Top Tweets for #Ufunuo
Yesu Kristo alitununua kwa damu yake ya thamani iliyomwagika msalabani. Kwa njia ya dhabihu yake, tulikombolewa kutoka katika utumwa wa dhambi na kupatanishwa na Mungu. Wokovu wetu haukutokana na matendo yetu, bali kwa neema yake kuu na upendo wake usio na kifani.
#Ufunuo 5:9

#Ufunuo wa Yohana 5:9
"Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,"
Mungu aliyetuleta mpaka hapa hatatuacha. Mwezi huu ni mwezi wa neema, fursa mpya, ushindi mpya, na milango mipya. Kila kilichochelewa kitaanza kusonga kwa uwezo wa Mungu.
"Tazama, nimeweka mbele yako mlango uliofunguliwa ambao hakuna awezaye kuufunga."
#Ufunuo 3:8
Retweet pse
#Ufunuo 16:5-6
"Nami nikamsikia malaika wa maji akisema, Wewe u mwenye haki, uliyeko na uliyekuwako, Mtakatifu, kwa kuwa umehukumu hivi;
kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu na ya manabii, nawe umewapa damu wainywe; nao wamestahili"
#Ufunuo 22:12
"Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo"

#Ufunuo 13:10
"Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu"
#Ufunuo 13:10
"Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu"
@LelloMmassy #UFUNUO 21:05 Naye yule aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi akasema, “Tazama, nayafanya mambo yote kuwa mapya!” Kisha akasema, “Andika haya, maana maneno haya ni ya kuaminika tena ni kweli.”
#Ufunuo 21:6 Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yoyote. Huku shwari, kwenu vipi? Karibu Tuabiri gari #BarakaExpress Ukiwa Nami Nahodha Wako, @DLeleina.

Kaini na Habili walimwabudu Mungu mmoja lakini mmoja akiwa na ufunuo mwingine akiwa wa hana,,,,,au mnadhani Habili alijuaje kama ilikuwa Dam👇 #ufunuo
4 Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. Bwana akamtakabali Habili na sadaka yake;
Ni jambo jema kuisoma Biblia yote,,,Yeah ni jambo jema sana
Lakini inahitaji #ufunuo wa Mungu mwenyewe kuielewa
"Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako. Yeye ashindaye, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka humo tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu."
#Ufunuo 3:11-12
https://t.co/Alx00LxR3b

“Hawa ndio wasiotiwa unajisi pamoja na wanawake, kwa maana ni bikira. Hawa ndio wamfuatao Mwana-Kondoo kila aendako. Hawa wamenunuliwa katika wanadamu, malimbuko kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo”
#Ufunuo 14:4
Tunakushukuru Bwana Yesu kwa kutununua
https://t.co/d2UJ6kO5x0
"Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho"
#Ufunuo 22:14
Ndiyo, Ni ombi langu Mungu Alfa na Omega amalize nawe mwaka huu ktk jina la Yesu.
|2023

#Ufunuo: 3:7 Na Kwa Malaika Wa Kanisa Lilioko Filadelfia Andika: Haya Ndiyo Anenayo Yeye Aliye Mtakatifu Aliye wa Kweli,Aliye Na Ufunguo Wa Daudi ,Yeye Mwenye Kufungua Wala Hapana Afungaye,Naye Afunga Wala Hapana Afunguaye.

#Ufunuo 3:1
"Una jina la kuwa hai, nawe umekufa"😔😔
#Ufunuo 13:10
"Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu"
#Ufunuo 4:9-11
"Na hao wenye uhai wanapompa yeye aketiye juu ya kiti cha enzi utukufu, na heshima, na shukrani, yeye aliye hai hata milele na milele,
ndipo hao wazee ishirini na wanne huanguka mbele zake yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi, nao humsujudia yeye aliye hai hata milele na milele, nao huzitupa taji zao mbele ya kile kiti cha enzi, wakisema,
Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa"
#Ufunuo 15:3
"Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi; Ni za haki, na za kweli, njia zako, Ee Mfalme wa mataifa"
SIKU NYINGI YA KUYATANGAZA MATENDO YAKO MAKUU BWANA YESU.
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




