay litakalofanyika Jumapili Agosti 06, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa.
Tamasha lote litakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnymaMiwngi #RaisSamia #MgeniRasmi

SIMBA DAY: โWanasimba watapata raha ambayo haijawahi kutokeaโ maneno ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah โTry Againโ
Kilele cha #SimbaWeek ni Agosti 06, 2023 ambapo siku hiyo inafahamika kwa #SimbaDay na uhondo ni Benjamin Mkapa.
Tutakuwa LIVE #AzamSports1HD
#SimbaDay #SimbaWeek #UnymaMiwngi
@CAFCLCC @ASECMimosas CAF knows how to fly with the wind โณโณโณโณโณโณ ๐๐๐๐๐ #SimbaWeek #SimbaDay2023 #SimbaDay #SimbaWeek2023


Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY.
Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi za #SimbaDay2023 #SimbaDay #UnyamaMwingi #NguvuMoja

Last Seen Hashtags on Sotwe
ama2000
Seen from South Africa
omegle
Seen from United States
momson
Seen from Brazil
whishtender
Seen from United States
xlii() or nolimit() or momson() or somno()
Seen from Belgium
intercruralsex
Seen from India
japanporn
Seen from Thailand
nsfwtwt
Seen from Brazil
omegle or #nolimit() +filter:native_video
Parthiban_Desingu
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers














