Top Tweets for #WAJob
@WashingtonSRC Dissolve WA State Dept Commerce.
The number of persons in THAT dept making over $100k / yr is NOT supporting #wajob #innovation
Nilikuwa Najua Mama Ivan Ndio Mtu Pekee Anayeniwaza Masaa 24, But Nimegundua Yupo Kiumbe Mwingine Anaitwa #WAJOB Naye Ananiwaza Masaa 24…..Yaani Hawezi Kukaa Kimya Anaposikia Nimetoa Project Mpya!!
Unapata Wapi Muda Wa Kuchambua Album Ya Msanii Mwenzako Ambaye Hata Hajakuongelea Wala Kukutaja Kwenye Wimbo Wala Interview Yoyote?😳 Its Weird Unajua!!🤔 Kwanini Usi Stick Kwenye Biashara Yako Tu?
Kwanza Unapata Wapi Guts Hizo Wakati Hakuna Raia Anayekumbuka Hata Ngoma Yako Yoyote Kwenye Album Zako!! Zinakutesa Hizi Comments Za Fans Wanavyosema Roma Wimbo Wako Fulani Nimeusikiliza Na Kuurudia Mara 6/8/10? Sasa Wewe Mtu Atapata Wapi Nguvu Ya Kuurudia Kuusikiliza Wimbo Wako Wakati Daily Hueleweki Unaimba Nini….
Nyimbo Zako Mwenyewe Zinakutia Uvivu Kusikiliza Ndomana Unajikuta Unatumia Muda Mwingi Kusikiliza Kazi Za Watu Na Kuchambua!! Anzisha Podcast Basi Tujue Moja!!
Hiyo Mistari Yako Ya….
UKONGA SITAKI SHARI/
KINYONGA HII MISTARI/
INAGONGA KAMA MSUMARI/
MANDONGA THOMAS MASHALI/
🤔🤔🤔🤔🤔 UnaRap Nini Sasa Hapa? Yani Unataka KuAdress Nini? Aaf Mkikaa Maskani Wenyewe Mnajifariji Mnajiona Marappers Noomaaaa Mna Mametafosi Maweds Play😁😁
Haya Tunakupa Labda Sikio Tena Verse Ya Pili Labda Utatupa Kitu Heeeee Unaendelea Tenaa….
ULIZA MITAA YA CHICAGO/
PULIZA USIULIZE RADO/
NYUNYIZA SUKA ADO ADO/
SKILIZA ZAY B NIKO GADO/
Mzee Yaani Kama Tungetaka Na Sisi Kuifanya Rap Ya Mashairi Hayo 👆Tungekuwa Na Albums 50 Na Mixtapes 42!! EP Daily!!
Again Usijifichage Kwenye Mwamvuli Wa Neno “Mashabiki Zake” Kiwanda Hiki Chetu Kina Mutual Fans…..Hatuna Fans Wengi Kiasi Cha Kila Msanii Awe Na Fans Wake Peke Yake! So Wanaopokea Ni Fans Wa Kiwanda Kizima….Wanajua Kipi Bora Kipi Miyeyu!! Stay On Your Lane.
Vitu Vingine Ni Mungu Tu Anatubless Wala Hata Sio Kwa Uwezo Wetu, We Mtu Hayuko Nchini Mwaka Wa 5, Hafanyi
Show Wala Media Tour Na Anatoa Project Raia Wanazizingatia WE HUOGOPI?
Kuweka Chuki Kwa Mtu Kama Huyo Ni Kujitafutia Laana Na Nuksi Tu Mzee Wangu!!
Ingia Studio Gonga Miwa…Chapa Vyuma…Tia Nondo Then Kunjua Nafsi Utanambia Mungu Atakavyokufungulia Milango!!
By The Way Asante Kwa Kusikiliza Album Yangu….Mimi Ya Kwako Niliishia Ngoma Ya Kwanza Tu Tena Verse Chorus Nikatoa!!
💐LINK
https://t.co/PkRJLzWV8Y
@Roma_Mkatoliki Mi sikuwa kusikiliza ngoma zake, ila cha kushangaza, Hata wewe una unamsikiliza #WAJOB Hizo verse umetoa wapi mzee mbona sisi hatuzijui, nyimbo ipi? Album ipi? Mwaka gani? Nataka kufahamu kaka #ROMA

@Roma_Mkatoliki Aisee @Roma_Mkatoliki nilikuwa sikui kama kuna mtu anaitwa #WAJOB 😄😄😄,hata wimbo mmoja sina
@Roma_Mkatoliki Afu kuna mjinga mmoja anaitwa #wajob sijui @Wakazi anapambana kudisi. Eti ooh ngoma ina dakika 6,amesikili ngoma ya God did by Jaz Z na Dj Khaled.? Ikipendeza mzee toa remix yenye dak 10😀
@Wakazi Maisha yana nyakati tofauti kuna nyakati za furaha na majonzi,ndivyo music ulivyo huwez kuimba vitu aina moja kila cku @Roma_Mkatoliki anaimba aina mbali mbal za mziki na hii ndio maana ya sanaa muhimu ujumbe ufike haijalishi umeimba nini kwa nyakati gani sawa #Wajob
@bigi047 Huo no mruko wa #Wajob
@lawlibsWA @ALIANewGrads student and recent graduate applicants are encouraged to apply!
#SNGGThatJob #NSWJob #VicJob #WAJob #SAJob #QLDJob #ACTJob #HybridJob
#WAJob #SNGGThatJob @statelibrarywa
Web Developer
,State Library of Western Australia
Full Time (Ongoing)
Closing Date: 05/12/22
More Info:
https://t.co/ROTFMHnVax
#WAJob #SNGGThatJob
Manager Collection Care - State Library of Western Australia
Full Time (Ongoing)
Closing Date: 18/11/2022
More Info:
https://t.co/tEyFqQSx6R
#WAJob #SNGGThatJob @statelibrarywa
Web Developer, State Library of Western Australia.
Part Time, Ongoing.
Closing Date: 15/08/22
More info: https://t.co/jTjgpIDsdb
The hardest working community-focused municipal office is hiring!
Help us find an incredible advocate to lead our workforce & adult education program & policy. Application closes 12/14/21.
#GovJob #SeattleJob #WAJob #NonprofitJob #Seattle #immigrants
https://t.co/zngFJTe8bR

#WAJob Fulltime Ongoing #SNGGThatJob
Digital Preservation Officer - State Library of Western Australia
Closing date: 9 September
More info - https://t.co/YNApcxxWL0
⭐ TerraPower is #hiring for many roles! ⭐
📌 I&C System Engineer
📌 Analytical Radiochemist
📌 Principal Safety Analysis Engineer - MCFR
📌 Process Engineer, Fuel Design
📌 Project Scheduler
Apply now: https://t.co/f9vLy0ecS8
#NuclearJobs #CleanEnergyJobs #WAJob

⭐ TerraPower is #hiring for many roles! ⭐
📌 I&C System Engineer
📌 Analytical Radiochemist
📌 Principal Safety Analysis Engineer - MCFR
📌 Process Engineer, Fuel Design
📌 Project Scheduler
Apply now: https://t.co/prMSbW9GVr
#NuclearJobs #CleanEnergyJobs #WAJob

⭐ TerraPower is #hiring for many roles! ⭐
📌 Lead Test Engineer
📌 Analytical Radiochemist
📌 Principal Safety Analysis Engineer - MCFR
📌 Process Engineer, Fuel Design
📌 Project Scheduler
Apply now: https://t.co/OqyLX4Bsql
#NuclearJobs #CleanEnergyJobs #WAJob

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers