Top Tweets for #TransFatAcids
Kwa Mujibu wa shirika la afya duniani, Zaidi ya vifo 278,000 kila mwaka duniani vinahusishwa na ulaji wa vyakula vyenye #TransFatAcids vinavyozalishwa viwandani.
Mapendekezo ya WHO kwa watu wazima ni kupunguza ulaji au matumizi ya vyakula vyenye kiwango Cha #TrabsFats hadi chini ya asilimia 1 ya jumla ya nishati inayotumika mwilini, ambayo ni chini ya gramu 2.2 kwa siku kwa mtu anayekula chakula cha kalori 2000.
Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular diseases) ndiyo yanayoongoza kwa kusababisha vifo duniani. Sababu kubwa zinazoweza kukusababishia magonjwa hata Moja wapo ni ulaji wa chakula kisicho bora, kutofanya mazoezi ya mwili, matumizi ya tumbaku na matumizi ya pombe.
#TransFatFreeTz #TransFatFreeEAC @TawlaTZ

Tukumbuke kuwa afya ya jamii yetu inategemea maamuzi tunayofanya leo.
- Tuendelee kushinikiza kuwepo kwa alama za lishe kwenye upande wa mbele wa vifungashio (#FOPL)
- Tuunge mkono upitishwaji wa kanuni na sera za kudhibiti #TransFatAcids kwenye bidhaa za vyakula nchini;
- Tuwe walaji makini kwa kuchagua vyakula salama na bora!!
Kwa Pamoja, tunaweza kujenga Taifa imara lenye afya!
@IncubatorGHAI @GlobalWaveDigtl @tancda @KELINKenya @CefrohtUg @wizara_afyatz @heala_SA @unhco @IILAinfo @ncdalliance @HealthyFood_NG
#FOPL
#AfyaBoraNiUamuzi
#TAWLAat35
#HakiHainaJinsia
Mafuta yenye #TransFatAcids yanahatarisha afya kwa kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
Je, unajua kuwa kanuni sahihi za usalama wa chakula zinaweza kusaidia kutokomeza mafuta haya kwenye bidhaa za vyakula?
@IncubatorGHAI
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

- Tuunge mkono upitishwaji wa kanuni na sera za kudhibiti #TransFatAcids kwenye bidhaa za vyakula nchini;
- Tuwe walaji makini kwa kuchagua vyakula salama na bora!
Pamoja, tunaweza kujenga Taifa imara lenye afya!
@IncubatorGHAI @IILAinfo @KELINKenya @tancda @CefrohtUg @unhco @GlobalWaveDigtl @wizara_afyatz @TBS_Tanzania
#WikiYaAfya2025
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
#HakiHainaJinsia

#TransFatAcids? Hapana Asante!
Mafuta yenye #TransFatAcids yanahatarisha afya kwa kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.
Je, unajua kuwa kanuni sahihi za usalama wa chakula zinaweza kusaidia kutokomeza mafuta haya kwenye bidhaa za vyakula?
Tuihamasishe serikali @TBS_Tanzania kupitisha sera kali dhidi ya #TransFatAcids ili kulinda afya ya jamii!
@IncubatorGHAI @wizara_afyatz @ViwandaBiashara @tancda @eancdalliance @IILAinfo @KELINKenya @CefrohtUg
#WikiYaAfya2025
#PingaTransFats
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Elimu kwa Walaji ni Nguvu!
💡 Je, unajua kuwa alama za lishe zinaweza kusaidia kupunguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta hatari kama #TransFatAcids? Tukaze misingi ya afya bora!
@wizara_afyatz @viwandabiashara @tancda @ncdalliance @tbs_viwango @jumuiya @IncubatorGHAI @GlobalWaveDigtl @heala_SA @KELINKenya @CefrohtUg @unhco @IILAinfo
#WikiYaAfya2025
#FOPL
#AfyaNiMtaji
#UsalamaWaChakula
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

