Top Tweets for #VUDEO
#VUDEO: WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe Judith Kapinga leo Septemba 16, 2026 amezindua Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na Ujerumani la kufungua fursa za uwekezaji kwa nchi za Afrika Mashariki na kusema kuwa Tanzania ina fursa kubwa ya uwekezaji itakayowezesha kuimarisha ushirikiano wa kibiashara baina ya pande hizo mbili.
Mhe Kapinga amesema kuwa kwa sasa mauzo ya Tanzania nchini Ujerumani yamefikia asilimia 62 huku uimarikaji wa biashara kwa pande zote mbili ukifikia asilimia 56.
Ameyataja maeneo ya fursa za uwekezaji kwa Tanzania kuwa ni pamoja na Viwanda, Kuongeza thamani ya mazao, Teknolojia, Madini na Utalii.
Awali akizungumza kabla ya uzinduzi wa kongamano hilo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe James Ole Millya amesema ushirikiano wa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na Ujerumani umesaidia kuvutia makampuni mengi ya Ujerumani kuja kuwekeza nchini hususani kwenye sekta ya Viwanda.
Jumla ya wawekezaji 30 kutoka makampuni mbalimbali ya nchini Ujerumani wako kwenye ukanda wa Afrika Mashariki kwa ajili ya kuangalia fursa mbalimbali za uwekezaji.
#MzawaUPDATES
#VUDEO: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka viongozi wa vijiji, vitongoji na kata pamoja na wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miradi ya maji na vyanzo vyake, ili kulinda uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali katika kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
Kapinga ametoa maelekezo hayo Agosti 10, 2026, baada ya kukagua mradi wa maji kutoka Mto Ruvuma hadi Mangaka katika Kata ya Masunguru, Mkoa wa Mtwara. Amesisitiza kuwa maendeleo endelevu yanapatikana pale Serikali na wananchi wanapotekeleza majukumu yao kwa ushirikiano.
#MzawaUPDATES
#VUDEO: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka viongozi wa vijiji, vitongoji na kata pamoja na wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miradi ya maji na vyanzo vyake, ili kulinda uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali katika kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
Kapinga ametoa maelekezo hayo Agosti 10, 2026, baada ya kukagua mradi wa maji kutoka Mto Ruvuma hadi Mangaka katika Kata ya Masunguru, Mkoa wa Mtwara. Amesisitiza kuwa maendeleo endelevu yanapatikana pale Serikali na wananchi wanapotekeleza majukumu yao kwa ushirikiano.
#MzawaUPDATES
#VUDEO: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawatahadharisha wananchi wote kutokuingia au kusogea karibu na uwanja wakiwa na silaha yoyote, ikiwemo silaha za moto, panga, kisu au kitu kingine chochote chenye ncha kali.
Polisi wanaendelea kufuatilia mwenendo wa mashabiki na hawatasita kuchukua hatua dhidi ya shabiki yeyote atakayekiuka sheria na taratibu zilizowekwa.
Tahadhari hiyo imetolewa kufuatia shughuli za michezo zinazoendelea katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, ambapo Klabu ya Yanga inafanya uzinduzi wa Siku ya Mwananchi pamoja na utambulisho wa wachezaji wake. Aidha, Klabu ya Geita Gold nayo inawatambulisha wachezaji wake.
#MzawaUPDSTES
#Vudeo | Un manatí, especie en vía de extinción, apareció muerto en laa ciénaga El Llanito de #Barrancabermeja.
Hasta el momento se desconocen las causas del fallecimiento.
#vudeo Julio Astillero habla con Jorge Meléndez y Témoris Grecko sobre la lucha del periodismo en México @jamelendez44 @temoris @julioastillero https://t.co/1UUZlYSg4d
#vudeo Julio Astillero habla con Jorge Meléndez y Témoris Grecko sobre la lucha del periodismo en México @jamelendez44 @temoris @julioastillero https://t.co/ZpAxxjs6dv
#Vudeo En #Siria también celebran la eliminación de #HassanNasrallah líder del grupo terrorista #Hezbollah en #Beirut #Libano
#HezbollahTerrorists #MedioOriente #BreakingNews
Tusiangalie rangi ya paka, Fursa ziko nyingi Sekta ya Nishati
#VUDEO: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, akizungumza katika Uzinduzi wa Taarifa za Utendaji katika Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2022/23, jijini Dodoma.

