Top Tweets for #UDART
Imewachukua miaka mingi sana kuleta magari mapya hawa jamaa, itakuwa huu mradi haulipi.
#UDART


DAR: Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (#UDART), Waziri Kindamba amesema makosa ya nyuma katika usimamizi wa huduma hiyo yamechangiwa na kutokuwepo kwa mkazo katika matengenezo ya mara kwa mara (routine maintenance) ya mabasi.
Ameongeza kuwa kutokana na changamoto zilizojitokeza za mabasi, UDART imejifunza na sasa inaweka mkazo mkubwa kwenye usimamizi endelevu na wenye tija na mabasi mapya yatakapoletwa watazingatia uthibiti na utunzaji.
Mara kwa mara Wadau wamekuwa wakilalamikia huduma mbovu zinazopatikana katika usafiri huo pamoja na changamoto ya mbasi kuharibika mara kwa mara.
Zaidi https://t.co/6XgqFQTkiJ
#JamiiForums #JFHuduma #ServiceDelivery #Accountability #JamiiAfrica

Getting workers views about #UDART thanks to @ITFglobalunion @gli_uk #COWT-T and our young workers led by Nice. @AlanaDave

Serikali inatulazimisha tustaatabike lakini wanachi wengi bado hawaja staarabika kutokana na kukosa elimu stahiki.
Miradi mingi ina kwama kwa sababu wengi wetu bado sio wastaarabu. Mfano #Udart.
Nadhani kabla ya kufanya miradi mingi elimu ndio ingekuwa nguzobwa miradi mikubwa.
🖇️Huduma za #UDART ni mbovu sijapata kuona , nimekaa kwnye kituo mpaka nikatamani niende nawape ticket wanirudishie pesa yangu 😔😔
🔗Serikali kuna haja ije na mkakati mwingine wa kutatua changamoto hii maana imekuwa kero sana
Dalili za #UDART kufa zilianza pale kwenye kukataa kadi zao wenyewe.....ikaja kwenye kung'oa mashine za kuscan tiketi....ikaja kwenye mabasi mabovu....now ipo kwenye mabasi machache
Kwahyo mwalimu apewe Mwekezaji?
#SupaBreakfast time ya #WinoMzito gazeti la #Mwananchi ukurasa wa mbele wameandika 'CHALAMILA: MABASI YA HARAKA YAENDE SAA 24'
Ungana na @malickmansoortz @kissadaniel2 @lucasmasungwa
@exaudwamtei ndani ya Supa Breakfast ya #EastAfricaRadio
#RCChalamila #DaresSalaam #UDART
Kwakweli itakua jambo jema maana unaweza kujikuta una haraka, sehemu unayoenda vituo viwili tu nalipa sawa na anaeenda kimara.
#Udart #MamaYukoKazini #serikalisikivu
“Tumeandaa mfumo ambao mteja wetu wa DART atakuwa analipa kulingana na umbali atakaokwenda, mfumo huo bado haujaanza kazi lakini tayari umeandaliwa,” Inj Fanuel Karugenzi (UDART).

Kilichofanyika #UDART iwe wizi,ufisadi,hujuma,uzembe au uzwazwa vyovyote iwavyo,wahusika wachukuliwe hatua kali. kucheka na nyani mwisho kuvuna mabua

🇹🇿 Tanzania a beautiful country. Everyone loves #MamaTanzania ➡Usafiri Dar es Salaam Rapid Transport #UDART
➡Other countries have Trains.
➡Tanzania Have Buses For Transport Services In The City.
➡I've put here some pics of Usafiri Dar es Salaam Rapid Transport
#tread

Tunawaomba viongozi husika, #waziriTamisemi. #waziriujenzi, husikeni kwa kufuatilia hili shirika la #mwendokasi, lisije likatokea kama lile la UDA liloshindikana kufufuka na kuuzwa Kwa bei ya mll 5, scraps zote zile na mabasi mengine yakitembea, hivyo isije tokea Kwa #UDArt
Last Seen Hashtags on Sotwe
publicflashing
Seen from Turkey
おなぺ
Seen from Korea
cnny #lxli
Seen from Mexico
mom #incest() +filter:native_video
Seen from United States
teenageers
Seen from Oman
candid
Seen from Ukraine
UConnHealth
Seen from United States
tgirl
Seen from Austria
เกย์ขี้เงี่ยน
Seen from Thailand
malluaunties
Seen from India
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

































