Top Tweets for #VITENDO
Leo #NewMusicAlert ni #Vitendo by Adela Mwende @Adelamwesh & @Makadem .
Hit or miss?
Unaipea ngapi out of 10?
#Brekko

Photo moments about day one of the #Vitendo #Digital #Health #Symposium #vidihsa #2025 @klinicuganda @RoseNanyongaCla
Meet some of the innovators, thought leaders & industry experts joining us at the #VitendoDigitalHealth Symposium! Stay tuned for insights, discussions & networking opportunities that will shape the future of digital health! #DigitalHealth #Vitendo Clarke International University

#Kahawa #Tija #Vitendo
Hapa Tanzania Tija kwenye kilimo bado ndogo sana. Nimeona nitoke kuongea nifanye vitendo kuonyesha kuwa inawezekana kuongeza uzalishaji wa mazao bila kuongeza eneo la kilimo (land under cultivation). Kwa mfano uzalishaji wa kawaida wa Kahawa ya Arabika ni 0.25 Kgs/Mti wa kahawa na kahawa ya robusta ni 0.35 Kgs/Mti.
Uzalishaji huu uko chini sana ikilinganishwa na 1.1 Kgs/Mti ya Arabika ya huko nchini Colombia na 2.5 Kgs/Mti ya Robusta ya nchini Brazil.
Shambani kwangu Matyazo ninafuata kanuni zote za kilimo ili nifike angalau 1kg kwa kila mti wa kahawa nilopanda. Nimepanda miti 33,821.
Nikifikanikiwa nataka kushawishi chama chetu cha Ushirika cha RUMACO kuhakikisha kila mwanachama anafikia tija ya 1kg/Mti wa kahawa katika miaka 5 ijayo.
Hakika uzalishaji wa kahawa nchini Tanzania umekwama kwa zaidi ya miaka 20 ukiwa na uzalishaji wastani wa tani 50,000 (MT). Tukiongeza tija bila kuongeza hata mita moja ya ardhi tunaweza kufika tani 200,000 za kahawa kwa mwaka na hivyo nchi kupata fedha za kigeni mpaka Usd 1B kwa mwaka. Mwaka 2024 Kahawa ililiingizia Taifa USD 300M
Bwana @mBongo ninataka ndani ya miaka hii miwili kahawa wanaokunywa watu wako @TheRidgeDar itoke #MirumbaniCoffee from the farm #MungonyaFarm to the cup๐ hapo Masaki

Shuka hapo chini utuambie hapa ni wapi? Jua tu ni Tanzania. #Vitendo vinaongea #KaziIemdelee๐น๐ฟ๐ท #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Changia mada hii kisha Comment yako itaruka Live kwenye runinga East Africa TV
#Funguka Saa 9:00 - 9:30 Alasiri.
#EastAfricaTv #Jamii #Vitendo #Ukatili

@NiiteSonga #KijengeJuuTheAlbum chindo kamsrikisha @Wakazi pa moja na @FidQ,na ngoma nyingine yupo @Roma_Mkatoliki pamoja na @Dullysykes91 #vitendo.
Nikilia nabembelezwa kwa #upendo Naye akinuna namliwaza kwa #vitendo - #Barnaba
Ukiutazama mstari huu kawaida utaona MAHABA YA DHATI,ukiutazama kiuchumi utagundua Hakuna usawa wa KIJINSIA kwenye huduma ya MAPENZI! VITENDO ni hela, UPENDO ni bure!๐ฅณ๐ค#WetalkMusic
Hufanya kazi ya kumshauri Rais kuhusu masuala mbalimbali ya kiusalama ili kuvifahamisha vyombo vingine vya dola kuhusu uwezekano au kuwepo kwa vitendo vya uhalifu au uasi. #vitendo hivyo ni km:UJASUSI, uhujumu, ugaidi, uhaini pamoja na kudhibiti watu wanaopanga kupindua serikali.

Chindo man Ft. @mastaace @Roma_Mkatoliki x Dully Sykes - #Vitendo. ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Ila Roma humu alitaka kumkimbiza Masta ace kwa 'kinyumbani' ila sjamuelewa ๐
Maliza mafunzo yako kwa #PROJECT inayokujengea uwezo wa kutumia uliyojifunza kwa vitendo katika uhalisia wa jamii inayokuzunguka. #learn #vitendo #jifunze #newWaysOfLearning

@Ufafanuzi Mwalimu wangu wa shule ya msingi nimemuuliza leo, ikiwa kwenye somo la "stadi za kazi" wanafunzi bado wanaonesha "kazi za ubunifu" wao ili kupata alama za ufaulu?. Alichojibu ni kwamba wanasoma #nadharia tu #vitendo hakuna. Sishangai kujua kazi za #nyuki bila kumjua #nyuki.
Likitokea jambo lolote baya either kwa wafuasi wenu au ninyi viongozi mnabakia kulalamika kwenye social media, mara sijui "Hii sio haki" Sijui nini na nini.....Yaani #SIWAELEWI kama kweli mpo serious kuiondoa #CCM madarakani, Ebu onyesheni noma kwa #vitendo na sio kulalamika...๐
Sitaki ringtone/ ninachochana kipo mdundo so sexy ndio maana nafanya free porn/ @NiiteSonga #Vitendo bab kwenye #Fanyawewe na #Anthem sijaliskia mkuu..!
Nakala @MoruoKing @zeanonymouspoet
Usikubari kuwa mtu wa kupanga malengo ambayo hautayatimiza,
mabadiliko yanataka juhudi na uvumulivu hata kama hautaona matokeo mapema usikate tamaa.
#gamechangertv #vitendo #malengo #usikatetamaa #qoute @ Darโฆ https://t.co/QmWnLopeKH
@petersonchris_ @MarekaMalili @Johnie_ze_Best @JohnMbundi @HRH_Aleey @ElimikaWikiendi @jr_masaki @NajjatOmar Eti kuna wanafunzi wamenitumia kiranja na monita wa darasa niuliza baada ya somo la #nadharia la #vitendo lini, wapi na nani?
Mjumbe hau...
Last Seen Hashtags on Sotwe
๋น๋ฑ
Seen from Korea
เธญเธฒเธเธเนเธณเธเนเธงเธขเธเธฑเธเนเธซเธก
Seen from Thailand
เธเธฒเธขเนเธเนเธเธฑเธเธงเนเธฒเธง
Seen from Thailand
Unexpected
Seen from United States
Momson() +filter:native_video
AndreaChapa
Seen from Mexico
alicee16
butchlander
Seen from Chile
เธเธฅเธญเธเธฑเธเธงเนเธฒเธง
Seen from Thailand
BPM2024
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























