Top Tweets for #WHMTH
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) etembelea Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Kanda ya Pwani, Mikocheni - Dar es Salaam tarehe 10 Septemba, 2024.
#WHMTH #TzDigitalTransformation #tzyakidijitali
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. @Nnauye_Nape (Mb) akiwa katika uzinduzi wa kampeni ya elimu kwa umma kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini katika ukumbi wa mikutano wa Jiji, Dodoma leo Januari 24, 2024.
#WHMTH

Muonekano wa Jengo la Ofisi mpya za Wizara ya Habari, Mawasiliani na Teknolojia ya Habari lililopo katika Mji wa Serikali Mtumba leo Januari 24, 2024.
#WHMTH #MawasilianoNchiNzima #TzyaKidijitali #KaziIendelee

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akizungumza wakati akizindua kampeni ya elimu kwa umma kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini katika ukumbi wa mikutano wa Jiji, Dodoma leo Januari 24, 2024.
#WHMTH

Habari Picha
Matukio katika picha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya elimu kwa umma kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini katika ukumbi wa mikutano wa Jiji, Dodoma leo Januari 24, 2024.
#WHMTH #MawasilianoNchiNzima #TzyaKidijitali

Uzinduzi wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi
#TzyaKidijitali #KaziIendelee #WHMTH #CyberSecurity #usalamamtandaoni
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. @Nnauye_Nape (Mb) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi uliofanyika katika ukumbi wa TCRA, jijini Dodoma leo Januari 19, 2024.
#TzyaKidijitali #WHMTH #CyberSecurity #UsalamaMtandao

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi,, Balozi Adadi Mohammed katika Uzinduzi wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi uliofanyika katika ukumbi wa TCRA, jijini Dodoma leo Januari 19, 2024.
#TzyaKidijitali #KaziIendelee #WHMTH #CyberSecurity

Uzinduzi wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi uliofanyika katika ukumbi wa TCRA, jijini Dodoma leo Januari 19, 2024.
#TzyaKidijitali #KaziIendelee #WHMTH #CyberSecurity #UsalamaMtandao

Uzinduzi wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi
#TzyaKidijitali #KaziIendelee #WHMTH #CyberSecurity #UsalamaMtandao


Last Seen Hashtags on Sotwe
collegesluts
Seen from United States
hentai #castration
Seen from United States
anxiouspandaa
Seen from Pakistan
horsed
Seen from United States
MoroccanGirls
acur
Seen from United States
anxiouspanda()+filter:native_video
Seen from United States
mgai((((*+*+*))))* filter:videos
Seen from Turkey
Gooner
Seen from United States
ai furry
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers















