Top Tweets for #TenderTraining
e-GP জ্ঞান শুধু টেন্ডারে অংশগ্রহণের জন্য নয়, এটি আপনার পেশাগত দক্ষতাও বাড়ায়।
আজই শেখা শুরু করুন।
বিস্তারিত: 📞 01784-111555
#BDTender #egptraining #tendertraining #governmenttender #skilldevelopment

Kwenye #TenderTraining itakayo fanyika Mwanza kuanzia Tar 3 - 5 Jan 2024.
Moja ya vitu nitakavyo elekeza ni namna gani kampuni mpya zinaweza kusecure contracts kwenye mchakato wa Tender.
For reservation ☎️: 0687261920
Fee : 350,000/= per person
All the best.
#TenderBank

Baada ya #TenderTraining 2023 kufanyika Dar Es Salaam na Zanzibar (kushirikiana na @zanziholics).
Next training itakuwa Lake zone (Mwanza) kuanzia Tar 3- 5 Jan 2024 ambapo tutajifunza kuhusu mchakato wa Tender kwa ujumla.
Fee: 350,000/= per person.
☎️: 0687261920
#TenderBank

Last week nilikuwa na 3 days #TenderTraining kwa baadhi ya kampuni Zanzibar.
Nawashukuru @zanziholics chini ya my brother @daktarimtalii kwa ukarimu na ushirikiano wao hakika it was a great experience at Fumba Town.
Mungu awabariki,Ahsante sana 🙏.
#TenderBank
Happy moments at Fumba Town while carrying on with 3 days #TenderTraining am humbled and honoured brother kuwa hapa 🙏. #TenderBank x @zanziholics

Penye nia kuna njia always usiache kumtumainia Mungu hakika yeye ni muweza wa yote.
📍Zanzibar, 3 days (29 - 1 Dec) #TenderTraining ikawe salama na amani Ameen 🙏.
Cc: @zanziholics @daktarimtalii
#TenderBank.
Namshukuru Mungu siku ya jana ilikuwa my last #TenderTraining session.
Ahsante kwa washiriki wote na nawaombea muendelezo mwema wa yote tuliyojifunza.
Lastly Special thanks to My Team for their hardwork and commitment kwani mwenyewe nisingeweza.
Nawapenda sana 💜.
#TenderBank
#TenderTraining Day 4
Ikiwa ni session ya mwisho kwa mwaka 2023 Dar Es Salaam jana tulijifunza;
1.NEST Procurement Portal (kuanzia Registration- Submission).
2.Offline Physical proposals (Preparation and Arrangements)
3.Proposal Auditing before Submission.
#TenderBank
#TenderTraining Day 3
Ikiwa ni siku ya 3,jana tulikuwa na discussions mbalimbali including how kampuni changa zinaweza kufanikiwa kwenye mchakato wa Tender.
Pia tuliangalia kuhusu;
1.UN-Portals (UNGM)
2.Quality Assurance and assessment ya proposal.
#TenderBank
#TenderTraining Day 2
Ikiwa ni siku ya pili ya training leo tumejifunza kuhusu,
1.Bid-Evaluation
2.Bid-Preparation Overview
3.Group-Discussion on index Preparation.
Thanks giving to the Almighty 🙏 #TenderBank
#TenderTraining Day 1
Siku ya jana nilianza Training yangu ya mwisho kwa Dar Es Salaam (2023) tukijifunza kuhusu.
1.Tender Terminologies
2.Bid-identification (both public and private Tenders)
3. Over-view ya Procurement Portals.
#TenderBank
Yesterday was my last #TenderTraining session namshukuru Mungu kwa kufanikisha.
Nawashukuru washiriki wote na kuwaombea muendelezo mwema wa yote tuliyo jifunza.
Lastly Special thanks to My Team for their commitment na bila wao mwenyewe nisingeweza.
Nawapenda sana.
#TenderBank
Special thanks to all #TenderTraining Participants kwa kushiriki katika mafunzo yetu for 4 days.
Mmetupa fursa ya kujifunza pamoja tunathamini sana ushiriki wenu.
Pia kutakuwa na free Consultation kuhusu Tendering kwenu for 30 days.
Congratulations 👏🎊🎊 #TenderBank

#TenderTraining Day 4 session.
Hands on Practice on UNGM and UNQUANTUM Portals.
1.Introduction & Navigating UN-Portals
2.Bid-Search,Access,Assessment, respond and Bid Submissions
3.Other Portals
4.Recap to Previuos sessions.
Thanks Lord 🙏 #TenderBank
#TenderTraining Day 3 session.
Hands-on Nest Procurement Portal.
1.Introduction & Navigating Nest Portal.
2.Guided Practice on using the Nest Portal.
3.Creating and managing company Profile.
4. Bid Search,Access,respond and Submission.
Thanks Lord 🙏 #TenderBank
#TenderTraining Day 2 session.
Bid-Preparation Group Discussion
1.Gathering Essential bid information
2.Preparation of technical content
3.Quality Control and review process
Thanks Lord 🙏 #TenderBank

#TenderTraining Day 1 session.
1.Introduction to Tender.
2.Bid-Management
3.Bid-Assessment.
Thanks Lord 🙏 #TenderBank
சேலம் மாவட்டத்தில் உங்கள்
பகுதியில் நடைபெறும் அரசாங்க டெண்டர்
பணிகள் குறித்து தெரிந்து கொள்ள இன்று
மாலை நடைபெறும் அறப்போர் இயக்கத்தின்
இலவச பயிற்சியில் கலந்து கொள்ளுங்கள்.
Map - https://t.co/YY5JoqDlaV
#Arappor #TenderTraining #Salem

அரசாங்க டெண்டர்களை எல்லாம் மக்களே படித்து தெரிந்து கொண்டால் ஏமாற்றுவது எப்படி? கமிஷன் கொடுப்பது எப்படி? ஊழல் ஒப்பந்ததாரர்கள் குழப்பம்.
#Arappor #TenderTraining #Salem #Jan29 #5Pm #Call7200020099
https://t.co/x8FlV6R3f5

உங்கள் பகுதியில் போடப்படும் அரசாங்க டெண்டர்களை அறப்போர் இணையதளம்
https://t.co/x8FlV6R3f5 மூலம் கண்டறிவது எப்படி? டெண்டர்களை படித்து வேலைகளை கண்காணிப்பது எப்படி?
வாங்க கற்றுக் கொள்வோம்.
#Arappor #salem #TenderTraining

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers























