Top Tweets for #TzDigitalTransformation
Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Think Tank ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakichangia baada ya kupokea mawasilisho wakati kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Jengo la PAPU jijini Arusha, Februari 18, 2025.
#TzDigitalTransformation #SmartTanzania

Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Think Tank ya @wizaramth Bw. Mohammed Khamis Abdulla akiongoza majadiliano baada ya kusikiliza mada zilizowasilishwa wakati kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa PAPU jijini Arusha, Februari 18, 2025.
#TzDigitalTransformation

Kikao Kazi cha Serikali na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali (2024-2034)📌
#tzdigitaltransformation #SmartTanzania

Kikao Kazi cha Serikali na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali (2024-2034)📌
#tzdigitaltransformation #smarttanzania

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) etembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Kanda ya Pwani, Mikocheni - Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2024.
#WHMTH #TzDigitalTransformation #tzyakidijitali
Mafanikio Ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Beijing, China katika Sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).
#TzDigitalTransformation #SmartTanzania
Ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa chini ya mradi wa Tanzania ya Kidijitali (DTP) tarehe 30 Agosti 2024 katika Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.
#TzDigitalTransformation #DTP #TzyaKidijitali #KaziIendelee #NgorongoroCrater
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali kinachofanyika jijini Arusha leo tarehe 28 Agosti 2024.
#TzDigitalTransformation #DTP #TzyaKidijitali #KaziIendelee

Uzinduzi wa Gari la kutoa mafunzo Kidijitali kwa wanafunzi (DIGI-TRUCK) iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Agosti, 2024.
#TzDigitalTransformation #KaziIendelee #DigiTruck #HuaweiTZ #vodacomtz

Sheha wa Shehia ya Chokocho Wilaya ya Mkoani katika Mkoa wa Kusini Pemba Bw. Makame Pandu Makame, akizungumzia zoezi la uhakiki wa taarifa za Anwani za Makazi.
#AnwanizaMakazi #UhakikiAnwanizaMakazi #Pemba #TzDigitalTransformation #KaziIendelee
Last Seen Hashtags on Sotwe
خلفي
Seen from Netherlands
Daha17
Seen from Germany
dayouth
Seen from Algeria
bara #gay #nsfw #furry
Seen from Qatar
minichatt
Seen from United States
ngintipmandi
Seen from United States
mgai
Seen from United States
نيج_عراقية
Seen from Algeria
sister()()
Seen from Turkey
bully pequeño
Seen from Colombia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





















