Top Tweets for #TillahUpdates
Jana kwenye Bongo Fleva Honors nilimuuliza Lord Eyes ikitokea Sugu akimpa platform hio rapa Wakazi Je, atakuja ku-show love kwa rapa mwenzie na haya ndio yalikuwa majibu yake.
#TillahUpdates
Ile mi-verse ambayo Vanillah anaweza kuichora kumbe maarifa ya @dizastavina yanahusika sana 🙌
#MaishaRemix #TillahUpdates
Never Mind ya @VanillahMusic_ tunaruka nayo live leo Maishani, Tune In 100.5Mhz
#MaishaRemix #TillahUpdates

Wakati bongo Harmonize akidai kuwa inawezekana Mungu ni mwanamke, Kanye West anaibuka na kusema yeye ni Mungu
#TillahUpdates
HARMONIZE: MUNGU NI MWANAMKE
"Imenichukua miaka 40 kugundua kwamba pengine Mungu ni mwanamke kwa asilimia kubwa..." ~ Harmonize
#TillahUpdates

NIKIM-DM MSANII WA MAREKANI HACHOMOI
"Page yangu ya Instagram sasa hivi nimeweka kimkakati sana yani 'nikim-DM'
"Hey it's Diamond Platnumz" msanii wa Marekani hachomoi" ~ Diamond Platnumz
#TillahUpdates

Diamond anasema amezikataa show nyingi za Nigeria kwa sababu hawakidhi vigezo vyake.
"Unataka nije kwenye show yako niandalie private jet hutaki pita hivi siji kwenye show yako"
#TillahUpdates

"Brother TID ni Legend kabisa ambaye sisi wengi tunamheshimu lakini Dunia ya sasa hivi ni tofauti na zamani mambo yamebadilika.." ~ Stamina
#MaishaRemix #TillahUpdates
Ulikuwa unajua kirefu Cha CAG au sio shida zako? 😁
Full Video: https://t.co/FwUVwDOv03
Msisahau ku-subscribe ndugu zangu 🙏🏾
#5Kuntu #TillahUpdates

Album iliyokua na wimbo wa starehe ilipangwa kuzinduliwa katika miji mitatu tofauti ikianza Dar Es Salaam na hiyo mingine miwili. Je unataka kujua miji hiyo ambayo mmoja upo Tanzania na mwingine nje ya nchi? Endelea kunywa mtori nyama zipo chini…..Itaendelea!
#TillahUpdates
"Marehemu Ruge alikuwa na uwezo wa kumiliki simu ya Milioni tatu lakini simu yake ilikuwa ni ya laki mbili tu" - Amini
#TillahUpdates

Tx Dullah ametoa sababu za kwanini ukilewa usichati 😅
Full Interview | https://t.co/0yFLN3ZpAf
#50miles #TillahUpdates
Tuko live na @Conboicannabino leo ndani ya Maisha Remix, Tune In 100.5 Mhz 🔥
#TillahUpdates #MaishaRemix


Pengine hii haujui, ukiachana na kulinganishwa na kufananishwa sana sauti na Baraka The Prince, @VanillahMusic_ amefunguka kuwa yeye na Baraka ni wana na wanaongea vizuri sana.
#TillahUpdates #MaishaRemix
Akipiga stori na Maisha Remix @VanillahMusic_ ametusanua kuwa alivyopeleka idea ya kuvaa shela kwenye wimbo wa “Lala” alioshirikishwa na B2k, boss wake @OfficialAliKiba alimwambia ajiandae kutukanwa matusi ya kila aina.
#TillahUpdates #MaishaRemix
Akizungumza na Times Digital moja ya waandamanaji aliyefahamika kama Dominick Mkolele amefunguka kuwa lengo la @ChademaTz ni kuwapigania na kuwasemea wananchi hasa wa kipato cha chini.
#TillahUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
mgai() +filter:native_video since:2026-09-14
Seen from United States
furryartnsfw
Seen from United States
hijo mom
Seen from Chile
男の娘
Seen from Japan
minichatt(())********** ************** *********** ************************ filter:videos
Seen from Oman
PregnantCuck
Seen from Guatemala
取精
Seen from Brazil
dolsiana
Seen from Algeria
manggolive
Seen from United States
incesto filter:videos
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers

