Top Tweets for #TATHMINI
#TATHMINI: Jopo la Wataalam na Watendaji kutoka taasisi za udhibiti @NERSA_ZA @EPRA_Ke @ERA_Uganda @PURC_Ghana @ecbnam wanatathmini utendaji wa @EwuraTanzania
kwa kuangazia masuala ya utawala wa sheria, nyenzo za udhibiti na athari zake kwenye huduma ya #umeme nchini. Tathmini hiyo iliyoanza Septemba 9, 2024 inaratibiawa na Chuo Kikuu cha Masuala ya biashara cha Afrika Kusini ikilenga kuendelea kuimarisha huduma ya umeme kwa nchi husika.
#udhibiti #nyenzozaudhibiti @umeme @6thpeerreview2024

#TATHMINI
Mtu mwenye udhaifu nyoyoni na rohoni ni yule ambaye hutumia nafasi aliyojaaliwa kuwaumiza (kwa kuwahangaisha, kuwatesa, kuwasema nk) wenzake. Kinyume chake ni mtu mwema ambaye hufanya kila awezalo kuwa na manufaa kwa wenzake
Jifanyie tathmini ulipo

Nime #Tathmini,nikagundua Game ya leo ni ya Machozi,Jasho na damu kama Album ya @ProfessorJayTz
Derby ya Leo #YatakaMoyo kuitazama. Mwenye moyo mdogo,subiria uambiwe #Pigamakofi ndani ya #BongoDaresalaam baada ya team Yako kufanya vizuri!!๐#Jinalangu ni @Miss_msimbazi ๐ฆ

@jemedarisaid Taaluma yako kuhusu mpira inatakiwa kuishia vijiweni sio huku mitandaoni au kwenye media.
Kama unapingana na kweli kiasi hiki inatakiwa uji #Tathmini

ALiVE imejikita katika mahiri 4:
Kujitambua
Ushirikiano
Utatuzi wa tatizo na
Heshima
#Tathmini ya stadi za maisha
Wataalamu wa ndani 47 kutoka Kenya, Uganda na Tanzania walishiriki katika kutengeneza zana za upimaji
#AssessmentofLifeSkills
#StadiZaMaishaKwaVijana
#AliveTz

Tathmini ya stadi za maisha na tunu kwa Afrika Mashariki @alive_programme ni mradi wa miaka 3 kutoka Mtandao wa elimu wa kikanda(RELI) #Tathmini ya stadi za maisha, unaowalenga vijana wa miaka 13-17 waliopo mashuleni.
#AssessmentofLifeSkills
#StadiZaMaishaKwaVijana
#AliveTz

ALiVE imejikita katika mahiri 4
Kujitambua
Ushirikiano
Utatuzi wa tatizo na
Heshima
#Tathmini ya stadi za maisha
Wataalamu wa ndani 47 kutoka Kenya, Uganda na Tanzania walishiriki katika kutengeneza zana za upimaji
#AssessmentofLifeSkills
#StadiZaMaishaKwaVijana
#AliveTz

ALiVE ni mradi wa miaka 3 kutoka Mtandao wa elimu wa kikanda(RELI) #Tathmini ya stadi za maishaย
Mradi wa ALiVE , umewalenga vijana miaka 13-17 wanaliopo skuli na walio nje ya skuliย kwaย Kenya, Uganda na Tanzania.
#AssessmentofLifeSkills
#StadiZaMaishaKwaVijana
#AliveTz

