Top Tweets for #Simulizi
#Simulizi is Swahili for legend, and this beautiful #holidayvilla is well deserving of its name! @SimuliziVillas is designed for the ultimate luxury experience that doesn’t get in the way of your comfort.
#luxuryvillas #holidayvillas #luxuryvacationrentals #luxuryholidayvillas

Your Narrative,
"Every story begins with a spark. ✨ Welcome to Nuru Narratives, a space where creativity, stories, and inspiration come to life. Let’s embark on this journey together!"
#nurunarrative #nurunarratives #tanzaniastories #simulizi #writingcommunity #writerscommunity

Fuatilia zaidi muendelezo wa #simulizi katika YouTube channel ya wananchi tv.
https://t.co/f6zQYxH3Py
#Simulizi : Maisha ya Maswahaba na Sheikh Jamaludin Osman, Sehemu ya pili.
#Simulizi : Maisha ya Maswahaba na Sheikh Jamaludin Osman, Sehemu ya kwanza.
Ungananasi kesho (Sunday/jumapili) baada ya swala ya Asir @jamia_mosque Nairobi kwa Sehemu ya pili.
It's been a minute since we've shared our story here.. 📖 Are you ready for the next chapter and the exciting steps ahead?
Imepita muda kidogo tangu tuliposhiriki hadithi yetu hapa.. 📖 Je, uko tayari kwa hatua inayofuata na simulizi za kusisimua?
#myhadithi #simulizi #Tanzania

(𝐈𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐍𝐚 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐛 𝐃𝐨𝐦𝐢𝐧𝐢𝐜𝐤)
#SIMULIZI “…Nilikiona kifo kabisa, lakini ukuu wa Mungu unabaki kuwa ukuu wake. Hayo maporomoko yalipita nyuma ya nyumba yangu nikiyaona nikiwa na wanangu lakini huwezi amini nilipata ujasiri wa kuwaongoza.”
Ni manusura wa maporomoko ya tope, mawe na magogo kutoka Mlima Hanang, mkoani Manyara na kuua watu 89, kujeruhi 116, Paula Neema, akisimulia kilichotokea siku hiyo akiwa na watoto wake 11 ndani ya nyumba.
Anasema anaona ni kama ndoto yeye na familia yake ya watoto hao kuwa wazima hadi sasa. /https://t.co/8hGcmRpKzA

Kwenye tamthilia hii ya my happy ime endelea kutimua vumbe kule utube kwenye utube channel yangu y Fivi (link kw bio) ambapo tume ona Dam akipata nafasi nyingine tena ya kuonana na mwanamke ambaye ametikea kufanana Sana na mpezi wake aliye potezana nae! Je nn kimejir..?
#simulizi

Leo tuta endelea na simulizi yetu ya 'THE JANES' kama wewe ni mpenzi wa simulizi basi hapa ndio nyumbani..!
Fivi
#tamthilia #simulizi
Uzuri na mvuto alionao Fetty unamfanya Jacob kuduaa na sasa macho yake yamekutana na macho ya Fetty. Sikiliza sehemu hii ya pili ya simulizi tamu sana ya Misukosuko kitandani.
#simulizi
Kila mtu katika maisha ana ndoto yake ambayo anaipigania ili kufanikiwa. Kutana na kijana Dickson akipambana ili kutimiza ndoto yake. Wewe ndoto yako kubwa kimaisha ni ipi? Sikiliza simulizi na kisha tuambie ndoto yako.
#simulizi #storytime #swahili #Africa
#Simulizi ya binti Betty Marwa aliyepata ufaulu wa Daraja la Kwanza kwenye mitihani yake ya kidato cha nne ambaye kwa sasa anauza matunda mitaa ya Segerea.
https://t.co/kKVquWhtru
Asubuhi ni kimya, asubuhi ni shwari, asubuhi ni nzuri, lakini asubuhi haijakamilika bila kukutakia siku njema mdau wetu wa SIKIA.
#sikiaapp #simulizi #storytelling #stories #Africa
#Simulizi: Nilikubali kuolewa Ili kuokoa familia yangu
Naitwa Rose, nina umri wa miaka 28. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto watano.
Bofya 👇 kusoma zaidi.
https://t.co/0CszZ7yEMh

#Simulizi: Talaka ilivyonigeuza Kahaba
Miaka mitano iliyopita nilitalakiana na aliyekuwa mume wangu.
Nilichoka tabia yake ya kubadilisha wanawake. Haikuchukua muda mrefu, akaoa mke mwingine na kuniacha na jukumu la kulea watoto.
Bofya 👇 kusoma zaidi
https://t.co/MhZrlvxUWJ

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat video,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Seen from United States
nudetease
Seen from Thailand
NSFW
Seen from Malaysia
腹パンチ
Seen from Singapore
媚黑
Seen from United States
model magazine
Seen from United States
minichat()*+filter:native_video
Seen from United States
leakyantenna
Seen from United States
minichat
Seen from Argentina
teenageee
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers














