Top Tweets for #MaishaRemix
Okay! S2kizzy anasema yeye ni GOAT
wakati Abbah Process anasema yeye ndo Hit Maker
#MaishaRemix inakuja na S2kizzy Versus Abbah Process Top Hit Song.
Nisaidie kuandika hapo chini Top Hit za S2kizzy na Abbah!
Let’s goooo!

Ile mi-verse ambayo Vanillah anaweza kuichora kumbe maarifa ya @dizastavina yanahusika sana 🙌
#MaishaRemix #TillahUpdates
Never Mind ya @VanillahMusic_ tunaruka nayo live leo Maishani, Tune In 100.5Mhz
#MaishaRemix #TillahUpdates

If you are not supporting your girls then what are you doing?
@eddaafrica ndani ya Maisha Remix! 🔥
#MaishaRemix #TimesDigital

"Brother TID ni Legend kabisa ambaye sisi wengi tunamheshimu lakini Dunia ya sasa hivi ni tofauti na zamani mambo yamebadilika.." ~ Stamina
#MaishaRemix #TillahUpdates

Tuko live na @Conboicannabino leo ndani ya Maisha Remix, Tune In 100.5 Mhz 🔥
#TillahUpdates #MaishaRemix


Pengine hii haujui, ukiachana na kulinganishwa na kufananishwa sana sauti na Baraka The Prince, @VanillahMusic_ amefunguka kuwa yeye na Baraka ni wana na wanaongea vizuri sana.
#TillahUpdates #MaishaRemix
Akipiga stori na Maisha Remix @VanillahMusic_ ametusanua kuwa alivyopeleka idea ya kuvaa shela kwenye wimbo wa “Lala” alioshirikishwa na B2k, boss wake @OfficialAliKiba alimwambia ajiandae kutukanwa matusi ya kila aina.
#TillahUpdates #MaishaRemix

Wanaume mkipigwa na wanawake zenu au mkionewa mnaruhusiwa kulia na kusema kwa watu wala msione aibu. 😀
#TillahUpdates #MaishaRemix
Tuko live na Mc Pilipili muda huu ndani ya Maisha Remix, Tune In 100.5 Mhz 🔥
#MaishaRemix #TillahUpdates

“Chidi Benz ni moja kati ya watu wenye roho nzuri sana kwenye jamii” ~ @Wakazi
#MaishaRemix #TillahUpdates
“Halafu hit song zina level pia, huwezi kumwambia mtu hana hit song kwani yeye (@Roma_Mkatoliki )ana wimbo wowote unaofikia ‘Nobody’ ya @darassa_cmg au ‘Maisha na Muziki’ au ana wimbo unaofikia ‘Yahya’ ya @JideJaydee ?”
Amehoji rapa @Wakazi
#MaishaRemix #TillahUpdates
Rapa @Wakazi amefunguka kuwa wasanii wengi wa bongo hawana nidhamu tofauti na wasanii wa Nigeria, Wakazi ametolea mfano wa wasanii wengi kudharau na kuwavimbia ma-legend kama Juma Nature eti tu kwa sababu wana hit song.
#MaishaRemix #TillahUpdates
Tuko Live na @Wakazi mudaa huu ndani ya Maisha Remix.
Tune In 100.5 Mhz 🔥
#MaishaRemix #TillahUpdates

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers




