Top Tweets for #Vituo
#MwitowaMaoni:Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye #maoni au #pingamizi kuhusu maombi ya #vibali vya #ujenzi wa #vituo vya kujaza gesi #asilia kwenye #magari kutoka kwa Tembo Energies Limited, Victoria Services Station na Energo Tanzania Limited, awasilishe maoni hayo kwa maandishi EWURA ndani ya siku 14 tangu tarehe ya kutangazwa taarifa hii.
Tuma maoni/pingamizi kwa:
Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Jengo la EWURA, 3Mtaa wa EWURA, 41104Tambukareli, SLP 2857, Dodoma.
Baruapepe: [email protected]
#vibalivyaujenzi #maoni #pingamizi #cng #gesiasilia #gesiasiliakwamaendeleo #gesiasiliakwamaendeleoyataifa #gesiasiliakwamaendeleoyaviwanda #gesiasiliakwauchumiimara #rahisishamaisha #nishati #nishatisafiyakupikia #nishatisafichallenge #cngstation #cngfillingincar #cngfillingstations #cngcars #udhibiti #udhibitiwaubora

The groundbreaking ceremony for Tanzania's Luiche Kigoma Irrigation Project by #CRCEG, was held on July 21. π₯ The project involves constructing a 99.2 km irrigation canal and related #facilities. It will benefit 1,900 hectares of #farmland and increase farmers' incomes. π§βπΎ

#MAFUTAVJIJINI: Mtendaji wa Kata ya Mwinyi-Tabora, Ndugu Godwin Kayoka, ameishauri @EwuraTanzania kuongeza hamasa ujenzi wa #vituo vya #mafuta vya gharama #nafuu maeneo ya #vijijini ili kuongeza wigo wa huduma hiyo.
#NaneNane #NaneNane2024 #NaneNaneTabora #Ipuli #Tabora #mnadani #kilimo #mifugo #uvuvi #udhibiti

"Inawezekana pia namba hii (ya NIDA) ni ngumu kwa #mpigakura aliyopo kijijini kuipata,tumetoa maelekezo kwa watendaji wa NIDA walioko ngazi ya Halmashauri watoe orodha ya wale wote waliowaandikisha kwenye #vituo vyao na namba zao".Mhe.Majaliwa.
#BUNGENI
#wapigakura
"Inawezekana pia namba hii (ya NIDA) ni ngumu kwa #mpigakura aliyopo kijijini kuipata,tumetoa maelekezo kwa watendaji wa NIDA walioko ngazi ya Halmashauri watoe orodha ya wale wote waliowaandikisha kwenye #vituo vyao na namba zao".Mhe.Majaliwa.
#BUNGENI
#wapigakura
#UJENZI #VITUO VYA #MAFUTA #VIJIJINI
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi [email protected] au piga simu bure 0800110030
#Vituo 9 vya Kuuzia Madini ya Dhahabu Kuanzishwa Geita. RC Geita Mhe.Eng Robert Gabriel Akutana na Kusema na Wanunuzi na Wauzaji wa Dhahabu, Awahamasisha Kuanzisha Masoko ya Dhahabu Haraka Iwezekanavyo Kwakuwa Geita ni Dhahabu. Wadau Wakubaliana Naye,Wachangamkia Fursa Hiyo

#VITUO VYA AFYA
Mkrugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato leo ameungana na wananchi wa kata ya Bwina kusafisha eneo kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya cha kata hiyo, kukamilka kwa kituo hicho kitahudumia zaidi ya wananchi 11,000 wa vijiji vya Mbuye, Mulumba na Bwina

Hivi mnataka haya magari tuweke maji?? What's the solution ? #mafuta #vituo #bongo #petrol #daressalaam
#Vituo Le spΓ©cialiste du dΓ©veloppement de projets immobiliers logistiques https://t.co/MF25AybuVj #suividechantier
#VITUO VYA MAUZO YA TIKETI ZA KOFFI OLOMIDE DAR ES SALAAM LEO JUMAMOSI 15/12/2012 @ LEADERS CLUB NI:-
1. Zizzou... http://t.co/l7QCXqZK
#VITUO VYA MAUZO YA TIKETI ZA KOFFI OLOMIDE DAR ES SALAAM LEO JUMAMOSI 15/12/2012 @ LEADERS CLUB NI:-
1.... http://t.co/60pLc7Ou
Last Seen Hashtags on Sotwe
zoophile filter:videos
latina #missionary
Seen from United States
momson() momson() filter:native_video
minichat()
Seen from Turkey
SNEGAL
Seen from United States
nsfwtwtΩΩ
Seen from Germany
DoubleVaginal
Seen from Indonesia
thechase
Seen from United Kingdom
minichat()****+***** filter:videos
Seen from Spain
monkeyapp
Seen from Netherlands
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




