"Watu wengi bado hawajui athari zitokanazo na matumizi makubwa ya #TransFatAcids. Na kutokuwepo kwa sheria inayodhibiti kiwango cha Trans Fats kwenye bidhaa za vyakula nchini kunafanya iwe ngumu kwa watu binafsi kuchukua tahadhari husika" - Daktari Lucy Duma - Hospitali ya Frelimo, Iringa.
@IncubatorGHAI @IILAinfo @unhco @KELINKenya
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

#SikuYaMoyoDuniani2024 ilitupa wasaa wa kuikumbusha Serikali kupitia @TBS_Tanzania na Wizara ya Viwanda kupitisha kanuni inayoweka kiwango cha juu cha #TransFatAcids kuwa asilimia 2% kwenye bidhaa zote za mafuta na vyakula, kuwalazimisha watengenezaji wa vyakula kuweka lebo inayoonesha uwepo wa #TransFatAcids kwenye bidhaa za vyakula ili watumiaji wawe na uelewa sahihi.
Kwa taarifa zaidi pitia:
https://t.co/HD6rKyNM4M
#WorldHeartDay2024
#TransFatFreeTZ
Ili kupunguza athari zitokanazo na matumizi makubwa ya #TransFatAcids, tunaisihi serikali kupitia @TBS_Tanzania kutekeleza mapendekezo ya kisera yaliyotolewa na @WHO ili kuchagiza udhibiti wa #TransFatAcids kwenye bidhaa za vyakula nchini.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Unajua kwamba #TransFatAcids zinajulikana kuwa na athari mbaya kwa moyo na mishipa ya damu.
Usichukulie poa ujumbe huu. Ungana nasi kuunga mkono jitihada za @tbs_Tanzania katika kulinda afya za wananchi kwa kuweka kiwango cha #TransFats nchini.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Ni wakati wa kufanya maamuzi sahihi ya kulinda afya za wananchi wenu kwa kupitisha kanuni zitakazodhibiti viwango vya #TransFatAcids kwenye bidhaa za vyakula ili kuwaepusha na athari zake hasa magonjwa yasiyoambukiza kama magonjwa ya moyo.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
The alarming rise in cardiovascular disease & deaths requires immediate action. Dear @WilliamsRuto @KagutaMuseveni @SuluhuSamia take action against this preventable epidemic by enacting a regional regulation on trans fats in the @jumuiya!
.
.
.
#TransFatFreeEAC
#TransFatFreeKenya

Moja ya njia za kuboresha viwango vya uchakataji wa mafuta yatokanayo na mimea ili kulinda afya za watumiaji ni kwa mamlaka husika kushirikiana kikamilifu na kubadilishana maarifa na wazalishaji wa mafuta ili kuepuka athari za #TransFatAcids.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

Kama mnavyosema juu ya viwango vya chakula ili kuokoa maisha, na sisi tunawasihi mtusaidie kulinda afya za wananchi kwa kupitisha kanuni zitakazodhibiti kiwango cha #TransFatAcids kwenye bidhaa za vyakula nchini.
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC

@GjAssenga @WHO @IncubatorGHAI @IILAinfo @sonnino123 @bajabiri @fmashili @unhco @WHO_Tanzania @winharder_ @JohnMbundi Ni wajibu wetu sote kuhakikisha tuna uelewa wa kutosha wa athari za #TransFatAcids kwa binadamu.
Na wenye jukumu la kusimamia haya mabadiliko ni Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
#TransFatFreeTZ
#TransFatFreeEAC
Last Seen Hashtags on Sotwe
پورن_ایرانی
Seen from United States
deepthroat
Seen from Turkey
街射
Seen from Korea
LuanSantanaNaXuxa
Seen from United States
nolimit filter:videos
Seen from Turkey
diaperart hypermess
Seen from Brazil
自分の子には
Seen from Brazil
Communiation
Seen from Canada
Bravisimo2019
Seen from Indonesia
Fullcam
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers






