@Ntobi_ Kitaa chama tumekielewa na strategy za mpya. Raia tumekipokea kama ww umeona ngumu kuendana na falsafa mpya ya no reform no election ungama na Chausta, au nccr
Imani yangu huu ni Mpango wa Mungu kwa sasa. @TunduALissu na @HecheJohn Nawatakia kila la kheri katika kutimiza agano hili. Hatujutii kuwaunga mkono. Aluta Continua.
@OleMtetezi Ni kweli toka aondolewe @babbiekabae kwenye 360. Huyu kija anapwaya sana. Weredi mdogo na pia ndo wale waliokuwa wanataka viti maalum CCM.. Angekuwa moja ya wabunge weupe sana kichwani