Rais wa Marekani azuru California kutathmini uharibifu uliyosababishwa na vimbunga vya hivi karibuni na kuahidi msaada wa serikali.
#rais #marekani #joebiden #haliyahewa #mabadilikoyahaliyahewa #california #uharibifu #vimbunga #tathmini #vimbunga #nishatisafi
Muharram 1 Mwaka 1444, Nini tunatakiwa kufanya ndani ya mwaka mpya wa kiislamu?
@sheikh_shams_elmi @tvimaantz
_
#muharram1444 #muharram #tathmini #mwezimtukufu #hijiria #1444h #mwakawakwanza #hijra #uislamu #historia #imaanmedia #islamicftz
Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametembelea mji wa Kibumba ulioko kaskazini mwa mji wa Goma kutathmini hali ya vita.
#MkuuwaJeshi #DRC #Congo #Kibumba #Goma #Tathmini #vita #voa #voaswahili #dunianileo
https://t.co/MJS9SfsP3f
#mawaziriwafedha #G7 #tathmini #atharizavita #uvamiziwarussia
#voa #voaswahili
https://t.co/GkxEIuRaE8
#Rais #JoeBiden #Tathmini #Kibinadamu #Poland #wanajeshi #Marekani #voa #voaswahili
@CarlosNoriega88 @LugomboMaKaNTa Nafurahi kuona emcees ni wengi kama utitiri
Kinachoniudhi wengi wana-rap bila kutumia akili
Rap ya Bongo imegawanyika makundi mawili
Na kuna ma-emcee kamili na emcee waliobatili
Emcee mwenye hekima anafikiri kabla ya ku-rap
Na emcee mpumbavu ana-rap apate nyapu
#tathmini
Ujumbe wa makamanda wanajeshi kutoka nchi za Kusini mwa Afrika SADC uko DRC kutathmini hali ya Kiusalama na kufahamu namna ya jeshi la Umoja wa Mataifa Munesco linavyofanya kazi zake.
#Ujumbe #Makamanda #SADC #DRC #Tathmini #Usalama #voa #voaswahili
Nafurahi kuona emcees ni wengi kama utitiri
Kinachoniudhi wengi wana-rap bila kutumia akili
Rap ya Bongo imegawanyika makundi mawili
Na kuna ma-emcee kamili na emcee waliobatili
Emcee mwenye hekima anafikiri kabla ya ku-rap
Na emcee mpumbavu ana-rap apate nyapu
#tathmini
Hiphop /Rap ya bongo miaka kadhaa ijayo sidhani kama itakuwepo kwenye mikono salama, kama Rappers/Mcs wenyewe tunaowategemea wanashindana uzuri.
....siku ya wateja juzi na wiki hii yote inapasa kuwa na milango waazi kwa watumia huduma au wapiga KURA ....waulize masali watoe malalamiko au sifa #TATHMINI huu ndio mwongozo wa TATHMINI sio kulalama kila siku tunapotaka tume huru ya UCHAGUZI zianzie vyamani chaguzi za ndani
@ellybanyambala @LorenzoRothgold @freemanmbowetz @judiciarytz @bunge_tz @TZMsemajiMkuu Bahati mbaya @bunge_tz Ambayo ilipaswa ndiyo silaha ya kusaidia ku shape mambo kitaifa limekuwa as an items in the pocket of someone @judiciarytz too is somehow virused. That's why can't be free to meet it's responsibilities. #KatibaMpya is the only way that can help to reform us
Licha ya sekta ya uvuvi kuajiri watu wengi tathmini yaonyesha kuwa uvuvi wa dagaa na jamii yake kutokuwa na mchango unaostahili Tanzania.
#Tanzania #Uvuvi #Sekta #tathmini #dagaa #uchumi #voa #voaswahili #dunianileo
Last Seen Hashtags on Sotwe
rodrigoloya
Seen from Mexico
ุงุญูุง_ูุงู
ุณ
Seen from United States
kiranoir
selena nsfw
Seen from Turkey
karacarsaf
Seen from Turkey
เธซเธตเธเธฑเธเนเธฃเธตเธขเธ
Seen from Thailand
เธเธงเธเธเธฑเธเธเธฒเธเธต
Seen from Thailand
UneXpected
Seen from United States
coveo
Seen from United States
่่
Seen from Japan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers




















