Top Tweets for #Viwanja
A productive day wrapping up after taking clients to the site. Ready for tomorrow. Hustle includes holidays. Cc @lapexproperties #tuesday #lapexproperties #viwanja

Usinunue kiwanja kwa mazungumzo tu , hakikisha unafahaku Mmiliki , mipaka na matumizi ya kiwanja hicho
Huduma hii utaipata LAPEX kwa Gharama nafuu kabisa
#lapexproperties #viwanja #uchunguzi

Zingatia yafuatayo kabla ya kununua kiwanja, Kipindi hiki cha masika ndio muda mzuri wa kununua kiwanja
Mtaalamu wa Masuala ya ardhi @thommnkondya akielezea kwa kina
#lapexproperties #viwanja #ardhi
Unataka kuthibitisha na kutambulika kisheria kama mmiliki halali wa kiwanja au nyumba yako?
LAPEX tupo kwa ajili yako!
Tutakusaidia kupata Hati kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi bila usumbufu.
Karibuni sana @lapexproperties
#hati #lapexproperties #viwanja

Mtaalamu na Mshauri wa masuala ya ardhi @thommnkondya akieleza Namna Mfumo wa e-ardhi utakavyosaidia kupunguza Changamoto kwenye sekta ya ardhi Tanzania
#lapexproperties #viwanja
Utaratibu wa Malipo kwenye miradi yetu ya Kigamboni
Unaweza kuchagua kulipa Cash ( Taslimu ) au Kulipa Kidogo Kidogo , Karibuni sana
#lapexproperties #viwanja

Kama una kiwanja ulinunua au ulipewa kama zawadi lakini hujui kilipo au umesahau mipaka yake karibu @lapexproperties tutakuonesha Kiwanja hicho kwa Gharama nafuu kabisa
Karibuni sana LAPEX
#lapexproperties #viwanja
Ni Dalili gani zingine zinaashiria Utapeli?
Tuambie hapa ili tusaidie kuepukana na Utapeli kwenye Ardhi
#lapexproperties #viwanja

Vimebaki Viwanja vichache sana Kwenye huu mradi wetu , kwa 3,390,000 Tsh unamiliki kiwanja pamoja na Hati miliki
Kumbuka @lapexproperties ndio Kampuni pekee ambayo ukinunua kiwanja unapata na Hati Bure , karibuni sana
#lapexproperties #viwanja

Tumeboresha huduma kwa wateja wetu walionunua viwanja kutoka @lapexproperties
Sasa tunakuletea huduma ya ziada ya kuweka nguzo ndefu ili kuonyesha mipaka ya kiwanja chako hata kama ukiwa mbali
Karibuni sana
#lapexproperties #viwanja
Kipindi hiki cha Mvua ndio Kipindi kizuri cha Kununua kiwanja au kutembelea site yako
Fanya uamuzi sahihi kwa kumiliki kiwanja Bora karibuni sana @lapexproperties
#lapexproperties #viwanja

Una changamoto yoyote kwenye masuala ya ardhi? Au unatafuta huduma salama kuhusu viwanja/ardhi?
LAPEX tupo tayari kukusaidia kwa Elimu na ushauri kuhusu masuala yote ya ardhi , karibu sana @lapexproperties
#viwanja #nyumba #mashamba #lapexproperties

Hii ni nafasi yako kumiliki kiwanja chenye thamani kubwa kwa bei nafuu! π°π₯
π Fukayosi, Bagamoyo.
Maelezo zaidi? π¬DM au π 0655 533 333/ 0717 000 003
@propertyinternational
#ViwanjaBora π‘ #FursaYaUmiliki π° #MradiMpya π #Launching2025 #pil #viwanja #bagamoyo
#VIWANJA: Mchambuzi wa soka @hamisa_24 anasema Simba inataka kuonesha ukubwa wake kwa kucheza mechi ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Bigman FC huku wachezaji wake wengi wakiwa katika timu zao za taifa.
Mechi hiyo itapigwa kesho Alhamisi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#CRDBBankFederationCup
Usikose kutembelea mradi wetu wa Kiharaka Kesho Jumatano kuanzia saa Tatu asubuhi
Usafiri kwenda site ni Bure kabisa karibuni sana
#lapexproperties #viwanja #hatimiliki
Baadhi ya wateja wetu walitembelea mradi wetu wa Kiharaka Juzi Jumamosi . Jumatano hii tunaenda tena site, usikose! Karibu sana @lapexproperties
#lapexproperties #viwanja #mashamba #ardhi #hatimiliki
Hivi ndivyo tunavyotatua migogoro ya ardhi.
Je, wewe huwa unafanyaje unapokutana na mgogoro kwenye kiwanja chako?
#lapexproperties #viwanja #mashamba #ardhi #nyumba #hatimiliki
JUMAMOSI HII SITE VISIT KIHARAKA BEACH
PLOTSπ₯π₯
Usikose kutembelea mradi wetu wa Kiharaka kesho kuanzia saa 8:30 Asubuhi , Makutano ni Ofisini Mwenge Lufungila Savei plaza
#lapexproperties #viwanja #beachplots

Last Seen Hashtags on Sotwe
θ΄«δΉ³
PremioInternazionaledAngiΓ²
Seen from United States
γΏγγγε γη·¨
Seen from Japan
Ψ§ΩΩΨ΅Ψ±_Ψ¨ΩΩ_ΩΨ§Ψ³
Seen from Netherlands
momson filter:videos
Seen from Thailand
jmloz
UNIDOSPOLDARA
Seen from United States
HouseOfTheDragon
Seen from United States
antalyapasif
Seen from United States
ΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈΰΈΰΈΈΰΈ£ΰΈ΅
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers













