Top Tweets for #Ureporttz
Katika maadhimisho ya Miaka 10 ya U-report Ulimwenguni. Hizi ni baadhi ya matunda ya mfumo huu duniani kote
#Ureportglobal #Ureporttz #Vijananamaendeleo
Hello Friend..π, As we were celebrating 55 years of Zanzibar Revolution today, we hope your day went very well.. "sisi ndio nguvu kazi ya taifa letu, tuzidi kujituma na kuzipaza sauti zetu kila inapobidi" #UReportTz #VoiceMattersπͺ


Mgeni Rasmi akihitimisha uzinduzi alisema, "Baada ya nasaha hizi kwenu, napenda kutangaza kwamba Program hii ya UReport Tanzania imezinduliwa rasmi Visiwani Zanzibar, shime tujisajili na kupaza sauti zetu kwa Pamoja"
#UreportTz

Fantastic that we now have #UReportTZ expanding. We are adding the voices of adolescents and young people in Zanzibar to shape a present and future they want! #GenUnlimited
"U-Report offers young people an opportunity to voice their opinions of matters that affect them. They can use their mobile phones to participate & express their views freely"- Rene Van Dongen, @UNICEFTanzania Deputy Rep at the #UReportTZ launch in Znz.

Leo katika viwanja vya Mapinduzi Square, Zanzibar kwenye uzinduzi rasmi wa #UReportTZ! Jisajili na @UReport leo kwakutuma neno 'SAJILI' kwenda 15070 ili uwe sehemu ya mabadiliko.
@UNICEF @UReportTanzania
#ZanzibarLaunch #Semausikike #ChangeTanzania
#ElimikaWikiendi

Youth go throught different youth programs for empowerment and they always leave stories behind. #UreportTz is fortune to provide a platform for youth to raise their voices on development issues. We congratulate @UNICEFTanzania for this program launch in Zanzibar πΉπΏππ»
#UReportTZ

"Huu ni wakati wetu kutumia fursa hii ya #UReportTZ, ili tuweze kutatua changamoto zinazotuzuia kupata maendeleo kwa wakati. Shime tujisajili!"- Mh. Lulu Msham Abdalla Naibu Waziri wa Michezo, Sanaa, Utamaduni na Vijana katika uzinduzi rasmi ya @UReport Zanzibar.
#ZanzibarLaunch

"When young people are empowered, they have a chance to make decisions that affect them positively. U-Report gives an opportunity to young people to speak out & meaningfully contribute to their communitiesβ - Rene Van Dongen, @UNICEFTanzania Deputy Rep at the #UReportTZ launch.

"U-Report offers young people an opportunity to voice their opinions of matters that affect them. They can use their mobile phones to participate & express their views freely"- Rene Van Dongen, @UNICEFTanzania Deputy Rep at the #UReportTZ launch in Znz.

Mh. Mgeni rasmi alisema, "Kupitia #UreportTz vijana mtapata taarifa sahihi pia kuchangia katika maendeleo ya taifa, tumieni fursa hii kwa manufaa yenu na ya Taifa".
#ZanzibarLaunch

Katika uzinduzi wa @UReportTanzania program yua @UNICEFTanzania hapa Zanzibar, pamoja na azaki nyingine, taasisi ya @MwanamkeUongozi tunatoa hamasa kwa vijana kujisajili na kupaza sauti zao kwa maendeleo ya taifa #UReportTZ #ZanzibarLaunch

Mgeni rasmi Mh. Lulu Msham Abdalla Naibu Waziri wa Michezo, Sanaa, Utamaduni na Vijana. Amewasili katika uzinduzi wa #UReportTZ. Karibuni sana vijana, Kwa pamoja tuwe Sauti ya Mabadiliko katika Jamii!
#ZanzibarLaunch

Vijana mtumie Fursa hii kuweza kujisali na kutumia Jukwaa hili ili kuweza kuwa sehemu ya kutatua changamoto zinawakuta katika Jamii. Pia msambaze Ujumbe kwa Wengine zaidi. - Mratibu Msaidizi @UNICEFTanzania
#UReportTZ #ZanzibarLaunch

Kwa niaba ya @UNICEFTanzania tunashukuru kwa kuitikia wito kutoka kwa Vijana wa #Zanzibar kwani hii imetupa hamasa sana. "Ili Dunia iwe sehemu Salama na endelevu, tunahitaji Vijana kuongoza na kutumikia Jamii". - Mratibu Msaidizi
#UReportTZ #ZanzibarLaunch

Malengo ya #Uzinduzi huu ni Kuwashirikisha Vijana kupitia mtandao ya simu ili kupata mawazo na Sauti zao zisikike. Leo tunarasimisha hapa Zanzibar ili kutanua wigo wa Mawazo uongezeke hasa hapa Visiwani. - Mkurugenzi wa Vijana
#UReportTZ #ZanzibarLaunch

Katika uzinduzi wa @UReportTanzania Zanzibar, pamoja na azaki nyingine, taasisi ya @MwanamkeUongozi imetoa hamasa kwa vijana kujisajili na kupaza sauti zao kwa maendeleo ya taifa #UReportTZ #ZanzibarLaunch

Vijana sauti zenu ni muhimu, #SemaUsikike! Karibu leo katika viwanja vya Mapinduzi Square, Zanzibar kwenye uzinduzi rasmi wa #UReportTZ! Jisajili na @UReport leo kwakutuma neno 'SAJILI' kwenda 15070 ili uwe sehemu ya mabadiliko. #ZanzibarLaunch
#ElimikaWikiendi

Vijana sauti zenu ni muhimu, #SemaUsikike! Karibu leo katika viwanja vya Mapinduzi Square, Zanzibar kwenye uzinduzi rasmi wa #UReportTZ! Jisajili na @UReport leo kwakutuma neno 'SAJILI' kwenda 15070 ili uwe sehemu ya mabadiliko!

Hongereni sana Team ya U - Reporters Tanzania
Habari ya mjini ni andika message
sajili kwenda 15070 (Buree)
Karibu katika viwanja vya Mapinduzi Square sasa. Ujiunge pamoja nasi katika Uzinduzi huu wa @UReportTanzania Mambo ni Motooo huku.πͺπ
#UreportTz #ZanzibarLaunch

Last Seen Hashtags on Sotwe
Ω
ΨΉΨ΅ΩΨͺΩ_Ψ±ΨΨͺΩΩΩΩΩ
Seen from Germany
helenaprestes
Seen from Italy
bigdick
Seen from France
minichat
Seen from United States
ometv()+Video
Seen from Turkey
Ω
ΩΨΉΨ΅ΩΩΨͺΩΩΩ_Ψ±ΨΩΨͺΩΩΩ
Seen from Germany
somali pussy
Seen from Qatar
College
Seen from United States
tango arabic
ιͺθ―
Seen from Japan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

