#Vudeo
More from the hugely successful John McGovern Hartlepool tribute night last month.
The biggest names in the game were lining up to help us make it unforgettable.
Here is a snippet from the Graeme Souness contribution ⭐️ @Official_HUFC

Gran presentación de Montoya en la F3
#Vudeo | El colombiano avanzó varias posiciones, llegando hasta el cuarto lugar pero un toque en la última vuelta lo relegó hasta la decima casilla.
https://t.co/3nSw1qP9a7
[#VUDEO|03.06.23] Atualização da stationz89.1 no instagram com Woong e Donghyun.
🔗: https://t.co/HUbdiSTqQb…
WG: https://t.co/qHxF3oCPb8
DH: https://t.co/07mfLrYqnZ
Vídeo: https://t.co/MIUKQ8BhHj
Vídeo: https://t.co/SsYKLyYT9V
#AB6IX #에이비식스 @AB6IX @AB6IX_MEMBERS
![AB6IXBrasil's tweet photo. [#VUDEO|03.06.23] Atualização da stationz89.1 no instagram com Woong e Donghyun.
🔗: https://t.co/HUbdiSTqQb…
WG: https://t.co/qHxF3oCPb8
DH: https://t.co/07mfLrYqnZ
Vídeo: https://t.co/MIUKQ8BhHj
Vídeo: https://t.co/SsYKLyYT9V
#AB6IX #에이비식스 @AB6IX @AB6IX_MEMBERS https://t.co/Eiobu9VKoH](https://pbs.twimg.com/media/Fxuc6jUXgAMIRII.jpg)
#VUDEO: [Parte 4] @billyrosas habla sobre @ponchohd: "Yo personalmente soñaba que sucediera tal y como fueron los seís"
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat()*******************
Seen from United States
นัดเย็ดพระราม2
Seen from Israel
minichat
Seen from India
mlbbnsfw
Seen from Indonesia
YoruichiShihouin
Seen from Japan
minichat((((((()))))))*filter:videos
Seen from Brazil
blowbang filter:videos
Seen from Italy
british #chav
Seen from United Kingdom
bobvelsebnsfw
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers














![AB6IXBrasil's tweet photo. [#VUDEO|03.06.23] Atualização da stationz89.1 no instagram com Woong e Donghyun.
🔗: https://t.co/HUbdiSTqQb…
WG: https://t.co/qHxF3oCPb8
DH: https://t.co/07mfLrYqnZ
Vídeo: https://t.co/MIUKQ8BhHj
Vídeo: https://t.co/SsYKLyYT9V
#AB6IX #에이비식스 @AB6IX @AB6IX_MEMBERS https://t.co/Eiobu9VKoH](https://pbs.twimg.com/media/Fxuc6WQWYAUp0ai.jpg)
![AB6IXBrasil's tweet photo. [#VUDEO|03.06.23] Atualização da stationz89.1 no instagram com Woong e Donghyun.
🔗: https://t.co/HUbdiSTqQb…
WG: https://t.co/qHxF3oCPb8
DH: https://t.co/07mfLrYqnZ
Vídeo: https://t.co/MIUKQ8BhHj
Vídeo: https://t.co/SsYKLyYT9V
#AB6IX #에이비식스 @AB6IX @AB6IX_MEMBERS https://t.co/Eiobu9VKoH](https://pbs.twimg.com/media/Fxuc6KVXgAE9F7F.jpg)
![AB6IXBrasil's tweet photo. [#VUDEO|03.06.23] Atualização da stationz89.1 no instagram com Woong e Donghyun.
🔗: https://t.co/HUbdiSTqQb…
WG: https://t.co/qHxF3oCPb8
DH: https://t.co/07mfLrYqnZ
Vídeo: https://t.co/MIUKQ8BhHj
Vídeo: https://t.co/SsYKLyYT9V
#AB6IX #에이비식스 @AB6IX @AB6IX_MEMBERS https://t.co/Eiobu9VKoH](https://pbs.twimg.com/media/Fxuc5-nXsAMBS-t.jpg)
