Top Tweets for #Sinoni
ARUSHA: Diwani wa Kata ya #Sinoni, Michael Kivuyo amesema Wananchi wakishirikiana na Kikosi cha Uokozi wanashiriki zoezi la kutafuta Wanafunzi 7 ambao hawajulikani walipo baada ya Gari la Shule ya Ghati Memorial kuanguka kwenye korongo, Asubuhi ya leo Aprili 12, 2024
Amesema “Waliokuwa kwenye gari ni Wanafunzi 11, Dereva na Matroni. Wanafunzi Watatu, Dereva na Matroni wameokolewa, mwili mmoja umepatikana, Wananchi wameingia mtoni, wengine wamepewa usafiri kufuata uelekeo wa mto ili kuwatafuta ambao hawajapatikana.”
Inadaiwa Dereva wa ‘School Bus’ alipofika eneo la tukio alionywa na Bodaboda kutopita wakimsisitiza kuwa kasi ya maji ni kubwa, akalazimisha kupita akiwaambia alipita hapo awali kabla ya kuwabeba Wanafunzi. Baada ya ajali na dereva kuokolewa, Bodaboda hao wakaanza kumshambulia kwa kumpiga, akaokolewa na Wasamaria wema
Soma https://t.co/IPMcLrcqT0
#JFMatukio #JamiiForums

#ARUSHA: Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Kata ya #Themi anadai wakazi wa maeneo hayo na Kata za jirani wamekuwa wakiomba kujengewa Daraja bila mafanikio katika #MtoThemi ili kurahisisha mawasiliano kati yao na Kata nyingine zikiwemo #Lemara na #Sinoni
Mdau huyo wa https://t.co/dDd21Ugmlv anadai tangu kuharibika kwa Daraja lililokuwepo, mazingira yamekuwa si salama hasa wakati wa mvua, ambapo maji yanakuwa mengi na hivyo Wananchi kupata wakati mgumu kuvuka
Anaomba mamlaka kuwasaidia kujenga Daraja akidai baadhi ya Vijana wanaoweka Daraja la muda wanawatoza Wananchi Tsh. 200 kuvuka
Soma https://t.co/H73hIGiscZ
#JFHuduma #JFUwajibikaji #Governance #JamiiForums
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lemara na Shule ya Msingi Lemara ziliozopo Halmashauri ya Jiji la #Arusha wakivuka Mto Themi, Aprili 21, 2023
Eneo hilo ni sehemu ya Mto unaotenganisha Kata ya #Sinoni, #Themi na #Lemara, hakuna daraja tangu lililokuwepo awali kusombwa na maji zaidi ya miaka mitano iliyopita
Soma https://t.co/qoPwjXSDfX
#JFUwajibikaji23 #JFHuduma
#Kitaani #sinoni #darajambili #hood #sijutii #MOSHI EASTER BASH #KILIHOME #itsgoindowntonight… https://t.co/uiwz69UUZB
hi baby Gab!! hihi why so cutieeee? 🙈😭💙 #Sinoni

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers








