Top Tweets for #TransFatAcid
Jumatatu nyingine ya kukumbushana kusoma lebo za vyakula kabla ya kununua!
Kujua taarifa za lishe itakusaidia kufanya maamuzi bora kwa afya yako na kuepuka madhara ya #TransFatAcid.
🔹 Kumbuka: Kiwango salama cha #TransFat hakipaswi kuzidi 2% ya chakula unachotumia kila siku.
Linda moyo wako Kwa kuchagua chakula bora na salama.
@jumuiya #RegulateNOW @TawlaTZ
#TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC

Matumizi ya #TransFatAcid hupelekea hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi na kusababisha vifo vingi ulimwenguni.
Sera ya kudhibiti matumizi yake viwandani ni muhimu ili kulinda afya ya mamilioni.
@TawlaTZ
#TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC
#ElimikaWikiendi

Magonjwa ya moyo ni sehemu ya magonjwa yasiyoambikizwa yakichangiwa na ulaji bwete, kula vyakula vyeme #TransFatAcid
Jitahidi kupima afya na kufanya mazoezi ili kujilinda
#TransFatFreeTz
#TransFatFreeEAC

Ukienda kufanya shopping ya chakula cha kusindikwa jitahidi kusoma kibandiko kujua virutubishi vilivyomo ili kutambua kiasi cha #TransFatAcid kama kipo sawa kwa usalama wa mwili wako
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Mambo ni matatu hapa
1. Kupitisha sheria na sera zitakazodhibiti kiwango cha #transfatacid kwenye bidhaa za vyakula.
2. Elimu Kwa watumiaji wa Bidhaa hizi za kusikindwa.
3. Mazoezi, ikiwemo sera nzuri ya maeneo ya kufanyia mazoezi hususani hapa mjini sio tunakimbilia barabarani
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
@sonnino123 @bajabiri @ALugandu @amusmartz @bonifacejoseph_ @franklin_tissa @fumbokhanJr @Gaspinho15 @Ireneigora @kalage_jr @kapeto98 Je, unashauri tufanye nini ili kuboresha hali ya afya ya jamii ya sasa?
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#TransFatAcid ni hatari kwa afya ya binadamu: huchangia zaidi ya vifo 500,000 kila mwaka duniani! 🌍
Ni wakati sasa kwa watunga sera kuhakikisha tunaweka kanuni madhubuti za kupiga marufuku mafuta haya hatari kwenye vyakula tunavyokula kila siku.
- Kuboresha sera za chakula ni hatua muhimu katika kupunguza magonjwa ya moyo na kiharusi
- Tufuate miongozo ya @WHO (REPLACE package); mafuta haya yanaweza kuondolewa kabisa kwenye bidhaa
- Tuchukue hatua sasa kulinda afya za Watanzania!
@IncubatorGHAI @IILAinfo @KELINKenya @tancda
@CefrohtUg @unhco @GlobalWaveDigtl
#AfyaBoraKwaWote
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#TAWLAat35
#HakiHainaJinsia

Matumizi ya Trans Fat huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo na kisukari. Epuka vyakula vilivyo na #TransFatAcid na uchague mafuta yenye afya kama vile karanga, parachichi na samaki ili kulinda afya yako na uwapendao. @TawlaTZ
#TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC #ElimikaWikiendi

Mafuta yanayozalishwa viwandani (#TransFatAcid) yanaweza kuondolewa/kubadilishwa na mafuta yenye afya bila kubadili gharama ya upatikanaji au ladha ili kulinda afya za walaji dhidi ya magonjwa yasioambukiza (#NCDs)
@TawlaTZ
#TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC

Matumizi ya #TransFatAcid ni hatari kwa afya zetu na imekua chanzo cha vifo vingi Duniani. Tulinde afya zetu kwa kudhibiti matumizi ya trans fat katika mlo wako.
@TawlaTZ
#TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC #ElimikaWikiendi

10. Je Wajua?
Kwa mujibu wa @WHO matumizi ya #TransFatAcid ama mafuta yaliyochakatwa hupelekea vifo 540,000 Kila mwaka Ulimwenguni.
Weekend Hii nawakumbusha kufanya mazoezi na kupunguza vyakula vya mafuta na sukari #TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#ElimikaWikiendi


Vyanzo Vya #TransFatAcid ambavyo hutupelekea kupata magonjwa yasiyoambukizwa ikiwemo magonjwa ya Moyo
¶Vyakula vya kukaanga
¶Mafuta ya Mgando
¶Keki na Biscut
Ni Muda sasa kupata sheria mpya ya kuelekeza na kuzuia kiwango cha Trans Fat KWA walaji
#TransFatFreeTz #TransFatFreeEAC

"Unaweza ukikwepa #TransFatAcid Lakini je Unawezaje kukwepa matumizi ya Sukari? Kwa sasa sukari imekua hatari zaidi hapa Nchini."
~|| Mohamed Janabi - Mkurugenzi mtendaji wa Muhimbili
#TransFatFreeTz #TransFatFreeEAC @TawlaTZ

Upitishwaji wa kanuni zitakazodhibiti kiwango cha #TransFatAcid kwenye bidhaa za vyakula ni njia mojawapo ya kuhakikisha wananchi wanapata kutumia bidhaa za vyakula zilizosalama kwa afya zao.
Tunaiomba @TBS_Tanzania kupitisha kanuni hizi sasa
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

பீட்சா, பர்கரில் உள்ள கொழுப்பு அமிலங்களால் ஆண்டுக்கு 5.4 லட்சம் பேர் இறப்பு!
https://t.co/YuRsLXSG1Z
#transfatacid #pizza #burger #fastfood #health
Tunasihi pia Serikali kupitisha kanuni zinazolenga kupunguza kiwango cha #TransFatAcid kulingana na miongozo ya @WHO.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Tafiti iliyofanywa na @muhimbiliuniver imebainisha kuwa vyakula vingi vya mitaani vina kiwango kikubwa cha #TransFatAcid. Hivyo, tunatoa wito kwa jamii kuepuka matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi ili kulinda afya ya moyo na mishipa ya damu.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu ni tishio kubwa kwa afya ya umma. Tafiti za kisayansi zimebainisha kuwa matumizi ya #TransFatAcid katika vyakula ndio chanzo kikuu cha magonjwa hayo.
Tunahimiza serikali na @jumuiya udhibiti wa #TransFatAcid
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Huu ni mkakati wa kupunguza athari zitokanazo na matumizi makubwa ya #TransFatAcid kwenye bidhaa za vyakula ili kulinda afya za wananchi dhidi ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Katika juhudi za kupunguza ongezeko la magonjwa ya moyo na mishipa ya damu @TawlaTZ imefanya kikao na wabunge wa @jumuiya kujadili umuhimu wa kupitisha sheria inayolenga kuweka kiwango cha #TransFatAcid kwenye bidhaa za vyakula.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#HakiHainaJinsia

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers








